Yesu ni fumbo tata, Leo tunalifunua

Yesu ni fumbo tata, Leo tunalifunua

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,673
Reaction score
23,666
1752133353585.jpg

#Ukimtaja Yesu Katika Gnosticism, Wakushi wengi Wanahisi wenda mtu huyu kaanza kuchanganyikiwa..
Lakini Yesu wa injili za Biblia na Yesu wa Gnosticism ni kama Maji na mafuta!

Leo, nimewiwa niwape hii elimu iliyotupiliwa mbali na yule aliyekuandikia biblia!

Ujuwe ukitamka neno Gnosis ni neno la Kigiriki likimaanisha "maarifa ya ndani, ya siri, ya kiroho". Hivyo basi, Gnosticism ni elimu inayohusiana na maarifa ya siri kwa nafsi iliyofungwa!

Mwaka 1945, kule misri ndani ya Nag Hammad, ndipo zilipogunduliwa injili hizi za Gnostic ambazo kimsingi ziliamsha mtazamo mpya kabisa juu ya Ulimwengu na Maarifa ya mwanadamu!

Gnostic Gospels ni Injili zilizoandikwa na waumini wa Gnostic, ambazo zilisimulia maisha, mafundisho, na maana ya Yesu kwa mtazamo wa ndani, wa siri, na wa kiroho tofauti kabisa na Injili 4 za Kanoni (Mathayo, Marko, Luka, Yohana).

Baada ya kifo cha Yesu (aiongelei Yesu Mzungu) , waumini wake walitofautiana. Baadhi waliamini katika Injili ya dhahiri (canonical gospels) – kwamba Yesu ni Mwokozi, alikufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi za binadamu.

Hata hivyo wengine walishikilia Injili ya ndani (gnostic) – ambayo inasemekana kuwa haikufundishwa kwa kila mtu ila kwa baadhi ya wanafunzi! Yesu alifundisha hekima ya siri kwa wanafunzi wachache (k.m. Maria, Yuda, Tomaso, Yohana).

Katika karne ya Pili ( miaka ya 100 na kuendelea), Maandishi mengi ya Gnostic yaliandikwa hasa Misri, Syria, na Asia Ndogo. Haya maandiko yaliandikwa kwa lugha ya Koptiki na Kigiriki.
Waliyaandika kama maandiko ya siri, kwa kuwa walijua yanaenda kinyume na "Ukristo rasmi"– jambo ambalo lilikuwa tishio kwa dini ya Kiorthodoxy ya wakati ule, lakini pia kwa mamlaka za kiserikali ambazo zilikuwa na lengo la kumtawala mwanadamu!

Baadaye Irenaeus wa Lyons (185 BK) aliandika kitabu "Against Heresies" akiupinga vikali Ugnostic.
Aliwashutumu kuwa ni waongo na wapotoshaji wa kweli.
Kiongozi mwingine, Tertullian, pia aliwashambulia kwa nguvu, akiona wanafundisha "maarifa ya uongo na ya kishetani".

Mnamo mwaka 325 AD, Mkutano wa Nicea, chini ya Mfalme Constantine ulifanya Ukristo kuwa dini rasmi.
Maandishi yasiyoendana na mafundisho ya Mtakatifu Paulo au kanisa la Rumi yalikatazwa.

Hapa ndipo taabu ilipoanzia. Gnostic texts ziliharamishwa, kuchomwa, na kufutwa kutoka katika historia.

Mwaka 1945, ( baada ya miaka 1600 kupita) wachungaji wa Koptiki katika kijiji cha Nag Hammadi huko Misri waligundua maktaba ya kale sana yenye
Vitabu 52 vya Gnostic vikiwemo Injili ya Tomaso, Filipo, Yuda, Wamisri, n.k.

✅Vilikuwa vimefichwa ndani ya mtungi, tangu karne ya 4 BK ili visiangamizwe na mamlaka ya kanisa katoliki.

