nani ankuonea wivu?Wenye wivu wanaumia Sana kuona maendeleo
Your rail is on ground level, pathetic.
mkuu mi nipo pugu nilikuwa na shida ya kifusi. hawa jamaa wanatoa?What's ur take now?
VS
This
Which one is superior? Angalia continuous welded, communication towers, overhead catrige, kitu levelled, mifereji both sides na mpaka milimani! The grass the ways the mountains have been carved to give a way for the line! It's just splendid environmental conservation at heart!
Hawa wana quarries zao si kwa ajili ya kuuza! Ukipitia clips zao utaona wanapotoa hizo kokotoi wana migodi yao kabisa na wanalipua na wana mitambo ya ku-grind and crush! Ila naamini ukipita machimbo ya kokoto kama ya Kunduchi na kwingine huzikosi!mkuu mi nipo pugu nilikuwa na shida ya kifusi. hawa jamaa wanatoa?
sio za kuuza. nimesikia huwa wanasaidia kama part of CSR. nahitaji kwa natumizi tu.Hawa wana quarries zao si kwa ajili ya kuuza! Ukipitia clips zao utaona wanapotoa hizo kokotoi wana migodi yao kabisa na wanalipua na wana mitambo ya ku-grind and crush! Ila naamini ukipita machimbo ya kokoto kama ya Kunduchi na kwingine huzikosi!
Ati? Wacha kudanganywa! Yaani watumie kuchimba kuzipasua kwa baruti na kuzichonga kwa mitambo yao halafu wazigawe bure! Jaribu ukipata uniambie! Kwanza ukijaribu kuenda kwenye huo mgodi wanaweza kukuweka ndani for tresspassing maana wanatumia baruti kulipua miamba! Nenda uje utueleze! ☝️ ✌️✌️😂😂✌️ CSR ndo wakupe wewe bure? wewe ni community au individual? Halafu kuwa mwangalifu inaweza kuwa kuna watu wanazichota (kuziiba) wanakuja kuziuza mitaani wakiulizwa wanasema Yapi Merkezi wanagawa kwa CSR! Mimi naufuatilia huu mradi kinoma na sijawahi ona clip yoyote ya CSR ikiongelea hilo!sio za kuuza. nimesikia huwa wanasaidia kama part of CSR. nahitaji kwa natumizi tu.
nimejaribu mkuu kufuatilia. nimeambiwa nipate barua kutoka serkali za mtaa. nimepata barua na nimepeleka pale ilala shauri moyo. nimeiacha pale nimeambiwa nisubiri. ikikubaliwa nitapewa kibali nitaenda site na watamuasign dereva nipewe mzigo.Ati? Wacha kudanganywa! Yaani watumie kuchimba kuzipasua kwa baruti na kuzichonga kwa mitambo yao halafu wazigawe bure! Jaribu ukipata uniambie! kwanza ukijaribu kuenda kwenye huo mgodi wanaweza kukuweka ndani for tresspassing maana wanatumia baruti kulipua miamba! Nenda uje utueleze! CSR ndo wakupe wewe bure? wewe ni community au individual? Halafu kuwa mwangalifu inaweza kuwa kuna watu wanazichota (kuziiba) wanakuja kuziuza mitaani wakiulizwa wanasema Yapi Merkezi wanagawa kwa CSR! Mimi naufuatilia huu mradi kinoma na sijawai ona clip yoyote ya CSR ikiongelea hilo!
Ohk ukipakia mzigo tupia picha humu!nimejaribu mkuu kufuatilia. nimeambiwa nipate barua kutoka serkali za mtaa. nimepata barua na nimepeleka pale ilala shauri moyo. nimeiacha pale nimeambiwa nisubiri. ikikubaliwa nitapewa kibali nitaenda site na watamuasign dereva nipewe mzigo.
tuombe Mungu mkuu nikubaliwe maana ninashida nacho sanaOhk ukipakia mzigo tupia picha humu!
Mtagi geza uloleKunanini tena Nkrumah ? Mbona SGr inavunjwa ?
Sio kutagi Geza Ulole tu. Wekeni pia picha
Wamemaliza?Una ardue na wataalamu??. They have there plan and experience. They know what they are doing.
Hata dalili hakuna, pengine 2022 hukoMagu aliwapa order 2020 Dar-Dom kuwe tayari. Naona wanapambana kufanikisha hili
Kulikuwa na ufa katika moja ya nguzo za darajaKunanini tena Nkrumah ? Mbona SGr inavunjwa ?