Sexercise: Working out to increase your sexuality!

Nimekasirika sana hapa! Kwanza mazoezi hufanyi tena kila kitu umechoka....watch out!
Sasa unakasirika nini baba mchungaji?!Kusema una kitambi hadharani?!Owkey owwkeyyy ngoja niseme ukweli....mazoezi kwako ni kama sala umejijenga ukajengeka!Wenye wivu wajinyonge maana hatuna vitambi sie...!
 
"PEOPLE WHO EXCERSIZE MORE THEY WIL HAVE MORE SEX" Duh! Mchungaji hapa ulimaanisha nin?
 
ahsante rev.mm huridhika nikikutana na laaziz wangu automatic huwa napata raha tu za ajabu.kila mtu na alivyo.kwangu haijalishi shepu,umbo au kipimo.kwangu mm hayo sio muhimu.vilivyobaki vinakuja automatic

Asee!!!
Nilikuwa sijui hii!!
 
Ahsante mchungaji kwa semina ya ndoa, pale kwenye crunches.....hahahahahaaaaa.....hii inataka thread yake
 
Sasa unakasirika nini baba mchungaji?!Kusema una kitambi hadharani?!Owkey owwkeyyy ngoja niseme ukweli....mazoezi kwako ni kama sala umejijenga ukajengeka!Wenye wivu wajinyonge maana hatuna vitambi sie...!

Walau! Nibakishie Kalimati unazoziita half cake naenda GYM nikitoka napitia kwa Shosti kumpa salaam zako!
 
Ahsante mchungaji kwa semina ya ndoa, pale kwenye crunches.....hahahahahaaaaa.....hii inataka thread yake

Abs crunches ni zoezi nzuri sana sema gumu...u can do it at home with fitness ball.
 
Unapenda MORE SEX--------Lundo la sex, sex zaidi na zaidi FF?!!!

Rephrase Memo hapo nimepata neno sex, zaidi, FF but sijapata the connection nielewe.
Then nitajibu kama napenda SEX au lah!
 
Sasa Rev sie wenye vitambi mbona utatufukuzia soko jamani?!... Sio wote tunajamba jamani sema tu wengi wetu ni wavivu.sante lakini kwa ushauri ntaufanyia kazi
 
Sasa Rev sie wenye vitambi mbona utatufukuzia soko jamani?!... Sio wote tunajamba jamani sema tu wengi wetu ni wavivu.sante lakini kwa ushauri ntaufanyia kazi

Chukua hatua bado hujachelewa! Abs Crunches
 
Babu mbona hata sie wafanya mazoezi kuna wakati tunambaja?au ni hewa inaingia wakati wa majamboz?

Heeeeh kijambo cha heri kwa mwenye mazoezi na huwezi sema unajamba all the time wakati wa game!
 
Sitanii Saint hao na matumbo yao hasa ya mbele hapana.

where else kuna matumbo katika mwili wa binadamu!!!??? kama mkeo baad aya kuzaa watoto usishangae na yeye akawa na kitambi, sasa cjui utaachana nae au utakuwa na wasio na matumbo kwa ajili ya sex tu na huyo mkeo akabaki kuwa ni mlezi wa watoto tu! wengi tulikuwa na viuno vya nyigu lakini baada ya waume kutujaza matumbo leo wanasema eti wenye matumbo wanajamba ovyo...oooh this world is not fair...
 
Back
Top Bottom