SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Sisi akina Tomaso tunasubiri mpaka tuweke makanyagio yetu kwenye mchuma ndo tuamini!
 
Your rail is on ground level, pathetic.

What's ur take now?
Ej-AXr9X0AEJ2iz

VS

This
2592909_tapatalk_1602839318855.jpeg

2592907_tapatalk_1602839515296.jpeg

EkdxQDGWkAAfuij

Which one is superior? Angalia continuous welded, communication towers, overhead catrige, kitu levelled, mifereji both sides na mpaka milimani! The grass the ways the mountains have been carved to give a way for the line! It's just splendid environmental conservation at heart!
 
mkuu mi nipo pugu nilikuwa na shida ya kifusi. hawa jamaa wanatoa?
 
mkuu mi nipo pugu nilikuwa na shida ya kifusi. hawa jamaa wanatoa?
Hawa wana quarries zao si kwa ajili ya kuuza! Ukipitia clips zao utaona wanapotoa hizo kokotoi wana migodi yao kabisa na wanalipua na wana mitambo ya ku-grind and crush! Ila naamini ukipita machimbo ya kokoto kama ya Kunduchi na kwingine huzikosi!
 
sio za kuuza. nimesikia huwa wanasaidia kama part of CSR. nahitaji kwa natumizi tu.
 
sio za kuuza. nimesikia huwa wanasaidia kama part of CSR. nahitaji kwa natumizi tu.
Ati? Wacha kudanganywa! Yaani watumie kuchimba kuzipasua kwa baruti na kuzichonga kwa mitambo yao halafu wazigawe bure! Jaribu ukipata uniambie! Kwanza ukijaribu kuenda kwenye huo mgodi wanaweza kukuweka ndani for tresspassing maana wanatumia baruti kulipua miamba! Nenda uje utueleze! ☝️ ✌️✌️😂😂✌️ CSR ndo wakupe wewe bure? wewe ni community au individual? Halafu kuwa mwangalifu inaweza kuwa kuna watu wanazichota (kuziiba) wanakuja kuziuza mitaani wakiulizwa wanasema Yapi Merkezi wanagawa kwa CSR! Mimi naufuatilia huu mradi kinoma na sijawahi ona clip yoyote ya CSR ikiongelea hilo!
 
Ati? Wacha kudanganywa! Yaani watumie kuchimba kuzipasua kwa baruti na kuzichonga kwa mitambo yao halafu wazigawe bure! Jaribu ukipata uniambie! kwanza ukijaribu kuenda kwenye huo mgodi wanaweza kukuweka ndani for tresspassing maana wanatumia baruti kulipua miamba! Nenda uje utueleze! CSR ndo wakupe wewe bure? wewe ni community au individual? Halafu kuwa mwangalifu inaweza kuwa kuna watu wanazichota (kuziiba) wanakuja kuziuza mitaani wakiulizwa wanasema Yapi Merkezi wanagawa kwa CSR! Mimi naufuatilia huu mradi kinoma na sijawai ona clip yoyote ya CSR ikiongelea hilo!
nimejaribu mkuu kufuatilia. nimeambiwa nipate barua kutoka serkali za mtaa. nimepata barua na nimepeleka pale ilala shauri moyo. nimeiacha pale nimeambiwa nisubiri. ikikubaliwa nitapewa kibali nitaenda site na watamuasign dereva nipewe mzigo.
 
Ohk ukipakia mzigo tupia picha humu!
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom