SGR: What really happened here?

Hicho kichwa cha treni ni mali ya kampuni inayojenga reli yetu ya SGR !... Yapi Merkezi hata rangi na nembo zake zinaonyesha hivyo!!... Hakuna mahali popote tumeambiwa kuwa ni kichwa cha treni za TRL!.. Kampuni ya Yapi Merkezi kuleta mitambo ikiwemo kichwa cha treni kufanya majaribio kwenye reli iliyokwisha jengwa ... haiwezi kuwa nongwa kiasi hicho.. Isitoshe kichwa cha treni cha aina hiyo ndiyo hasa vinavyotumika katika bara la ulaya. Kuanguka kwake Gongolamboto ni kiashiria tu cha uchakavu wa reli ya kati ambayo kwa uzito wa mzigo huenda ni chanzo cha ajali. Watanzania tuacheni hii tabia ya kukejeli na kukandia jitihada za ujenzi wa rasilimali zetu.:oops::oops:
 
Kwahiyo kimepita reli ya zamani

walisema kitaanza majaribio mwezi june nadhani sio hichi wameedit tu kwa nia ya kuchafua serikali yetu pendwa ya awamu ya V
 
Back
Top Bottom