🔑Hii ilikuwa siri kubwa ya historia ya Ukristo iliyojificha kwa zaidi ya miaka 1,600.

Kimtazamo, Gnostic hupingana sana na Falsafa za kidini za Sasa!
Katika dini, Ulimwengu huu ni kazi kamilifu ya Mungu mkuu, isiyo na makosa– na mwanadamu alitenda dhambi kwa kula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya, ndio maana anataabika humu duniani.

Lakini katika Gnosticism, Ulimwengu huu wa kimwili uliumbwa kimakosa na Mungu mdogo aitwaye demiurge ama Yaldabaoth– ambaye aliumba kimakosa ulimwengu huu pasi na kuwa na maarifa ya kutosha, na kibali kutoka kwa Mungu mkuu!
Hivyo, mwanadamu ni cheche ya uungu Iliyofungwa ndani ya mwili wenye kujawa na Tamaa, ujinga na Upofu! Akiwa amefungwa katika bustani ya edeni, huku Yaldabaoth akiendelea kumlisha matunda ya uzima ili aendelee kuishi milele ila katika hali ya ujinga na ukosefu wa akili ya kutambua mema na mabaya, ndipo Mwokozi alipokuja katika umbo la Nyoka na Kumshawishi ale tunda ili ajitambue!

Hivyo basi, Yesu hakuwa mtu wa kimwili, aliyekuja ili kukufia msalabani kwa dhambi ya kula tunda! Hapana, kwa kuwa hakuna dhambi ya asili uliyotenda– Alikuja kuendeleza elimu ya maarifa aliyompa adam mwanzoni, yaani utambuzi wa ndani. Mtu anafaa kujitambua yeye ni nani ( cheche ya uungu), kwanini yupo hapa ( amefungwa na demiurge) na akifa anaenda wapi ( anarudi katika pleroma, kama alikuwa na maarifa ya kweli. Na atakuwa ancestor (mzimu) na kuendelea kufungwa katika ulimwengu huu wa kimwili hadi atakapoumbiwa mwili mwingine na kurudi upya duniani ( Reincarnation)

Alikuja kama nuru ya maarifa, ili kutufungua kutoka kwa uongo wa dunia ya kimwili uliojaa Tamaa ya mali, na Ujinga.
Demiurge ndiye aliyewapa watu wa kale
Utajiri, mamlaka, na heshima za kidunia kama nyenzo zake za kuwafunga wanadamu wasijitambue. Wawe busy kuyatafuta hayo yote, na mwisho wafe bila kupata Gnosis ya kweli!

Injili Hizi za Gnostic ziliona Tawala zote duniani kama udanganyifu na hila ya kutaka kuwadhibiti watu!

Na hivyo basi:

🔴Zilitishia mamlaka ya kanisa na tawala za kirumi kwa wakati ule– Hazikuhitaji maaskofu wala sakramenti.

🔴Zilibadili simulizi ya ukombozi – Hazikutegemea msalaba kama dini za kawaida, bali maarifa.

🔴Zilikuwa za kifalsafa sana – kila mtu angeweza kuzisoma, lakini si kila mtu aneweza kuzitafakari na kuzielewa kwa undani.
Hazikuwafaa waumini wa kawaida bali wachache waliotafakari kwa undani.

Ndio maana waumini wa kawaida wakatengenezewa Syllabus yao ya kidini yenye kuwaambia kuwa:

👉Shetani aliwadanganya wakatenda dhambi kwa kula tunda.

👉Yesu alikufa kwaajili ya dhambi zao.

👉 wabatizwe.

👉wanapaswa kutoa zaka na sadaka ili kumpendeza Yesu.

👉mwisho wasubiri kukombolewa, na kwenda mbinguni kula matunda.

Waliandaliwa syllabus hii kwa kuwa hawawezi kung'amua mambo magumu ya kifalsafa!
Ndio wengi waliojazana makanisani na misikitini– si watu wa falsafa, bali watu wa imani ya upofu!

