MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 4,842
- 15,151
Mbobezi wa kula kungu na kupaka hina
😄😄😄 No wonder Ni mbobezi.Amesema wananchi wamekubali kwa moyo mmoja suala la tozo
Mbobezi wa kudemkaNo wonder Ni mbobezi.
Wacha tuendelee kuchambuka chambuka.Mbobezi wa kudemka
kwamba atakutana na vyama vya siasa vikiwa vimechambuka chambuka, mkuu we ni niksi, nimecheka kifalaWacha tuendelee kuchambuka chambuka.
😄😄😄 mkuu kiswahili chake hua sikielewi elewi,Kule zenji unajua mjane anaitwa kizuka mkuu?kwamba atakutana na vyama vya siasa vikiwa vimechambuka chambuka, mkuu we ni niksi, nimecheka kifala