SGR wajenzi wa Ureno wamepotelea wapi?

SGR wajenzi wa Ureno wamepotelea wapi?

Mjenzi ni mturuki Yapi MerkeZ

na mkandarasi msimamizi ni mreno Mota Engil pamoja na TRC muanzie hapo kujibu hoja na si blah blah mkiambiwa wajinga mnalia lia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo containers zinazoishia kibaha, Chalinze au bagamoyo huoni kama watakuwa wameongezewa gharama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mizigo yote inashushwa kwa consignee address, kama ni mzigo wa Kibaha utashushwa Dar Port kwa vile ni karibu, lakini mzigo wa Chalinze, utashushwa Moro na kurudishwa Chalinze.
P
 
Tena ulaya usafiri wa train ndio cheapest and effective, wewe niambie ni usafiri upi ambao unaweza kusafiri wewe pamoja na gari yako kama Panton kwa masafa marefu hata International? Ulaya natoka nchi A kwenda B na gari yangu nyumbani, napakia train na gari yangu inaingia ndani ya train mpaka ninapofika na ninarudi nayo kwa bei ya kawaida tu.
Mkuu sio nchi zote za Ulaya usafiri wa train ni nafuu. Nchi ya Uingereza kwa mfano gharama za train zipo juu ya mabasi na private. Ila train inachukua muda mfupi toka eneo moja kwenda jingine
Kwa ufupi ni kwamba utasafiri kwa muda mchache kulinganisha na aina yoyote ya usafiri mwingine ila kwa gharama zaidi kidogo. Safari ambayo ingekuchukua masaa matatu kwa basi pengine utakuchukua dakika 45 mpaka dakika 60 kwa train.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mabasi yetu tutapeleka wapi?
malori yetu ya mizigo itakuwaje?
Magu hafwai kabsaaa 😀
Mungu mkubwa!! Treni itakuwepo na,still nyie mtafanya kazi km kawa....kwa uzoefu wangu najua kuwa miradi mingi inayokuwa chini ya serikali huwa haina ufanisi kwa vyovyote vile kwa uzembe wao watatengeneza gape kwa watu wa malori na mabus kuendelea kupiga kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu mkubwa!! Treni itakuwepo na,still nyie mtafanya kazi km kawa....kwa uzoefu wangu najua kuwa miradi mingi inayokuwa chini ya serikali huwa haina ufanisi kwa vyovyote vile kwa uzembe wao watatengeneza gape kwa watu wa malori na mabus kuendelea kupiga kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
ok boss... was only joking... nina baiskeli tu
 
Mkuu Kalamu1, Asante kwa hii. hapa umesema jambo moja la maana sana kuhusu ujio wa SGR na hatma ya malori.

Kenya walipoanza, ili deni la SGR lilipike, Kenya waliyapakia kwenye SGR kwa lazima all containers bound to Nairobi, makosa yakawa mengi kujikuta kuna containers za Mombasa zinapelekwa Nairobi, na bado SGR haishibi.

Kwa Tanzania, SGR ni Central Corridor tuu, wakati the busiest route ni Southern Corridor, hivyo hata SGR ikianza, bado wenye malori watabeba mizigo ya Tunduma.

Na ili SGR ilipe, inahitaji mzigo wa kushiba haswa, hivyo ikianza ni lazima kulazimisha containers zote za Morogoro Rd, zipelekwe kwa SGR hadi Moro Dry Port na safari sasa zitaanzia Moro. Ikifika Dodoma, vivyo hivyo.

Maadam jirani zetu wametangulia, na SGR yao imeanza kuwa a white elephant, hakuna ubaya kujifunza kwa wenzetu, ili sisi yasitukute yaliyowakuta wenzetu hawa.

Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums

P.
Southern corridor, why not TAZARA?
 
Kaka utuambie wareno wamekwenda wapi bora umefika huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujenzi una phases nyingi na ma Sub contractors wengi, wengine ni madaraja tuu, wakimalizia, wanaondoka, hata huko mbeleni, kuna wengine wataingia, watafanya sehemu yao, wataondoka.

Maadam the main contractor yupo ni Yepi Merkezi, na kazi nzuri inaendelea vizuri na kwa kasi kusudiwa, tayari kwa kuwafunga watu vilimilimi 2020, tusihoji sana mambo ya ndani, wewe subiri tuu ikamilike, tushangilie na 2020 ni unachukua tuu, unaweka... au unajinyamazia.

Nimekuelewa handiledi pasenti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Southern corridor, why not TAZARA?
Tazara ni part of the Southern Corridor.
Pia kwenye Central Corridor, tuna reli inapita Isaka kuna bandari kavu ya mizigo ya Rwanda, Burundi na DRC
Na Nothern Corridor kuna reli toka bandari ya Tanga hadi Arusha.

