Shaka amvaa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar; "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya Serikali unahudumiwa kwa kila kitu''

"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"

"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.

Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
Una akili ya kuku wewe?
 
......."Tatizo lake amekaribishwa ukumbini, analazimisha kuingia chumbani"....
Na hayo ndiyo maneno ya Katibu Mwenezi wa CCM Taifa!!!
Katika mazingira haya, ACT Wazalendo iunge mkono juhudi za Kupata Katiba Mpya ili Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, iwe kweli ya pamoja.
Siku zote mimi ninaamini kuwa, juhudi za kupata Katiba Mpya, zitazaa matunda mapema kama zitaanzia Zanzibar, tena ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Huko Zanzibar, angalau Wapinzani wamekaribishwa Sebuleni kwa mikono miwili.
Kwa upande wa Tanzania Bara, mahali pekee CCM inapowakaribisha Wapinzani kwa mikono miwili, ni mahabusu za Jeshi la Polisi tu !!!
 
Back
Top Bottom