Shaffih Dauda

Shaffih Dauda

Aaah!mkuu achana na waandishi wa vichochoroni hawa!

Ndugu yangu, hata kichaa usimpuuze moja kwa moja. Yanga wamtumie baada ya kupata barua rasmi toka TFF na ikiwezekana waone hayo mawasilano toka fifa.
Huyo katibu wa tff hakuondoka vizuri Yanga anaweza kutumiwa
 
Nataka kujua FIFA wameamua vp kesi. Kila kesi ina hoja zinazobishaniwa na hivyo uamuzi hubase kwenye hoja husika.
TFF waliomba ufafanuzi gani FIFA, na FIFA wamejibu vipi. Hapa ndio twaweza jua kesi ya okwi imekwisha au bado
 
Nimemsikia huyu Kanjanja Jana kwa ufupi uwezo wake wa kufikiri na uelewa wake ni mdogo sanaaaa, anachokifanya ni kuwa threat Yanga na TFF wakati FIFA barua yao ipo clear, anafanya hivi sababu maamuzi ya FIFA yameenda kinyume na kile alicho pre empty uko nyuma kwenye makala yake sasa anaona kama kaumbuka fulani....kwa kifupi anafanya kwa msukumo wa kishabiki kama utagundua mara zote ili amekuwa analizungumzia hili akiwa na IBRAHIM MASOUD ambaye ni mtangazaji wa clouds na kiongozi wa Simba na kama utafatilia vizuri walianza na RAGE tena mwishoni RAGE akasema anapinga OKWI kucheza Yanga, mimi hapa napata shida kidogo Simba bado wana haki huhusu OKWI? hivyo basi ukiunganisha dot unagundua huu ni mpango tena kijinga unaofanywa na watu wa Simba kuanzia viongozi na wale watu wao walio TFF na watangazaji makanjanja kama SHAFFII na MAESTRO.

Halafu wakikaa studio wanajifanya wanajua sheria za soka kuliko watu wote wanashindwa kutambua wasikilizaji wao wapo ambao wanasoma vizuri hizo sheria za FIFA tena kwa jicho na uchambuzi wa kisheria, SHAFFII ni mbumbumbu wa sheria sababu sio mwanasheria.
 
soma Mwananchi la leo. Linapaticana mtandaoni.
 
Habari wana JF.
Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiliza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha radio hiyo, nimeshangaa kumsikia Shaffih Dauda akilalamika sana kitendo cha Okwi kuruhusiwa kucheza Yanga, yaani nusu nzima ya kipindi analalamika tuu na ameingia na Katiba ya FIFA akinukuu baadhi ya vifungu na kupinga kwa nguvu Okwi kucheza, swali je hayo ni maadili ya utangazaji?

Ninavyojua mwandishi na mtangazaji unatakiwa kuongelea ulichopata huko kama ni TFF au uwanjani nk. Pia mtangazaji unatakiwa kuficha ushabiki wako kama kina Charles Hilally, nk, ameenigia studio kama msemaji wa Simba, maoni yangu huyu hafai Kuwa mwandishi wa michezo.

Nawasilisha.

Sema imekugusa,shaffih na wewe wote yanga damu
 
Nimemsikia huyu Kanjanja Jana kwa ufupi uwezo wake wa kufikiri na uelewa wake ni mdogo sanaaaa, anachokifanya ni kuwa threat Yanga na TFF wakati FIFA barua yao ipo clear, anafanya hivi sababu maamuzi ya FIFA yameenda kinyume na kile alicho pre empty uko nyuma kwenye makala yake sasa anaona kama kaumbuka fulani....kwa kifupi anafanya kwa msukumo wa kishabiki kama utagundua mara zote ili amekuwa analizungumzia hili akiwa na IBRAHIM MASOUD ambaye ni mtangazaji wa clouds na kiongozi wa Simba na kama utafatilia vizuri walianza na RAGE tena mwishoni RAGE akasema anapinga OKWI kucheza Yanga, mimi hapa napata shida kidogo Simba bado wana haki huhusu OKWI? hivyo basi ukiunganisha dot unagundua huu ni mpango tena kijinga unaofanywa na watu wa Simba kuanzia viongozi na wale watu wao walio TFF na watangazaji makanjanja kama SHAFFII na MAESTRO.