Reli zote hizo, zilijengwa ili mzigo usibebwe na malori, lakini kitu cha ajabu sana, reli hizi ziko under utilized na mizigo inabebwa na malori ndio yako busy, Tunduma ndio the busiest border, reli tunazo, treni tunazo na mizigo ipo ya kutosha, sasa bila kujiuliza kwa nini tumeshindwa kutumia kilichopo, tunakwenda kuparamia SGR, sijui tutaijaza hii SGR kwa mzigo gani, na hata kuiendesha, sijui tutaiendesha kwa muujiza gani, kama kitu simple, kama Tazara na TRL, tumeshindwa, what about a sophisticated state of the art electric locomotives zinazo chanja 160kph?!

Niliuliza humu
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums

Pia nilishauri
Japo Beggars Can Not Be Choosers, Tuache Siasa Kwenye Uchumi. We Have to Choose Or. .. - JamiiForums
P
 
Mkuu Kalamu1, Asante kwa hii. hapa umesema jambo moja la maana sana kuhusu ujio wa SGR na hatma ya malori.

Kenya walipoanza, ili deni la SGR lilipike, Kenya waliyapakia kwenye SGR kwa lazima all containers bound to Nairobi, makosa yakawa mengi kujikuta kuna containers za Mombasa zinapelekwa Nairobi, na bado SGR haishibi.

Kwa Tanzania, SGR ni Central Corridor tuu, wakati the busiest route ni Southern Corridor, hivyo hata SGR ikianza, bado wenye malori watabeba mizigo ya Tunduma.

Na ili SGR ilipe, inahitaji mzigo wa kushiba haswa, hivyo ikianza ni lazima kulazimisha containers zote za Morogoro Rd, zipelekwe kwa SGR hadi Moro Dry Port na safari sasa zitaanzia Moro. Ikifika Dodoma, vivyo hivyo.

Maadam jirani zetu wametangulia, na SGR yao imeanza kuwa a white elephant, hakuna ubaya kujifunza kwa wenzetu, ili sisi yasitukute yaliyowakuta wenzetu hawa.

Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums

P.
Time is money and efficience matters! Kama System yetu itakuwa too fast na more efficient kwa nini isilipe?

Tatizo letu sisi tunafahamu na kuelezea mambo from our perspective na sio kutoka kwenye global perspective. Taarifa ya global warming sisi mara nyingi huwa hatujihushi nayo actively. Kwa waandishi wa habari kama nyie Mayala hamtaki kuwaambia wananchi ukweli wa mambo ulivyo. Sielewi mnafanya hivi kwa ajili ya kukosa Knowledge au basi ni maamuzi yenu tu?

Global warming kwa kutokana na air pollution ita tuathiri sisi haraka zaidi kuliko hata wenzetu ambao wanaishi kwenye polar regions. Diesel na fuel nyingine inaharibu manzingira yetu na kusababisha magonjwa ya saratan na pia Environment. Kwa hali hiyo wenzetu wazungu au Europens wamepitisha sheria ya ku-reduce idadi ya magari ya mizigo in the near future.

Mayala na waandishi wetu wa uswahilini mme base sana kwenye stories au informations kuhusu udaku udaku rather than scientific issues. Na mara nyingi habari zinazo husu makosa ya serikali yetu. Informations kama hizo zinuzika vizuri sana kuliko ukweli wa mambo halisi.

Tunajipumbaza sisi wenyewe kwa taarifa za aina hiyo moja mda wote. Lazima muwe mna alternate au ku-varry taarifa mnazozitoa kwa wananchi.

Nikupe mfano mmoja Mayala, unajua Uingereza ina brexit EU. Unajua kwa nini? Toka mimi niende Ulaya 1987 magazeti ya Uingereza hasa hasa SUN mda wote walikuwa lazima watoe comments mbaya kuhusu EU. Sasa Comments hizi zika pandikiza chuki katika ubongo wa waingereza hasa wale waliojiona kuwa wao ni Looser wa maendeleo ya uchumi.

Kilichotokea kwenye referandum ambayo Prime Minister David Cameron – Wikipedia
wa Uingereza aliiitisha matokeo yake wengi walitumia hiyo nafasi kwa ku-vote YES for BREXIT. Wabunge kama
Boris Johnson – Wikipedia
na
Nigel Farage – Wikipedia
wao permanently walikuwa wana i-ctricize EU. Kila kitu kibaya kwao kilitoka EU. Badala ya kuwaeleza wananchi wao ukweli wa mambo wao hawakutaka kwa sababu walitaka kujinufaisha wenyewe. Sasa wanajionea wenyewe matokeo yake kwenye kuharibu system yao ya Europe.