🔴Ziliweka wanawake kama viongozi – Maria Magdalena aliwekwa juu ya Petro – jambo lisilokubalika na kanisa la wakati huo.

Injili hizi ni mwanga unaopingana na utumwa wa kimwili na kifikra.
Zinaonesha pia kuwa mafundisho ya kiroho hayakuwa lazima yawe ya kulishwa kwa umma bali ya ndani kabisa.

Wakati Biblia ya mkoloni na Quran ya Muarabu zikiwa kifungo cha fikra kwa waumini wengi wa dini– Gnostic Gospels ni ushuhuda wa mapambano ya kweli, maarifa, mamlaka, na uhuru wa kiroho katika historia ya mwanadamu.

Zilipigwa vita, zikafutwa, lakini sasa zimeanza kurudi kama chemchemi ya hekima ya kale kwa wale wanaotafuta "ukweli wa ndani" na si wa maandiko tu..
 
View attachment 3400046

Kwa mujibu wa gnostic gospels ni nani aliyemuumba binadamu? (Mungu mkuu au mdogo?)

Kama aliyewaumba binadamu ni Mungu mkuu ilikuwaje wakafika kuishi katika ulimwengu ulioumbwa kimakosa na Mungu mdogo?

Je Mungu mkuu na mdogo ni maadui?
 
Binadamu/ mwanadamu hajawahi kuwa fala
 
Kwa mujibu wa gnostic gospels ni nani aliyemuumba binadamu? (Mungu mkuu au mdogo?)

Kama aliyewaumba binadamu ni Mungu mkuu ilikuwaje wakafika kuishi katika ulimwengu ulioumbwa kimakosa na Mungu mdogo?

Je Mungu mkuu na mdogo ni maadui?

Nijibu hayo mkuu KING MIDAS ili tupate kuelewa vizuri,
 
NIKIKUMBUKA ASHURA KIPENZI CHETU CHA DHATI IMAM HUSSAIN IBN ALI ALIVYOUWAWA KIKATILI KULINDA NA KUUTETEA UISLAMU DHIDI YA DHULMA, UKANDAMIZAJI NA UONEVU NINALIA SANA.

KUPITIA YEYE TUMEPEWA TAWFIQ/ TAWFEEK THE ABILITY TO SUCCEED AND WIN. TUNA UHAKIKA WA JANNAH NA FIRDAUS.

ALLAH AMFANYIE WEPES NA KUMPA QAULI THABEET ZA KUTOSHA KIPENZI CHETU CHA DHATI IMAM HUSSAIN IBN ALI.

MCHEKI MWAMBA HAPO CHIN

Screenshot_2025-07-07-20-16-29-71_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

adriz
 
Maandiko yote yaliyo nje ya biblia, dhima yake kuu haileti msisimko wa mioyo na Wala haikati kiu ya uhitaji wa uelewa juu ya chanzo na hatma ya mwanadamu.

Hili linanifanya kuamini Yale maneno yanayodai kwamba, kutakuwa na mfumuko wa biblia kutoka kuzimu ambazo zitapingana na neno la kweli ili kuwaondoa waumini kirahisi kutoka kwa wanavyoamini kwa Sasa.
Tuwe makini Sana.
 
Yesu Kristo ni Mwokozi, Mungu aliye hai. Alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu ili kuniokoa kupitia sadaka ya kifo chake. Siku ya tatu alifufuka, akakishinda kifo kwa ushindi mkuu. Kwa kufufuka kwake, alinipa tumaini jipya na uzima usio na mwisho. Leo hii naishi si kwa nguvu zangu, bali kwa neema ya Yeye aliyejitoa kwa ajili yangu.
 
John 20:17

Yesu akawaambia;

"Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba,lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie,ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu,kwa Mungu wangu na Mungu wenu''

Jesus says he has a God!
 
Back
Top Bottom