Halafu wakikaa studio wanajifanya wanajua sheria za soka kuliko watu wote wanashindwa kutambua wasikilizaji wao wapo ambao wanasoma vizuri hizo sheria za FIFA tena kwa jicho na uchambuzi wa kisheria, SHAFFII ni mbumbumbu wa sheria sababu sio mwanasheria.
Kaka nadhani wewe uelewa wako ndio unatia mashaka! Alichokisema shaffi ni kuwa yanga waelewe kuwa ktk sakata la okwi kuna kesi tatu na zote bado ziko pending kwa maamuzi fifa walichofanya ni kumruhusu acheze yanga ila kama yanga watamtumia kwenye mechi zao za club bingwa na wakafanikiwa kufika mbali , ikaja kubainika kuwa okwi bado ni mchezaji halali wa hiyo ya timu ya tunisia ambapo hizo kesi zake hazijaamuliwa, yanga itabidi ipokonywe point zote za michezo ambazo okwi alicheza.HAPA INA BIDI YANGA WASIKULUPUKE WAKAE CHINI WAFIKILIE KISHERIA ZAIDI NA C KISHABIKI ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI.Kama kunge kusingekuwa na case nyingine hilo suala la okwi lilikuwa limekwisha.Tatizo lenu ushabiki upo mbele mno mtu akichambua jambo ki taalamu anaonekana mnazi wa upande mwingine!!! Tuache hizo.
 
CLOUDS hakuna waandishi wa habari. Ni wasemaji wa vijiwe wamefanya mkusanyiko wao
 
maoni ya wadau wa soka katika shaffihdauda.com

  1. AnonymousFebruary 13, 2014 at 6:36 PM
    acha unazi na usimba ww,okwi lazma akipige yanga
    Reply

  2. Anzawe ChaulaFebruary 13, 2014 at 7:21 PM
    Ingawa hoja yako imekuea na mifano kuntu pamoja na hoja jadidi bado binfsa naona kama umejikita zaidi kutoa opinion badala ya fact! Mfano hujaeleza kwa nini FIFA wamemruhusu acheze? Kwani naamini wao ndio waamuzi wa mwisho kwa uhalai wa mchezaji.
    Pili umeegemea sana upande wa ESS club, hadi umefikia hatua ya kufanya mohojiano na rais wa club,lakini mbona hujafanya mahojiano na Okwi ili ubalance story?
    Sawa lakini tumekuelewa
    Reply
  3. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 7:21 PM
    Lakin kabla ya hili la jana la kuruhusiwa okwi kukipiga jangwani siku 1 nyuma c walitoa nakala tatu za barua kuhusiana na Okwi na taifa lake,sc villa na etoule du,simba na etoule pia walipomruhusu xaxa wao FIFA hawajakiona kipengele hicho cha 1 cloub
    Reply
  4. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 7:40 PM
    Ni wazo zuri mkuu na labda umeliangalia upande wa etoile peke yake..kwani mkataba unasemaje etoile ikivunja mkataba?
    Okwi anasema hakulipwa pesa zake..si ni kinyume na mkataba?..au malipo sio sehemu ya mkataba wao?
    As you have said..tatizo bado ni kubwa...waulize tena etoile hawakumlipa Okwi for how long and what did they expect?
    Reply
  5. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 7:47 PM
    Awali ya yote Shafii ungejiuliza maswali madogo tu kabla ya kutumia nguvu nyingi katika mambo ambayo huna weledi nayo, tafsiri za kisheria haziji kwa mapenzi wala kwa kwa kuangalia article moja tu. Ungeweza kujiuliza tu kama ARTICLE 5 kwenye kipengele kidogo cha pili inavyosema, kuna uwezekano wa FIFA kutoa leseni 2 kwa mchezaji mmoja? Kama FIFA wameridhishwa Okwi kuchezya Yanga hii inamaana gani kwa hao jamaa zako waarabu? Au wao Au wewe Shafii unatoa leseni siku hizi? Etoile du Sahel wanawezaje kuwa na leseni nyingine ya Okwi na kudai ni mchezaji wao?

