Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Kwenye gharama kuna cha juu cha wajanja wachache waliotengeneza dili la kwenda kukarabati Canada
... lakini sote tunajua kwamba nchi hii haijawahi kuwa na wazalendo katika kipindi chote cha uwepo wake zaidi ya kipindi hiki. Kwa uzalendo uliopo haiwezekani cha juu kipigwe tena kwa kiwango hicho Mkuu.
 
Ndege zina services schedule zake kila baada ya miaka kadhaa (ni vitu ambavyo avikwepeki) ndio maana unawasikia wakipiga kelele kufufua hangar la Arusha kupunguza hizo gharama za kupeleka ndege Canada.
1. KIA haiko Arusha, jifunze Kuwa makini 2. Nadhani issue hapa ni hiyo bilioni 13 kwa services tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekumbuka maneno ya Kitwanga kuhusu hizi ndege kweli muda ni mwali mzuri Mh kitwanga aliongea mambo mengi sana ya msingi kuhusu hizi ndege yametimia. ila wazee wa kikokotoo wakampiga zengwe na kumuita mlevi haya sasa muda unaongea #2020 Lissu#
 
Acha uongo,hiyo ni ile ndege ya pekee ambayo atcl walikuwa nayo kabla Serikali haijaanza kununua zingne.usiwe unaongea kitu bila kuchunguza

Sent using Jamii Forums mobile app
Bombardier kukarabatiwa 
Canada kwa bilioni 13.9/-

SERIKALI imesema ndege mbili aina ya Bombardier Dash Q400 zilizonunuliwa mwaka 2016, zitapelekwa kufanyiwa ukarabati Canada mwezi ujao.
Imesema ukarabati huo unatarajiwa kugharimu Dola za Marekani milioni sita (Sh. bilioni 13.860).

 
Kukarabati ndege ni jambo la kawaida. Ila hapa ndipo tutapojifunza kuwa biashara ya ndege ni zaidi ya kununua tu ndege lukuki.

Na ndiyo maana mashirika mengi huwa hata ndege zao ni za kukodisha, eg south africa airways. Kazi ya kampuni ya ndege inatakiwa iwe ku-manage routes zenye faida na kuhakikisha ndege zinakuwa angani zikiwa zimejaa abiria kila wakati. Najua wengi hamtaelewa mpaka muone.
Najiuliza service ya Dreamliner si itakuwa bilioni 50 kwa zote mbili [emoji849][emoji849][emoji849]??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka maelezo, hizi za juzi tu zimeshaharibka? Makopo haya yalikuwa mitumba kama ni hivyo!
Service/maintenance ya ndege ni industrially set (technically) scheduled, siyo kutengeneza ubovu kama akili yako (rudimental) inavyokutuma. Msiyoyajua msiwe mnadakia.
 
Back
Top Bottom