Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,144
Kama mradi ungesimama hoja yako ingekuwa na mashiko..
Labda kutoka Lahore kwenda Karachi juu ya.carriage!Treni ndio usafiri wa bei cheap kuliko zote so atakayeshindwa kuafford treni labda atembee kwa miguu.
Umeongea kienyeji kama ulieingizwa JF kwa rushwa, hivi unajua hata namna mkandarasi anavyofanya kazi na namna serikali inavyomlipa au unafikiri serikali inapatana na mkandarasi kama wewe unavyopatana na fundi wa nyumba yako?Wareno waliuacha mradi muda mrefu sana. Ila ipo chini ya mkeka. Kwa sasa wanaopiga mzigo ni waturuki peke yao. Inasemekana wareno hawakulipwa stahiki zao kama walivyokubaliana - wakafungasha kila kitu na kuondoka nchini.
Yapi Merkezi wanaweza kuwa wamepata guarantee kutoka kwa serikali yao (Uturuki) kwamba wasipolipwa na serikali yetu basi serikali yao itawalipa na kutudai sisi. Sidhani kama wareno walipata uhakika huo.
Kwenye project za engineering kuna mtu anaitwa consultant engineer,yeye ni mtu wa kutengeneza mifumo na kutoa ushauri kwa engineer anayetekeleza project,hivyo wareno wanaweza wakawa wapo kwenye hilo kundi la consultant engineer.Binafsi mfatiliaji mzuri sana wa huu mradi wa SGR lakini nilisikia tu kuwa Yapi Merkezi na Motor Engine ya Ureno ndiyo wanajenga lakini sijawahi kuwaona Motor Engine tangia mradi uanze wala kuona gari lao au kifaa chochote kile naona Yapi Markezi ya Uturuki tu na nafikiri wao ndiyo wamechukua sehemu kubwa ya ujenzi na hata phase 2 ni Yapi Merkezi pekee watajenga labda tu Motor engine wao wanadili na issue nyingine.
Wadeki lami na mambo ya reli wapi na wapi mkuu?Treni ndio usafiri wa bei cheap kuliko zote so atakayeshindwa kuafford treni labda atembee kwa miguu.
Mkuu, lazima tuwaone site na vumbi usoni vinginevyo kuna maujanja ujanja. Huu ndio mtazamo wa watanzania vilaza. Mi sio kilaza btw.Tuache masihara katika mambo ya msingi.Miradi mikubwa huwa na wadau wengi, si wote wanaonekana front site.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ulaya usafiri wa train ndio cheapest and effective, wewe niambie ni usafiri upi ambao unaweza kusafiri wewe pamoja na gari yako kama Panton kwa masafa marefu hata International? Ulaya natoka nchi A kwenda B na gari yangu nyumbani, napakia train na gari yangu inaingia ndani ya train mpaka ninapofika na ninarudi nayo kwa bei ya kawaida tu.Sio kweli. Kuna sehemu train inagharama hata mara 10 ya Bus. Mfano train kutoka London hadi Manchester inaweza kufika £100 wakati Bus inakuwa £10-15 hivi
Ureno ni Portugal kwa kina Christiano RonaldoNipe tofauti kati ya ureno na uturuki. Mbona kama umechanganya madesa.
Ureno=Portugal (uturuki).
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa taarifa hizo zilizofichwa na jiwe
Jamani tulizoea kuona wa Portugese kambi yao Ngerengere wakijenga reli sasa hivi hata mmoja haonekani mbona hatuambiwi wamepotelea wapi?
Mwenye taarifa anaweza kutuelewesha?
Tumezoea Abood zetu na ajali zake Bwawanisasa mabasi yetu tutapeleka wapi?
malori yetu ya mizigo itakuwaje?
Magu hafwai kabsaaa 😀
Acha uonga wewe, Wareno walishindwa wenyewe kufwata masharti baina yao na Waturuki hivyo ikapelekea mturuki kumtimua Mreno. Kumbuka Mreno aliletwa na Mturuki jombaaaa na sio Selikari.Wareno waliuacha mradi muda mrefu sana. Ila ipo chini ya mkeka. Kwa sasa wanaopiga mzigo ni waturuki peke yao. Inasemekana wareno hawakulipwa stahiki zao kama walivyokubaliana - wakafungasha kila kitu na kuondoka nchini.
Yapi Merkezi wanaweza kuwa wamepata guarantee kutoka kwa serikali yao (Uturuki) kwamba wasipolipwa na serikali yetu basi serikali yao itawalipa na kutudai sisi. Sidhani kama wareno walipata uhakika huo.
Boss, train Ulaya is not cheap. It is effective but not cheap.Tena ulaya usafiri wa train ndio cheapest and effective, wewe niambie ni usafiri upi ambao unaweza kusafiri wewe pamoja na gari yako kama Panton kwa masafa marefu hata International? Ulaya natoka nchi A kwenda B na gari yangu nyumbani, napakia train na gari yangu inaingia ndani ya train mpaka ninapofika na ninarudi nayo kwa bei ya kawaida tu.
😅😅😅😑mashuleni mnasomaga nini asee?Nipe tofauti kati ya ureno na uturuki. Mbona kama umechanganya madesa.
Ureno=Portugal (uturuki).
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ulaya usafiri wa train ndio cheapest and effective, wewe niambie ni usafiri upi ambao unaweza kusafiri wewe pamoja na gari yako kama Panton kwa masafa marefu hata International? Ulaya natoka nchi A kwenda B na gari yangu nyumbani, napakia train na gari yangu inaingia ndani ya train mpaka ninapofika na ninarudi nayo kwa bei ya kawaida tu.
Kilichofanyika baada ya Yapi kupata mradi waligawana vipande vya kufanya kazi na Motor wale wareno. Motor kwa upande wake akatafuta subcontractor tena na kuwauzia kazi lakini mitambo na mafuta wanachukua kwa Yapi.. Ikaonekana utekelezaji wa kipande cha Motor unayumba na hivyo kupelekea Yapi kuvunja mkataba na Motor mwezi wa kwanza 2019. Sasa hivi mradi unatekelezwa na Yapi
Hahahaaa hao mabeberu hatuwatakiLabda kamanda mtundulisu amewashawishi waondoke; si unajua Portugal ni sehemu ya EU na yeye ameweka kambi huko.
Wajenzi ni Waturuki wa Kampuni inaitwa YEPI MERKEZI kama wamekimbia Basi Itakuwa Jiwe Kafulia *****Jamani tulizoea kuona wa Portugese kambi yao Ngerengere wakijenga reli sasa hivi hata mmoja haonekani mbona hatuambiwi wamepotelea wapi?
Mwenye taarifa anaweza kutuelewesha?