Watu wanachoshindwa kujua ni kwamba SIO KILA MZIGO UTASAFIRISHWA KWA TRENI.Nchi kama USA na China wana mtandao wa reli wa uhakika na unaofanya kazi kwa weledi lakini biashara ya malori ipo na inakuwa kila siku.

Jamaa wanajiamini, stesheni kuu hata msingi bado ila wanatuhskikishia November kitu kinatembea!siku hizi mnatafuta sababu yoyote ili mpinge tu.
Wewe umeambiwa ujenzi wa SGR unakamilika november habari za wajenzi zinakuhusu nini?
Gerezani..! Mbona naikaga hapo! wako kwenye ujenzi wa hilo daraja au?wapo bwana njoo Gerezani Dar utawakuta
UchocheziLabda kamanda mtundulisu amewashawishi waondoke; si unajua Portugal ni sehemu ya EU na yeye ameweka kambi huko.
Mkuu Kalamu1, Asante kwa hii. hapa umesema jambo moja la maana sana kuhusu ujio wa SGR na hatma ya malori.
Kenya walipoanza, ili deni la SGR lilipike, Kenya waliyapakia kwenye SGR kwa lazima all containers bound to Nairobi, makosa yakawa mengi kujikuta kuna containers za Mombasa zinapelekwa Nairobi, na bado SGR haishibi.
Kwa Tanzania, SGR ni Central Corridor tuu, wakati the busiest route ni Southern Corridor, hivyo hata SGR ikianza, bado wenye malori watabeba mizigo ya Tunduma.
Na ili SGR ilipe, inahitaji mzigo wa kushiba haswa, hivyo ikianza ni lazima kulazimisha containers zote za Morogoro Rd, zipelekwe kwa SGR hadi Moro Dry Port na safari sasa zitaanzia Moro. Ikifika Dodoma, vivyo hivyo.
Maadam jirani zetu wametangulia, na SGR yao imeanza kuwa a white elephant, hakuna ubaya kujifunza kwa wenzetu, ili sisi yasitukute yaliyowakuta wenzetu hawa.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums
P.
Lengo ni kurahisishia maisha wananchi sasa kama wewe unajifikiria pekee yako wakati kuna watu million 60 hauna akilisasa mabasi yetu tutapeleka wapi?
malori yetu ya mizigo itakuwaje?
Magu hafwai kabsaaa 😀
Luxury train is it?Sio kweli. Kuna sehemu train inagharama hata mara 10 ya Bus. Mfano train kutoka London hadi Manchester inaweza kufika £100 wakati Bus inakuwa £10-15 hivi
Dont attack me... umeona na kicheko mwisho.... was talking kwa waliokuwa selfish wakaua kwa ubinafsi... mimi maskini mkuu nina baiskeli tu... i was just jokingLengo ni kurahisishia maisha wananchi sasa kama wewe unajifikiria pekee yako wakati kuna watu million 60 hauna akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwazi zaidi unahitajika. Tusije kufika 2025 bila kuona hata behewa moja likitembea.Wareno waliuacha mradi muda mrefu sana. Ila ipo chini ya mkeka. Kwa sasa wanaopiga mzigo ni waturuki peke yao. Inasemekana wareno hawakulipwa stahiki zao kama walivyokubaliana - wakafungasha kila kitu na kuondoka nchini.
Yapi Merkezi wanaweza kuwa wamepata guarantee kutoka kwa serikali yao (Uturuki) kwamba wasipolipwa na serikali yetu basi serikali yao itawalipa na kutudai sisi. Sidhani kama wareno walipata uhakika huo.
Ureno = Portugal(Uturuki)!! 😀, kweli baadhi ya Watanzania, Geography imewapiga chengaNipe tofauti kati ya ureno na uturuki. Mbona kama umechanganya madesa.
Ureno=Portugal (uturuki).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unauhakika huo? Modern transport is not cheap. Refer Mwendokasi, nauli ya 650/- bado haitoshi ndio maana mradi unaenda hovyo hovyo. Hio SGR mkileta siasa ili tuone nauli ni rahisi kuliko bus mtaharibu na tutashuhudia ya UDARTLuxury train is it?
