samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,607
- 4,818
Nyie watu akili zenu zikoje? Mbona habari inajieleza hapo? mnatetea ujinga mpaka mnajidhalilishaAcha uongo,hiyo ni ile ndege ya pekee ambayo atcl walikuwa nayo kabla Serikali haijaanza kununua zingne.usiwe unaongea kitu bila kuchunguza
Sent using Jamii Forums mobile app