    Nnachokiona mm, Shafii anajisikia guilty kwa ndoto na kuongea mambo asiyo na weledi nayo, endelea kukusanya habari uchambuzi sio kazi yako maana upeo wako ni mdogo sana!

    Okwi kafanye kazi bwana mdogo, haya maneno ya Shafii ni kama ya kanga za wazaramo tu!
    Reply
  6. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 8:30 PM
    Ndugu yangu Shaffih usiingie kwenye huu mtego wa Mhesh. Aden Rage, kama ambavyo siku za nyuma ulikuwa humwamini. Katika barua ya FIFA kwa TFF hakuna sehemu ambayo pametajwa kuwa kuna malalamiko ya Club ya Etoile du Sahel yaliyowasilishwa FIFA, isipokuwa kilichotajwa ni madai ya Simba kwa Sahel. Hivyo nakusihi usikisemee kitu ambacho huna uhakika nacho na kujikuta umeingia kwenye mtego wa Mhesh ambaye kwa maneno hajambo. Nikinachonishangaza zaidi sasa umeanza kula matapishi yako, kama unakumbuka vizuri ulishawahi kutuwaambia kwamba umefanya mahojiano na kiongozi mmoja wa FUFA na ukatuahakikishia kwamba Okwi kimkataba na Free Agent, ikimaanisha anaweza kuingia mkataba mwingine na Club yoyote. Shaffih unachokifanya kumsaidia Mhesh kuwatia hofu TFF ata baada ya kibali cha FIFA kutoka. Hivi unataka sasa TFF wakaombe wapi ufafanuzi wa kikanuni ambao wameshaufanya kwa chombo cha mwisho FIFA. Hivi unadhani FIFA hawaruhusiwi kufafanua kanuni kwa kuwa eti zipo kwenye maandishi kila mtu anapaswa kuzielewa. siwezi kukulaumu kwani sidhani kama una taaluma ya sheria na kama unayo basi umeshindwa kuitendea haki. Shaffih, kama ni suala la kuendeleza mjadala ili kuipa umaarufu Sports Extra na Shaffih Dauda Blogspot, basi tuendelee ingawa tutakuwa hatumtendei haki Okwi kwa kumfanya ashindwe kucheza mpira! MR GEORGE
    Reply
  7. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 9:03 PM
    Naona hii issue ya Okwi imekuchanganya kweli, unasite vipengele ambavyo hata havibebi issue yenyewe. nakuheshimu saba shaffii ila umezidi kuwa mnazi kwenye baadhi ya issues. na kwa vile mna mic basi mnaongea hovyo hovyo na kudanganya watu. tunisia walimtoa kwa mkopo? na kibali cha muda kimeanza lini. watu na akili zao wamefanya research, wameona haina shida. Jana nimewasikia sports extra mkiwahoji rage na mwesige, sijui hao ndo wana interest na issue ya okwi kuliko yanga yenyewe. mkajificha na maestro kwenye mic mkiendesha ushabiki wenu. Mwesige anawazingua wakati wamewapelekea yanga barua ya kuanza kumtumia. mlishindwaje kuwahoji yanga. jamii inawasikiliza sana msitumie mwanya huo kuwapotosha ni dhambi sana
    Reply
  8. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 9:15 PM
