Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Tatizo you guys think you know kilakitu. Hivi kitu yeyote mechanical hata kama ni baiskel hamfaham kama ni lazima itengenezwe kila baada ya muda fulani hata kama haijaharibika? Gari ukinunua brand new pale Toyota ukalitumia wewe likafika kilometre 150000 mnafahamu kama ni lazima lirudi likafanyiwe major repair? Major repair kwa maana ya kwamba kuna vitu ambavyo ni lazima vibadilishwe hata kama havijaisha ili visije leta shida ib between. Ndege ya billion 78 imefanya kazi miaka miwili mizima kwa nini isile b7 matengenezo? Nini shida? Jamaa yangu miaka ya 90 mwanzoni alinunua mercedes benz lory brand new. Likadanya kazi likafikisha kilometre laki mbili kwa mwaka mmoja tu. Aliambiwa likiwa na u.ri huo alirudishe DT Dobie. Alipolirudisha wakalikarabati upya kwa specification vya mtengenezaji. Bill ikaja M18 wakati gari alinunua M 40. Alitaka kulikimbia ila alikomaa akalichukua. Ndege siyo vitz. Bombadier ikienda na kurudi mwanza haiji na chini ya M 30 plus. Piga hesabu imetembea mara ngapi kwa miaka miwili halafu uje na hizo argument zenu za kitoto kufanya kila kitu siasa. Mnajiaibisha sometimesJuzi jiwe kasema ndege zimepata faida ya bilioni 28. Sasa ona tayari bilion 13.6 zinatoka kwa ajili ya maintenance ya bombadier mbili tu, what about costs za kila siku?, what about costs za kuikeep dreamliner?. Hii inaonyesha kuwa kuingia kwenye business bila plan ya kueleweka ni hasara tupu mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app