Sina haja na league za kitoto mdau, me naongea fact kutoka kwenye sector ya usafirishaji ulimwenguni, yaani ni research imefanyika kati ya aina zote za usafiri ambazo zinatumika Ulimwenguni kwa sasa train ni cheapest and effective, usafiri wa maji ni cheapest lakini ni slow
Train ni cheapest and effective sababu ndio usafiri wa ardhini wenye speed kubwa sana na wenye uwezo wa kubeba abiria wengi na mizigo mingi kuliko usafiri wowote ule, hauhitaji periodic maintenance na upo independent (njia ya reli ni train tu inapita) so kisa eti nauli London ni bei ghali hiyo haindoi fact kwamba eti train si chochote that's childish composition, mambo hayatafsiriwi hivyo mzee,
Train ina multiple powering options, inaweza kutumia umeme, liquid energies, steam, coal etc ni usafiri upi unaweza kua na versatile energy combustion?
Bongo tu train ya mwakyembe nauli ni kuanzia shilling 50, ulishaona wapi kwenye usafiri wowote nauli ni shilling 50? Behewa moja tu linabeba abiria in hundreds
The Cheapest Modes Of Transportation In The World