    shafii hivi vitu vipo kisheria zaidi sasa unapopiga kelele unaonekana mtu wa ajabu fifa wanaelewa kama aliweza kucheza villa kwanini asicheze yanga acheni ushabiki na kuongea sana watu wanajua kufuatilia kila kona tulia bro
    Reply
  9. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 9:15 PM
    Acheni roho mbaya zenu nyie, okwi ni halali hucheza yanga as fifa wanazo kesi zote. Zingatia kwamba okwi alidai kutokulipwa mshahara wake kwa miezi mitatu na kwamujibu wa sheria za fifa kuzingatia haki na hadhi za wachezaji, mkataba baina ya timu na mchezaji utavunjiak endapo mchezaji hatalipwa mshahara kwa miezi mitatu mfululizo kama ilivyo kwa okwi a Etoe. Kilichotokea ni fifa kutoa kibali maalum cha miezi 6 ili okwi asajiliwe villa alikoomba, kibali kile ni kutokana na unwell kwamba dirisha la usajili kwenye ligi mbalimbali lilifungwa so asingeweza kusajiliwa popote ndo maana fifa walitoa kibali kile ili aweze kusajiliwa alinde kiwango chake. Ikumbukwe pia kwamba fifa hawawezi kumchagulia mchezaji timu ya kucheza so kibali cha miezi sita kililenga ukweli kwamba dirisha la usajili sehemu mbalimbali litakuwa wazi hivyo okwi kuwa huru kuchagua nchi na klabu atakayoridhika mwenyewe. Naomba kutoa hoja
    Reply
  10. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 9:28 PM
    Hayo maswali yako ulitakiwa uwaulize FIFA na siyo Yanga au TFF. KWANI HIVI SASA UHAMISHO UNAFANYIKA KIDIGITALI KUPITIA tms NA taarifa zote ziko mtandaoni hivyo aliyetoa ITC ndiye mwenye mkataba halali na mchezaji.Ilikuwaje ITC itoke FUFA wakati mchezaji ni wa Etoile du Sahel?Nafkiri huhitaji kuwa profesa kujibu swali hili na kufahamu mkataba wa Okwi na Etoile haupo na ndio maana taratibu za uhamisho zimewezekana.I wapo FIFA itabaini mkataba wa Okwi na Etoile bado uko hai baso taratibu zinazofuata zitaanzia hapo kwenda mbele na sio kurudi nyuma na litakuwa na suala la Okwi na Etoile na sio Yanga
    Reply
  11. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 9:32 PM
    Hivi sheria inasemaje kama klabu imeshindwa kumlipa mchezaji mshahara wake???
    Naona umezungumzia upande wa klabu tu na haki zake mbona hujazungumzia upande wa mchezaji na haki zake???
    Nakuomba jaribu kubalance unavyozungumzia masuala kama haya kuliko kuzungumzia kuishabiki zaidi.
    Reply
  12. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 9:37 PM
    wewe unaandika makala yako kishabiki,FIFA ndio final decision maker sasa unaishauri TFF isifanye maamuzi wakati iliomba maelekezo FIFA,NIMEKUDHARAU
    Reply
  13. b36-rounded.png

