Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Hoja ya msingi hapa ni ndege mbili MPYA zenye umri usiofikia miaka mitatu kufanyiwa service ya 13.8 billion! Huo ndio msingi wa hii habari na sio chombo kufanyiwa ukarabati!
Naanza kukumbuka maneno ya Zitto kuhusu hizi ndege!!
 
Kwa nini mnaaminisha umma mambo ya uongo?? Km huna jambo la kupost la maana si ukae kimya? Chombo chochote kufanyiwa ukarabati ni jambo la kawaida na wala siyo dhambi....kama mnadhani sisi tutarudi nyuma kwa maneno yenu ya kijinga mmekwama,MAGUFULI MBELE KWA MBELE hadi 2025 asiyetaka ruksa kuhama nchi

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona kama umeandika huku unalia?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Service/maintenance ya ndege ni industrially set (technically) scheduled, siyo kutengeneza ubovu kama akili yako (rudimental) inavyokutuma. Msiyoyajua msiwe mnadakia.
Hizo Bombardier tangu zimeanza rasmi kufanya safari, ni muda gani umepita? Na hiyo scheduled service huwa ni kila baada ya muda gani? Dreamliner je itagharimu kiasi gani?

Cc barafu
 
Hebu jiongeze kidogo hivi gari ikiharibikia porini haiwezi fanyiwa service ndogo ili ifike gereji? Hata hospital mgonjwa anapewa huduma ya kwanza ili aweze kufika hospitali ya rufaa.
Huo mfano wa mgonjwa ni sawa na kuibeba ndege kwa ndege nyingine lakini kwa ndege yenyewe kuipeleka kanada huku ikiwa mbovu siyo analojia sahihi.
 
Ameshaomba pesa kwa magu... Huyo waziri anajielewa kweli anaombaje pesa kwa rais wakati Si mtunza pesa wala mgawa pesa anatakiwa aombe bungeni..... Ooooh nilisahau hiii nchi tunaongozwa na maagizo kutoka juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka kadhaa iliyopita wakati najiunga na jf niliona ni jukwaa la wasomi kweli kweli
Lakini kadiri siku zinavyokwenda naona kabisa jukwaa limevamiwa na facebook
(Vilaza)
Ndege sio basi la kwenda Tarime
Ndio maana fast jet wamepigwa pin
Ukiendesha biashara ya ndege unatakiwa uwe mchalo kweli kweli
Ndege inakwenda na kilomita zikifika kilomita kadhaa utake ,usitake hata kama magurudumu yake bado yako bomba kama ya basi la abood la kwenda moro to dar unatakiwa utowe na uweke mengine alikadharika na vifaa vingine ni mtindo wa kutoa na kuweka vipya kabisa
Service ya ndege hakuna kuweka kifaa used kama bus ni mtindo ule ule wa bandika bandua hata kama ni kizima kinachotazamwa ni kilomita zake za service kutimia ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana. Ile mpya ilitengeezwa siku nyingi . Na inafanya kazi... hii Q300 ndio ambao mkurugenzi alimuomba rais kurekebisha.
Mkuu uko sahihi kama Wikipedia inavyozungumzia historia ya Bombardier Q300 na Q400 kwa ATCL, Kuna wakati nilisikia kuwa moja ya ndege mpya ilipata majanga ikiwa Mwanza au ndio hiyo wanayozungumzia hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom