Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Nchi hii kila kona ni Dili yaani hata ATCL hawajaanza kutengeneza faida wameanza njama za ufujaji pesa kwa kisingizio cha ukarabati Canada? Kukwepa gharama si wangepeleka kenya au Ethiopia ambao hukarabati ndege zao
Hapo hapo kwao? Tatizo wajanja wameweka 10% kwenye hizo bilion 13
 
Tayri tumepigwa kama taifa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndege zinakufa hata sijaanza kuzipanda...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawakunua ndege mpya bali ni mitumba na walinunua kwa cash pesa ndefu ambapo dalali alikuwa Bashite na watu wake wakala cha juu kikubwa Sana na sasa wamebuni mbinu ingine ya kupiga pesa wametengeneza kisingizio cha kwenda Canada kukarabatiwa ili wapige 10% kwenye hiyo bilion 13 ni hatari sana
 
Katika kuhangaikia maisha miaka ya 2000 nilinunua Toyota Corolla mbili used Bongo nikazifanya Taxi. aise zilinipa adhabu sana, ilikuwa zinasanyaa siku 6 ila ikifika Jpili inakuwa siku ya hesabu na service. Madereva wananikabidhi hesabu yangu 8,000 kwa siku kila Tax so inakuja kama 96,000 kwa zote mbili.

Sasa napomwita fundi kuzipiga service ili Monday ziendelee kusanya aisee yaani service tu inafikia laki na nusu kwa zote. Nikajikuta napata hasara yaani ka mshahara kangu ka ujanani kakawa kanaishia kutengeneza hizi Corolla. Nilipata shida mno hadi ikafikia nikaja kuziuza kwa mafungu, nikapumua.

Kitu used sitaki kusikia tena bora nitembee na TZ 11 nikiyopewa na Mungu.
 
Katika kuhangaikia maisha miaka ya 2000 nilinunua Toyota Corolla mbili used Bongo nikazifanya Taxi. aise zilinipa adhabu sana, zinasanyaa ila ikifika Jpili siku ya hesabu basi napokea hesabu yangu 8,000 kwa siku kila Tax so nakunja kama 96,000 kwa zote.

Sasa napomwita fundi kuzipiga service ili monday zianze tena kusanya aisee service inafikia laki na nusu kwa zote. Nikajijuta napata hasara yaani ka mshahara kangu ka ujanani kakawa kanaishia kutengeneza hizi Corolla. Nilipata shida mno hadi ikafikia nikaja kuziuza kwa mafungu, nikapumua.

Kitu used sitaki kusikia tena bora nitembee na TZ 11 nikiyopewa na Mungu.
Una hamu ya kupimwa mkojo ? kitu used hakina garantii
 
Katika kuhangaikia maisha miaka ya 2000 nilinunua Toyota Corolla mbili used Bongo nikazifanya Taxi. aise zilinipa adhabu sana, zinasanyaa ila ikifika Jpili siku ya hesabu basi napokea hesabu yangu 8,000 kwa siku kila Tax so nakunja kama 96,000 kwa zote.

Sasa napomwita fundi kuzipiga service ili monday zianze tena kusanya aisee service inafikia laki na nusu kwa zote. Nikajijuta napata hasara yaani ka mshahara kangu ka ujanani kakawa kanaishia kutengeneza hizi Corolla. Nilipata shida mno hadi ikafikia nikaja kuziuza kwa mafungu, nikapumua.

Kitu used sitaki kusikia tena bora nitembee na TZ 11 nikiyopewa na Mungu.
Haya maisha ndiyo yapo ATCL hawatengenezi faida lakini wanatumia pesa nyingi kukarabati ndege ili wajanja wachache wapate cha juu, hata wewe ungechunguza vizuri hao madereva wako wa Tex walikuwa wakikuhujumu kisayansi kwa kula njama na gereji kisha wanapewa cha juu, hii Tabia ipo sana Tanzania hasa Tanganyika ni vigumu kupata maendeleo kupitia mfumo huu wa ufisadi.
 
Baada ya mafanikio makubwa kwenye Uchumi wa Viwanda..
Sasa tupo kwenye Uchumi wa Ndege..
Ni kununua Ndege nyingi kadiri iwezekanavyo..
Ndege zinalipa sana.

Kama biashara ya ndege inalipa naamini hizo Tshs. Billioni 13.9 zitalipwa na Shirika la ATCL na siyo kutokana na kodi zetu.
 
Mchakato wa kishheria ni upi? Hivi nyie mnalipwa kuwa wajinga? Mchakato wa kisheria ndio huo wa kila fungu la matumizi ya pesa za umma kupewa kibali na Mkuu wa nchi na serikali. Ninyi wana-Ufipa mnataka mchakato gani?

Wacha urongo!

hela za matumizi ya serikali hazipitishwi na Rais!

Tunataka kujua hii ni service ya kawaida ama ni ukarabati wa ubovu?

Kama ndege ni mbovu hizi ni terrible teens zimeanza ku rear their ugly face on him?

Kama ni ukarabati wa kawaida kwa nini hela inaenda kuombwa nje ya ATCL, haikuwa kwenye business plan?

Na ni kwa nini Waziri Kamwele ndio ana run ATCL badala ya a professionally qualified, full time dedicated, paid and accountable CEO of the company?

TUNATAKA MAJIBU!
 
Mzee mwinyi alishasema Tz ni kichwa ya mwendawazi! Watoto wanajifunzia kuzomea, kutukana na watu wazima wanajifuzia kupiga, kukashifu! Zinakarabatiwa kabla ya kuanza kazi!
 
Zikirudi kutoka Kanada jiwe atakwenda kuzipokea tena au?

Lazima aende kwa sababu yupo kwenye mgao wa bilion 13 licha ya kupiga trilion 1.5 na sasa anabuni mbinu za kumchakaza CAG ili watanzania wasikumbuke chochote maisha yaendelee
 
sawa mkuu maelezo mazuri....
Unajua kuna watu humu wanabisha hata uwanja wa ndege hawajawahi kufika either kutembea au kuwasindikiza ndugu zao acha kuzipanda. Mimi hapa nimeeleza si kwa kutetea ndege za Magufuli kwanza mimi na Magu ni kitu na ardhi na kuzimu kwa maana mimi ardhi Magu kuzimu. Ila nimeongea kitaalam ili watu wasidhani ndege ni sawa na unavyopeleka Kilimanjaro bus service garaji. Ndege ni kitu kingine na kinatawaliwa na watalaam waliosoma na wenye leseni za zinazotambuliwa kimataifa na siyo Mkumbi kafundishwa veta kajua kuendesha gari basi anakabidhiwa kuendesha. Ndege kuzihusisha na Magufuli ni ujinga. Magu mwenyewe pamoja na PhD (Pia handa Degree) hajui chochote kuhusu ndege. Ndege kuruka lazima iwe certified na engineer anayetambuliwa na CAA.
 
Acha uongo,hiyo ni ile ndege ya pekee ambayo atcl walikuwa nayo kabla Serikali haijaanza kununua zingne.usiwe unaongea kitu bila kuchunguza

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesema ndege mbili sio moja, duniani hakuna service ya hivi kwa ndege inayosemekana imenunuliwa mpya kabisa.....watu wa aviation watakua wanatucheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom