Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,880
- 5,725
Habari wana JF.
Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiliza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha radio hiyo, nimeshangaa kumsikia Shaffih Dauda akilalamika sana kitendo cha Okwi kuruhusiwa kucheza Yanga, yaani nusu nzima ya kipindi analalamika tuu na ameingia na Katiba ya FIFA akinukuu baadhi ya vifungu na kupinga kwa nguvu Okwi kucheza, swali je hayo ni maadili ya utangazaji?
Ninavyojua mwandishi na mtangazaji unatakiwa kuongelea ulichopata huko kama ni TFF au uwanjani nk. Pia mtangazaji unatakiwa kuficha ushabiki wako kama kina Charles Hilally, nk, ameenigia studio kama msemaji wa Simba, maoni yangu huyu hafai Kuwa mwandishi wa michezo.
Nawasilisha.