    MhunguraFebruary 13, 2014 at 9:40 PM
    Duh, haya. Ukiangalia Mlolongo wa Kesi za Okwi kuna kitu kipo hapo, Okwi aliishtaki Etoile kwamba Hawajamlipa Mshahara kwa kipindi zaidi ya Miezi mitatu, Etoile nao wakamshitaki kama vile kujibu mapigo kuwa huyu bwana ni Mtolo.

    Etoile ina mkataba wa OKWI na pia ilifanya sales agreement na Simba.

    (1) Mkataba wa Simba na Etoile ulifanyika na ukawa na consideration zake ambazo Etoile imeshindwa kutimiza, so simba wanadai.

    (2) Mkataba wa Okwi na Etoile nao vile vile Etoile imekiuka vipengele vya mkataba na pia umekiuka haki za binadamu kwa kutompatia mshahara kwa miezi isiyopungua mitatu. ukiangalia hapa ni hivi kuna hoja za kubishania kati ya OKwi na Etoile na hawa watu hawawezi kufanyakazi pamoja. kwa hiyo basi kiharaka tu kama Etoile hawana sababu za msingi za kumyima mshahara basi Mkataba unakufa na Okwi ni Free Agent labda kama Etoile wamlipe huo mshahara na malimbikizo yake lakini na yeye akubali kurudi kufanya kazi na Etoile basi mkataba utaendelea kuwepo. Simba ni third party haihusiki na OKWI, na kisheria Third party cannot sue the contract. Kwa hiyo Uliota Ndoto kuwa FIFA ilimuhizinisha OKWI kuchezea Simba kama sikosei. Ndio hapo ninasema fikra zako umeegemeza upande mwingine.

    (3) Yanga na Villa wamekiuka taratibu za usajili au wamefanya njama toka mwanzo kumshawishio Okwi atoroke Etoile na kufanya Ujanja ujanja mpaka akatua Yanga. Hii hoja inabidi ichunguzwe kama yanga walikuwa wanamkono wao kwa Okwi kumisbehave. Lakini ukiangalia taratibu za usajili kati ya yanga na vila zilifuatwa na FIFA wameulizwa marambili na wamejibu kuwa Kesi zote ni za madai ambazo haziingiliani na taratibu za usajili.

    HII HOJA NDIO NIMEKUSIKIA MUOTA NDOTO JANA KWENYE KIPINDI CHETU UKIIONGELEA NA UKIWA NA CONCLUSIVE REACTION.

    MIMI NAONA TUSIENDE MBALI MPAKA TUKAJIFANYA SIE MAHAKIMU AU MAJAJI WAKATI UELEDI WA SHERIA HATUNAO. MAAMUZI YAMETOKA BASI TUSUBIRI KAMA YATATOKA MENGINE TUYAPOKEE, KAMA YANGA WATAAZIBIWA BASI HASARA KWAO NA FUNDISHO NA KAMA ETOILE NAO WATAAZIBIWA BASI NI KWAO.

    TUKISISITIZA KUMKATAZA OKWI ASICHEZE TUTAKUWA HATUMTENDEI HAKI YEYE NA TUNAPINGINA NA AGIZO LILILOPO MEZANI KUWA OKWI RUKSA NA SIMBA WANADAI ETOILE. KWANI KIPENGELE NAMBA 3 KINA ASSUME KUNAMKATABA KATI YA OKWI NA ETOILE, LAKINI VILE VILE INAWEZEKANA MKATABA UMEKUFA KWA PANDE MOJA KATIKA MKATABA KUTOTIMIZA MASHARTI YA MKATABA.

    NAWASILISHA KUTOKA BOKO BEACH VETERAN - UWANJA MZURI WENYE NYASI, SHAFI KARIBU NIKUTIE NJAAA KAMA KAWAIDA YANGU.

    Reply
  14. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 9:44 PM
    Hiki ni kizungumkuti, yaani watu wapo kwa ajili ya kujitafutia umaarufu tu, ishu imewekwa clear kuwa uhamisho hauna tatizo na madai ya vilabu hayamhusu mchezaji.
    Haya mengne ni porojo tu
    Reply
  15. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 10:15 PM
    Hongera kwa tahadhali yako Shaffih, upo makini mdogowangu.
    Reply
  16. b36-rounded.png

