Je, inaruhusiwa kwa mtu kufanya masomo ya Kozi mbili tofauti kwa wakati mmoja kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili?

ministrant

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
554
1,134
Habari Wakuu.
Ningependa kupata mwongozo kutoka kwa wazoefu wa Elimu ya juu. Hivi ikitokea mtu akawa ana muda wa kutosha na ana uwezo wa kumudu kufanya kozi mbili tofauti kwa ngazi ya shahada ya Uzamili ( Masters Degree) taratibu za TCU zinaruhusu hilo jambo kutokea?
Kwa Mfano; Mtu awe anasoma Masters ya Public Administration hapo Mzumbe na pia awe anafanya Masters ya Information Security katika Chuo kingine kama vile UDSM?
Naomba kuwasilisha kwa mwongozo tafadhali
 
Kwa nini ufanye kozi mbili wakati elimu ya Masters ni mahsusi kwa ajili ya kujikita kwenye fani moja...
 
Unaangalia na fursa ambazo zipo usoni Mkuu, kuwa na utaalamu mbalimbali inaongeza thamani Mkuu

Unasoma masters ya taaluma au kada unayoifanyia kazi kwa sasa ili kuongeza maarifa na utaalamu zaidi...

Anyway kila mtu na mitazamo yake...
 
Habari Wakuu.
Ningependa kupata mwongozo kutoka kwa wazoefu wa Elimu ya juu. Hivi ikitokea mtu akawa ana muda wa kutosha na ana uwezo wa kumudu kufanya kozi mbili tofauti kwa ngazi ya shahada ya Uzamili ( Masters Degree) taratibu za TCU zinaruhusu hilo jambo kutokea?
Kwa Mfano; Mtu awe anasoma Masters ya Public Administration hapo Mzumbe na pia awe anafanya Masters ya Information Security katika Chuo kingine kama vile UDSM?
Naomba kuwasilisha kwa mwongozo tafadhali

Daaah! Mkuu uko serious?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba uko mzumbe unasoma masters full time huku koziwork unatakiwa kupresent kule udsm kesho yake Kuna seminar room unatakiwa
Muuliza swali ameuliza swali arudi kwanza ajitafakari
Mkuu nimesema hivyo baada ya kufuatilia ratiba za vyuo vinavyotoa Masters, kuna vyuo vina September intake na March intake.
Pia kuna vyuo vina Masters session za asubuhi na vingine wanasoma jioni tu. Kwahiyo mtu akijipanga vizuri anaweza kusoma Kozi mbili kwa wakati mmoja bila kuathiri wala ratiba kuingiliana.
Baada ya kujiridhisha na hayo ndiyo nikahitaji kujiridhisha kama kuna mwongozo wa TCU unakataza juu ya jambo hilo ama la, ili mwenye uwezo wa kusoma na asome.
Ni kama mtu kufanya ajira mbili, sio jambo geni sana kama ratiba haziingiliani
 
Back
Top Bottom