Sexercise: Working out to increase your sexuality!

Swali la kizushi: mbona kina dada wengi jukwaa hili ni ni JF Premium Members? ili lina uhusiano wowote na mkuu Maxes Mello alivyohudhuria show ya mamiss?
 
My dearest!

Wewe mbona huna shida, kitambi chako kiko presentable kile cha nyuma (kijungu) na nguo zile ulizokuwa umevaa za kinigeria kitambi cha mbele labda kama ningekuwa na Telescope ndo ningekiona

Hahahahha wanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa eh?? hhahaha sawa bwana......kijungu ukisemacho ni kile cha 'Embu" kumbuka afu kifuani ah Muumba haku'nnyima wala kunfanyia choyo'..........nway ujumbe umefika......ny the way wale waumini walokuwa na kesi ya kunyimana unyumba siku ile uliwezasuluhisha???
 
Swali la kizushi: mbona kina dada wengi jukwaa hili ni ni JF Premium Members? ili lina uhusiano wowote na mkuu Maxes Mello alivyohudhuria show ya mamiss?

HAkuhudhuria bali alishiriki kuandaa!¬
 
Hahahahha wanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa eh?? hhahaha sawa bwana......kijungu ukisemacho ni kile cha 'Embu" kumbuka afu kifuani ah Muumba haku'nnyima wala kunfanyia choyo'..........nway ujumbe umefika......ny the way wale waumini walokuwa na kesi ya kunyimana unyumba siku ile uliwezasuluhisha???

Ilikwisha na yule mdada anarajia kujifungua Jan 2012
 
very true .......
kitu kizuri kuhusu exercise ni unakula unachotaka..
teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom