Shaffih Dauda

Shaffih Dauda

Dauda, S. nilikuwa nammind sana katika blogu yake, nilianza kugundua taratibu kuwa huyu siye. Kwa hili sitatembelea tena blogu yake hadi nife.

Endelea kutembelea ili ujue mapungufu yake , kuna watu wakipata bahati ya kusikika huwa wanapaza sauti , wengine wanaongea kimya kimya , huyu shaffih anapaz sauti ila asikike,.
 
Tatzo la Shaffih ni mmbea sana, bora hata alivyokuwepo Jeff Leah kabla hajaondoka Radio ya Wafu
 
shafii dauda si mtangazaji.. Yeye Ni mchambuzi wa soka. Mtangazaji wa kipindi cha sport extra Ni bwana Luambano. Kwaiyo shafii hajakiuka taratibu yoyote hapo. Kachambua taratibu za soka zilivo.

umenena mkuu
 
Mimi nipo upande wa Shaffii dauda.nikiwa kama mpenzi na shabiki wa SIMBA,naona kuwa OKWI hatakiwi kucheza yanga wakati ana mkataba na warabu ambao pia bado hawajailipa simba.hii itakuwa ni mara ya kwanza mchezaji kucheza akiwa na mikataba ya timu 2 unless TUONE ANDIKO LA FIFA LIMESEMAJE ILI WOTE TUJIRIDHISHE.
 
Mimi nipo upande wa Shaffii dauda.nikiwa kama mpenzi na shabiki wa SIMBA,naona kuwa OKWI hatakiwi kucheza yanga wakati ana mkataba na warabu ambao pia bado hawajailipa simba.hii itakuwa ni mara ya kwanza mchezaji kucheza akiwa na mikataba ya timu 2 unless TUONE ANDIKO LA FIFA LIMESEMAJE ILI WOTE TUJIRIDHISHE.

Ukiingia kwenye web site yao katika list ya wachezaji wake wote hakuna jina la Okwi! Ni fitna tu za uYanga na Simba, mbona TFF wametoa barua Jana kuwaruhusu Yanga kumtumia.
 
sipingi maoni yako lakini kwa FIFA pia ni reliable source na ina mandate zaidi ya TFF,
 
Tatzo la Shaffih ni mmbea sana, bora hata alivyokuwepo Jeff Leah kabla hajaondoka Radio ya Wafu
Ameenda wapi huyu dogo maana huwa anajitahidi kuchambua soka la ulaya japokuwa kwa baadhi ya mechi zilichezwa yeye hajazaliwa lakini ana uwezo wa kuzisoma na kuzifanyia uchambuzi
 
Wazee wa sembe naona wanatowa ma povu mtandaoni wakatazenu viongozi wenu kutuwaribia vijana taifa la kesho mlienda kuweka kambi bagamoyo ili mpokee sembe kwenye jaaz la wa pakistani polisi wakashtuka wakavamia meli nakukuta sembe kg 200 kuchunguza zilikuwa za mzee wa epa m.a.nji na dogo wa kiunguja bin sasa tumeshtuka nasitaki povu humu shaffih kuwa huru chambuwa pumba mbaya simba bila okwi na tuliwapiga 3. O nyambafu
 
Hana mandate hiyo....!! Fifa ni supreme kwenye hili.....kanjanja huyo.
 
Shaffih nilikuwa nakuona wa maana kumbe unafuata upepo na wewe, swala la Okwi bado ungesimamia palepale ningesema unafuatilia kumbe ni bendela pole sana, umeongea na Rais wa Etoile kakueleza unababika nini sasa, mara unasema swala limekwisha kaka udhaifu huo, subiri aibu baada ukianza kusema uliona hili swala gumu tutakucheka maana hujui kusimamia ulicho kiona wewe.
 
Back
Top Bottom