    Pendael PaulFebruary 13, 2014 at 10:21 PM
    Mtakoma mwaka huu, mwisho wa siku jamaa atacheza Yanga na nyie na vi article vyenu mtabaki na aibu tu
    Reply
  17. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 10:26 PM
    Lakini waliomruhusu kuchezea Yanga ndio hao hao waliotunga hizo sheria na kuzitafsiri.. Ebu tusomee sheria inayoeleza kuwa endapo Club itashindwa kutekeleza makubaliano yaliyopo kwenye mkataba ni nini kinatakiwa kifanyike? Au mchezaji anatakiwa kuchukua hatua gani bwana Shaffih.?? Usiangalie upande mmoja washilingi bali unatakiwa kuangalia pande zote..!! Okwi angeishije Tunisia pasipokuwa na mshahara na stahili zake nyingine zilizomo kwenye mkataba wake na klabu..?? Angewezaje kuyaendesha maisha yake na familia yake kwa hali ya kutumika pasipo kupewa chochote.. Kumbuka pia kuwa uke ni mkataba na kuna vipengele vya kuvunja mkataba pia, na upande wowote unaohusika kwenye mkataba unaweza kuvunja mkataba kama mambo hayaendi sawa sawa...

    Reply
  18. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 10:52 PM
    Stori imejaa jazba na mikwala kibao. Mbona hukumuuliza 'ngawira' ya Simba mbona hawajatoa?
    Reply

  19. FRANCIS MLAYFebruary 13, 2014 at 11:05 PM
    ACHENI UNAZI.
    Reply
  20. anon36.png

    AnonymousFebruary 13, 2014 at 11:08 PM
    Article 5: A player may only be registered with one club at a time - Shaffih kwani Mkataba na Usajili ni kitu kimoja.? Kanuni inasema Mchezaji anaweza kusajiliwa na timu moja tu kwa wakati. Sasa Okwi inawezekana alikuwa na mkataba na Etoile Du Sahel lakini Usajili wake Unaotambulika kwa sasa TFF, CAF na FIFA ni mchezaji wa Yanga..

    Article 18.3: Yanga pia ilifanya mawasiliano na klabu yake ya SC Villa na sio Simba, Etoile Du Sahel wala Shaffih SC.. Yanga hawajakiuka vifungu vyote ulivyovitaja.. Pole kwa uandishi wake ulioegemea upande mmoja.
    Reply
  21. b36-rounded.png

    Pangupakavu KakaFebruary 13, 2014 at 11:11 PM
    Shafffi unawazo la msingi sana kuhusu swala hili la Okwi ila ngoja tuchangiye mawazokidogo, hivi nakumbuka Et'oo walishawai kumshitaki okwi fifa kwamaelezo hayo uliyopewa na huyo jamaa wa Et'oo, pili Fifa hao hao ndiyo walitoa kibali cha Okwi kucheza uganda, tatu inamaana wao Fifa hawajui kuwa Okwi alikuwaanatakiwa kucheza uganda tu au alistahili kuama? Nne, iweje leo wanajua hatakiwi kutoka uganda alaffu wanasema ni mchezaji sahihi kwa yanga? napenda kukuchauli kaka yangu mtafute Okwi muulize akuonyeshe barua yake ya breach of contract yake na Et'oo mbona Ally Salehe anazo vitu vyote hivyo, Embu jiulizeni wakati TP Mazembe walipo katiwa rufahaa na Simba kuhusu mchezaji wao je kesi yao walishinda kwanini walikuwa na vielelezo vyote, nadhani fifa wanawatu makini sana nawanajua swala la Okwi sababu lipomezani kwao sitalajii kama angekuwa astahilikucheza yanga wangemruhusu wakati wanajua anamatatizo.

    Tizama tu barua ya TFF waliyoandikia FiFa kuhusu kujua swala hili ilikuwa wazi kabisa yaani kama Fifa wangejuakuwa mchezaji mwenyewe anamatatizo naamini wangetoa majibu tofauti kabisa na sasa ila haya ni maoni yangu tu kaka pamoja na fikra zangu navyoona katika swala hili vitu vimeshaisha tusiendeleze tuache kuchokonea chokonoa mambo

