Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Kiufupi unajifunza kutokana na mazingira na kufananisha.
Huu mradi wamelipua sehemu nyingi sana njia za reli ni kama pesa imepigwa sana.
Mikoa korofi kama morogoro mvua zikinyesha lazima kufunga njia nyingi za usifiri.
Je wanajua shida nini.?.
Serikali inapeleka wasanii nchi za nje kwa kipi sasa.
Wakati ingepeleka vijana wake waliosoma kurudi na maarifa ambayo msaada.
Morogoro na mikoa ambayo mvua uleta maafa ilitakiwa kutengenezwa uzibiti wa njia za maji.
Kuanzia steji za mito na mitaro.
Nchi kama japan, tokyo imeweza ili na nchi ambazo ardhi zao zina maji mengi n.k.
Hata hii zimetushinda kulinda kingo