Shahidi kesi ya Mbowe: Nilipigwa jiwe, nikazimia

Huyu wakili amefanya kazi ya kumuongoza shahidi(askari) kutoa ushahidi mahakamani, bado wakili wa upande wa mashta atakuja.
Asante kumbe ni mchezo Wa kijitekenya na kucheka mwenyewe yaani maswali wanapanga wao kituoni halafu wanakuja kuigiza mahakamani?
 
Ndio maana serikali huwa inaangukia pua kesi zake. Kwa mawakili Kama Hawa ...it's a shame
 
Asante kumbe ni mchezo Wa kijitekenya na kucheka mwenyewe yaani maswali wanapanga wao kituoni halafu wanakuja kuigiza mahakamani?
No ni utaratibu wa kimahakama, yaani huyo ni team moja na askari, upande B bado, ule wa maswali ya kichokozi.
 
Tuletee mahojiano ya upande wa pili, hayo yamekaa kama Dialogue za Movies script!
 
Hashikwi mtu hapo, tunapoteza muda tu.

Hao polisi wakiambiwa wathibitishe ni kweli akina mbowe walisababisha kifo kwa marehemu hawawezi, na pia chadema wakiambiwa wathibitishe polisi wenyewe waliua hawawezi, RIP akwirina.
Haki za raia na maisha yao vitaendelea kukosa thamani kwa sababu hadharani hakuna anayeweza kuhoji
 
shahidi huwa anahojiwa na pande zote mbili....
Hapo sijaelewa naomba mnisaidie..wakili Wa serikali amesimamia upande gani hapo, maana ninajuwa kuwa polisi na wakili Wa serikali ni kitu kimoja against upande Wa Chadema..
Na nilijuwa kibatara na wezake ndio Wa kumuhohi polisi..ila hapa naona wakili Wa serikali ndio anamuhoji polisi..
Naomba ufafanuzi
 
Mahakamani bwana,mchuano wa mawakili huwa una leta raha sana hasa wanapokuwa nguli wote na jaji awe naye nguli pia.Binamu yangu alikuja kutoka shule akiwa na Kitabu kinaitwa Unanswered Cries,nilisoma kitabu nikakutana na kesi humu nlifurahi sana mchuano ,kuna mama kutoka kijijini alimpelekesha wakili kwa majibu yake.Nafurahi sana wakili anapomhoji shaidi wa upande mwingine.
Kitabu kizuri story ya binti Olabis aliyepitia masahibu ya kutaka kufanyiwa female genital mutilation
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom