mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,316
Hashikwi mtu hapo, tunapoteza muda tu.Uzuri wa kesi za kutengeneza ndio huu...
Hao polisi wakiambiwa wathibitishe ni kweli akina mbowe walisababisha kifo kwa marehemu hawawezi, na pia chadema wakiambiwa wathibitishe polisi wenyewe waliua hawawezi, RIP akwirina.