Anasafiri na kiporo?Mtu unakula 15k ukishuka tu pale kwenye gari.
Hiyo hela si unaweza kununua kuku wako, ndizi mzuzu, chipsi, viazi au hata mihogo. Juice yako ya matunda umeihifadhi kwa chupa itunzayo baridi.
Njiani unakula saaafi kabisa.
Nakumbuka ant yangu alikua anasoma Mwanza, enzi hizo tupo kusini huko. Ilikua kama kesho ana safari basi leo bibi ataanza kumpikia kuku, chipsi, maandazi(vile vidogo vitamu kweli)
Safarini anajinoma tu, sanasana yeye ni kununua juice/soda.
Na keshokutwa narudi Dodoma. Nimepata funzo kwa wakuu, kesho naandaa vikontena niweke tumandazi twa hirikiKweli kabisa
Mimi nimewahi kutoka bukoba-kigoma-katavi-sumbwanga-kalambo bila chochote ila cha moto nilikiona.safari ya masaa 8 unataka kula njiani huo ni ulafi, mimi nilikuwa natoka dar to mwanza bila kula njiani na nikirudi mwanza to dar sili
njiani
Wewe ndio unatakiwa upande gari inayokufaa kwa bajeti yakoMnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Dom-Dar nayo ni safari ya kuhitaji kula njiani??Dom-Dar mkuu
Heri ABC inasimama Cate Hotel,pasafiUlishawahi kupanda ABC upper class?
Na wenyewe sio poa sijui wanadhani abiria wote ni matajiri
Utakuwa unatujampia sana BibiSili njian hata iweje. Ni mahind tu na karanga
Nikifika ndio naingia sehem nakula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heri ABC inasimama Cate Hotel,pasafi
Hiyo Shabiby inasimama sehemu chafu ajabu..kama una kinyaa pale huli chakula.
Kama hujafungua kinywa asubuhi unaweza kukaa mpaka jioni ndio ule chakula?Watu mnapenda kula mbona mi asubuhi nikifungua kunywa naweza kukaa mpaka jioni ndio Nile chakula?!
Tunajuaje wewe una ubahili au hauna pesa pia. Inawezekana msamaria mwema akikunulia chakula kwenye safari hiyo ya masaa 8 au ya Dar to Mwanza utakula vizuri tu.safari ya masaa 8 unataka kula njiani huo ni ulafi, mimi nilikuwa natoka dar to mwanza bila kula njiani na nikirudi mwanza to dar sili
njiani
Kwa vile wao vinara wa kushinda njaa basi wanataka kila mtu ashinde na njaa.Tunajuaje wewe una ubahili au hauna pesa pia. Inawezekana msamaria mwema akikunulia chakula kwenye safari hiyo ya masaa 8 au ya Dar to Mwanza utakula vizuri tu.
Gari zuri ila linaenda kuwabwaga kwenye Ile mitope[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yah manKama hujafungua kinywa asubuhi unaweza kukaa mpaka jioni ndio ule chakula?
Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Kwa kweli mimi nikipanda ABC waga naiona thamani ya pesa niliyotoa. Jamaa wana very hygiene toilets na hygiene food pale Cathe hotel japokuwa naishia kula wali maharage wa elfu 3. Ila kwa usafi ABC ni namba mojaMnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Acha kumuambudu mwanadamu mwenzakoSiku ukipelekwa Muhimbili hospital, siku bibie amekupa mzigo mashine haifanyi kazi, Kisukari kimepanda unatamani uikamate uingize kwa mkono utam'kumbuka Dokta Janabi.
#Mark my words.
Tatizo watanzania wewe wanaushamba wa kula hovyo wawapo safariniSawa, nikujuze tu, vyakula vya njiani huwa wengi wanawalisha viporo na ndio maana abiria wengi hukamatwa na matumbo ya kuhara.
Vyakula vinabaki, wanaweka kwenye freezer kesho yake unapashiwa.
vyakula vya njiani vyafaa mtu ambaye hajiwezi kabisa lakini ili kuondoa huo ukiritimba ni kuhama kabisa kwenye hayo mabasi maana hasikilizi kilio chenu.