Ila treni yetu haiwezi kuwa expensive kuliko basi.
Duuh!!!Nipe tofauti kati ya ureno na uturuki. Mbona kama umechanganya madesa.
Ureno=Portugal (uturuki).
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe mimi ndio nimepuyanga.Ureno = Portugal(Uturuki)!!, kweli baadhi ya Watanzania, Geography imewapiga chenga
Mkuu Ureno na Uturuki(Turkey) ni nchi mbili tafauti, Ureno ni nchi ya Vasco Dagama, Uturuki ni nchi ya Othman the Great..
Paskali hakuna mtu angependa kulipia gharama kubwa kwa bidhaa anazosafisha kutumia chombo chochote cha usafirishaji.Mkuu Kalamu1, Asante kwa hii. hapa umesema jambo moja la maana sana kuhusu ujio wa SGR na hatma ya malori.
Kenya walipoanza, ili deni la SGR lilipike, Kenya waliyapakia kwenye SGR kwa lazima all containers bound to Nairobi, makosa yakawa mengi kujikuta kuna containers za Mombasa zinapelekwa Nairobi, na bado SGR haishibi.
Kwa Tanzania, SGR ni Central Corridor tuu, wakati the busiest route ni Southern Corridor, hivyo hata SGR ikianza, bado wenye malori watabeba mizigo ya Tunduma.
Na ili SGR ilipe, inahitaji mzigo wa kushiba haswa, hivyo ikianza ni lazima kulazimisha containers zote za Morogoro Rd, zipelekwe kwa SGR hadi Moro Dry Port na safari sasa zitaanzia Moro. Ikifika Dodoma, vivyo hivyo.
Maadam jirani zetu wametangulia, na SGR yao imeanza kuwa a white elephant, hakuna ubaya kujifunza kwa wenzetu, ili sisi yasitukute yaliyowakuta wenzetu hawa.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums
P.
Paskali hakuna mtu angependa kulipia gharama kubwa kwa bidhaa anazosafisha kutumia chombo chochote cha usafirishaji.Mkuu Kalamu1, Asante kwa hii. hapa umesema jambo moja la maana sana kuhusu ujio wa SGR na hatma ya malori.
Kenya walipoanza, ili deni la SGR lilipike, Kenya waliyapakia kwenye SGR kwa lazima all containers bound to Nairobi, makosa yakawa mengi kujikuta kuna containers za Mombasa zinapelekwa Nairobi, na bado SGR haishibi.
Kwa Tanzania, SGR ni Central Corridor tuu, wakati the busiest route ni Southern Corridor, hivyo hata SGR ikianza, bado wenye malori watabeba mizigo ya Tunduma.
Na ili SGR ilipe, inahitaji mzigo wa kushiba haswa, hivyo ikianza ni lazima kulazimisha containers zote za Morogoro Rd, zipelekwe kwa SGR hadi Moro Dry Port na safari sasa zitaanzia Moro. Ikifika Dodoma, vivyo hivyo.
Maadam jirani zetu wametangulia, na SGR yao imeanza kuwa a white elephant, hakuna ubaya kujifunza kwa wenzetu, ili sisi yasitukute yaliyowakuta wenzetu hawa.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums
P.
Kuna TAZARA na bado mabasi yanajaa! Kuna mwendokasi Dar na dala dala zinajaa! SGR haiwezi ku satisfy demand itapunguza usumbufu kwa kiasi kikubwa. Na kuna wengi watakuwa hawawezi ku afford kupanda pia!
Umeambiwa zinazodi morogoro watachukulia dry port ya moro hasa sijui chalinze inazidi moro.Kwa hiyo containers zinazoishia kibaha, Chalinze au bagamoyo huoni kama watakuwa wameongezewa gharama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo baiskeli tunataka uilipie kodi ya mjasiliamali.sio mimi boss.. was joking kwa niaba ya waliofanya hivyo... mimi kapuku nina baiskeli tu
Haina shida Mkuu,..