Kaka nadhani wewe uelewa wako ndio unatia mashaka! Alichokisema shaffi ni kuwa yanga waelewe kuwa ktk sakata la okwi kuna kesi tatu na zote bado ziko pending kwa maamuzi fifa walichofanya ni kumruhusu acheze yanga ila kama yanga watamtumia kwenye mechi zao za club bingwa na wakafanikiwa kufika mbali , ikaja kubainika kuwa okwi bado ni mchezaji halali wa hiyo ya timu ya tunisia ambapo hizo kesi zake hazijaamuliwa, yanga itabidi ipokonywe point zote za michezo ambazo okwi alicheza.HAPA INA BIDI YANGA WASIKULUPUKE WAKAE CHINI WAFIKILIE KISHERIA ZAIDI NA C KISHABIKI ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI.Kama kunge kusingekuwa na case nyingine hilo suala la okwi lilikuwa limekwisha.Tatizo lenu ushabiki upo mbele mno mtu akichambua jambo ki taalamu anaonekana mnazi wa upande mwingine!!! Tuache hizo.

Wewe pia nadhani uelewa wako ni mdogo au huna taarifa sahihi, ni hivi FIFA cha kwanza walichoangalia ni juu ya uamisho wa kimataifa wa OKWI kuja Yanga na kwenye barua yao wamesema wamejiridhisha hilo linafanyika vizuri na halina tatizo lolote na kumbuka Okwi kuja kucheza Yanga ametoka Villa ambako FIFA ndio walibaliki akacheze na katika uhamisho wa FIFA inaonekana OKWI katoka VILLA kwenda YANGA sasa basi kati ya hizo kesi hakuna kesi ya VILLA dhidi ya OKWI (kumbuka Yanga wamemtoa Villa si ETOIL) sasa basi hakuna maamuzi yoyote ya hizo kesi za TaTu za FIFA yatakayo iletea shida Yanga (Bonafide Purcharser of the Player in Disputes) sababu OKWI alienda Villa kwa ruhusa halali ya FIFA na FIFA wamedhibitisha uhamisho wa kutoka VIlla ni halali sasa mpaka hapo nani uelewa wake ni mdogo kati yangu mimi, wewe na kanjanja mwenzio SHAFFII DAUDA.
 
Shaffii Dauda anatakiwa afahamu pia kutafsiri sheria ni proffessional ya watu tena Noble Proffessional, sheria inasomwa darasani zaidi ya miaka minne ya kuwa na nakala za sheria za FIFA asidhani kama anaweza kutafsiri we have been to school for more than four years sisi wanasheria kufundishwa kutafsiri sheria, vyombo vya habari makini uwa vinatafuta wanasheria ili kutoa tafsiri ya sheria sasa yeye anadhani sheria inatafsiriwa kienyeji kama anavyofanya SHAME ON HIM ndio tatizo la ujuaji halafu kesho unamsikia eti anazungumzia professionalism kwenye michezo je yeye ni mwanasheria hadi kufikia hatua ya kutafsiri sheria.
 
Kaka nadhani wewe uelewa wako ndio unatia mashaka! Alichokisema shaffi ni kuwa yanga waelewe kuwa ktk sakata la okwi kuna kesi tatu na zote bado ziko pending kwa maamuzi fifa walichofanya ni kumruhusu acheze yanga ila kama yanga watamtumia kwenye mechi zao za club bingwa na wakafanikiwa kufika mbali , ikaja kubainika kuwa okwi bado ni mchezaji halali wa hiyo ya timu ya tunisia ambapo hizo kesi zake hazijaamuliwa, yanga itabidi ipokonywe point zote za michezo ambazo okwi alicheza.HAPA INA BIDI YANGA WASIKULUPUKE WAKAE CHINI WAFIKILIE KISHERIA ZAIDI NA C KISHABIKI ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI.Kama kunge kusingekuwa na case nyingine hilo suala la okwi lilikuwa limekwisha.Tatizo lenu ushabiki upo mbele mno mtu akichambua jambo ki taalamu anaonekana mnazi wa upande mwingine!!! Tuache hizo.

