SGR Construction in Tanzania - UPDATES

maximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speed
Unamjua Kungu Kadogosa wewe????
 
Nimecheki stesheni za dar na moro almost zimeshaisha na hizo ndio stand kuu yani kama gerezani na kimara.
Ay weka picha wenzio wafaidike kama umeona daraja la juu hap dsm wameanza kuweka hizo pembe kmaa ndovu umeoana. Na hil pig wawkeee
 
Back
Top Bottom