Sex jihad hii kitu ni balaa!!

Sex jihad hii kitu ni balaa!!

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,445
Reaction score
20,814
Najiuliza hawa wanawake wa Tunisia wanaoenda kugegedwa syria na waasi kwa kupokezana huwa wana akilu zao timamu au ndo washalishwa unga wa ndere?kuna ukweli wowote wa mafundisho ya dini yanayosapoti hili suala?
 
hii ungewaachia kule kwenye majukwaa yao maana...
 
Ndo kwanza nawasikia kwako! labda utueleze mambo yao wanafanyeje?

Wanawake wa Tunisia na sehemu nyingine wanakwenda syria kuwasapoti waasi kwa kufanya nao mapenzi wakiwa na imani ya kuwa watakwenda peponi baada ya kifo na kadri wanavyofanya mapenz na watu wengi ndivyo dhambi zao zinasamehewa na Mungu kwa kuwa walimpania Mungu(martyr)
 
da hii ishu niliisikia nikabaki mdomo wazi kwa mshangao........sasa cjui ni kifungu gani katika Quran kinatoa ruhusa ya hii ishu.....
 
Hata kwangu hii ni mara ya kwanza kuisikia.
Dunia ina vibweka hii.
 
Najiuliza hawa wanawake wa Tunisia wanaoenda kugegedwa syria na waasi kwa kupokezana huwa wana akilu zao timamu au ndo washalishwa unga wa ndere?kuna ukweli wowote wa mafundisho ya dini yanayosapoti hili suala?

Umeitoa wapi hii habari?
 
Back
Top Bottom