FIFA hao hao ambao kesi zote ziko mbele yao wanasema Okwi ruksa kuichezea Yanga. Nashindwa kuelewa utata unatoka wapi.
Je kuna uwezekano FIFA hao hao wakaukana uamuzi wao? Hali hiyi umewahi kutokea wapi ? Kama ipo labda tupate mfano.
Hizi njaa za bongo watu wanatumia vipesa vyao haramu kuibua mgogoro usiokuwepo. Bahati nzuri wapo watu wenye wanaweza kutumika
 
Kaka nadhani wewe uelewa wako ndio unatia mashaka! Alichokisema shaffi ni kuwa yanga waelewe kuwa ktk sakata la okwi kuna kesi tatu na zote bado ziko pending kwa maamuzi fifa walichofanya ni kumruhusu acheze yanga ila kama yanga watamtumia kwenye mechi zao za club bingwa na wakafanikiwa kufika mbali , ikaja kubainika kuwa okwi bado ni mchezaji halali wa hiyo ya timu ya tunisia ambapo hizo kesi zake hazijaamuliwa, yanga itabidi ipokonywe point zote za michezo ambazo okwi alicheza.HAPA INA BIDI YANGA WASIKULUPUKE WAKAE CHINI WAFIKILIE KISHERIA ZAIDI NA C KISHABIKI ILI WAFANYE MAAMUZI SAHIHI.Kama kunge kusingekuwa na case nyingine hilo suala la okwi lilikuwa limekwisha.Tatizo lenu ushabiki upo mbele mno mtu akichambua jambo ki taalamu anaonekana mnazi wa upande mwingine!!! Tuache hizo.
Huko ndiko kujikanganya ambako aliye mchambuzi wa kweli kamwe hatakukaribia. FIFA au taasisi yoyote inayosimamia jambo fulani, haiwezi kuhukumu kesi moja na kuupa haki upande mmojawapo, kisha ije kugeuka kwenye kesi inayohusu pande hizohizo na kumpokonya iliyempa mwanzo kupitia kesi nyingine. Dauda mwenyewe ndiye hufanya hivyo kwenye makala zake, nadhani ili kurejesha wasomaji wake aliojibaini aliwapoteza kwenye makala iliyotangulia, kama siyo kumnahisi mfadhili mmojawapo wa timu aliyoikosoa. Kwa lugha nyepesi, huo ni Ushafiidauda ambao hauko katika medani yoyote ya utawala zaidi ya kwenye makala za Shafii Dauda.
 
Ngoja malalamiko yamfikie CEO wa Clouds FM atakoma na unafki wake alifanya fitna Maximo akakataa kujiunga na Yanga, akaota Okwi amerudi Simba, sasa anafanya Campaign za wazi wazi kupitia Radio na Blog yake, bora angetumia hiyo blog yake siyo radio, itawagawa wasikiliza, alifukuzwa Nchakallih kwa kushare demu na CEO itakuwa kuharibu sifa ya radio!!.
 
Alichokifanya Shafii ni Kizuri sana na Angalieni Yanga Msije Mkaumbuka na Kuna Hatari Yaja na Tutatafutana.

Yanga inaviongozi makini kwa kipindi hiki wanaonyesha nia ya dhati kuivusha Yanga hapa ilipo,sio watu walongolongo kama Rage nadhani ushauri na maoni ya Shaffih wata yafanyia kazi kwa umakini mkubwa
 
Dauda, S. nilikuwa nammind sana katika blogu yake, nilianza kugundua taratibu kuwa huyu siye. Kwa hili sitatembelea tena blogu yake hadi nife.
 
siku ntakayoskia shaffih hayupo tena clouds,ntachinja kuku wa kienyeji nishushie na kreti la bia.anadhalilisha kazi za mwandishi..shaffi jirekebishe japo kwa kusikiriza bbc swahili
 
huyu jamaa hii si mara yake ya kwanza,hata ishu ya yondani kuja yanga alitokamapovu ya kufa mtu .BIN CLEB AMEWALIZA WENGI
 
Back
Top Bottom