Nakusihi Mayala na waandishi wa habari wenzako wa usawahilini, pamoja na critics zote mnazo zitoa kuhusu serikali yetu, muwe pia mnawaeleza wafuasi wenu kuwa kuna mazuri pia ambayo yanatendeka na serikali yetu. Msipende tu kuwa feed watu mambo mabaya tu ya serikali kama kijana mmoja mbunge ambaye yeye ni kusimulia ubaya tu wa Magufuli, kana kwamba yeye ni Rais ambaye ni Monster. Amesahau kuwa huyo Rais amechaguliwa na watanzania kwa misingi ya katiba yetu na ana haki ya kutawala nchi mpaka atakapo gombea tena na kushindwa au kumaliza mihula yake.

Mkuu Maneno Meier, japo sijapenda unavyotuita waandishi was uswahilini, ila huu ndio ukweli wenyewe kuhusu sisi waandishi wa Bongo.

Nimependa objectivity yako kwenye bandiko hili kuhusu biased reporting ya kuangazia mabaya tuu hivyo kujenga a negative picture ya utawapa huu.

Kwenye waandishi wetu wengi, kiukweli knowledge ni changamoto.
Enzi zetu, sifa za kuwa mwandishi, ni kujua tuu kusoma na kuandika, amini usiamini mpaka leo hii ninapoandika hapa, kuna waandishi wakubwa tuu lakini ni darasa la 7.

Waliojiunga journalism ni wale form IV failures walioshindwa kwenda form V.
Kuna kundi la akina sisi tuliojounga media for the love of it. Tulifanya vizuri class na kujoin journalism, na kutokana na vipato duni vya media, watu walitushangaa!.

Watu kama Benjamin Mkapa, Prof. Palamagamba Kabudi, Dr. Harrison Mwakyembe, Dr. Sengodo Mvungi (RIP), Dr. Agery Mlimuka wote hawa ni journalist, ila walipopiga fani zinazolipa zaidi, waliuaga uandishi.

Wenzetu ulaya, uwezo na kipaji kinakuwa spotted early, waalimu na wazazi wanakujengea passion for it. Hao niliokutajia wengekuwa na passion, wengekuwa na columist hata once monthly kuandika chochote.

Media zetu hatuna specialization, hadi hapa ninapoandika, hatuna waandishi competent kuiripoti repoti ya CAG, angalau kwenye print wamejitahidi kidogo, wana feature writers na Daily News kuna mwandishi ame specialize na court reporting, lakini kwenye electronic media, hakuna kabisa, no features no documentaries, hivyo you are very right, kwa waandishi wetu wengi, kuwa knowledge ni changamoto.

Hili la ku concentrate on the negatives badala ya positives za Magufuli na awamu yake ya 5, tutofautishe kutimiza wajibu na kufanya makubwa. Maadam wewe kama baba unawajibu to provide for your family, unapoleta keki badala ya mkate au kumsomesha mwanao academy badala ya St. Kayumba huhitaji kupongezwa, huo ni wajibu wako. Kwenye hili tuliache kidogo naenda church, nikitoka nitakutembeza mitaa michache na kuomba objective opinion yako kama hapa.

Kiukweli humu JF ya sasa, watu objective kama wewe ni wakutafuta, hivyo mnapojitokeza, sisi tunaopenda objectivity ni lazima tuwabananishe kupata opinion zenu.

Thanks.
P
 
Tazara ni part of the Southern Corridor.
Pia kwenye Central Corridor, tuna reli inapita Isaka kuna bandari kavu ya mizigo ya Rwanda, Burundi na DRC
Na Nothern Corridor kuna reli toka bandari ya Tanga hadi Arusha.

Reli zote hizo, zilijengwa ili mzigo usibebwe na malori, lakini kitu cha ajabu sana, reli hizi ziko under utilized na mizigo inabebwa na malori ndio yako busy, Tunduma ndio the busiest border, reli tunazo, treni tunazo na mizigo ipo ya kutosha, sasa bila kujiuliza kwa nini tumeshindwa kutumia kilichopo, tunakwenda kuparamia SGR, sijui tutaijaza hii SGR kwa mzigo gani, na hata kuiendesha, sijui tutaiendesha kwa muujiza gani, kama kitu simple, kama Tazara na TRL, tumeshindwa, what about a sophisticated state of the art electric locomotives zinazo chanja 160kph?!

Niliuliza humu
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums

Pia nilishauri
Japo Beggars Can Not Be Choosers, Tuache Siasa Kwenye Uchumi. We Have to Choose Or. .. - JamiiForums
P
Jpm na uthubutu wake wote ameshindwa "lazimisha" mizigo inayobebwa na malori kuelekeo maeneo hayo tajwa yaliyo bize kashindwa kabisa? Kuna nini haswa!
 
Back
Top Bottom