Sex jihad hii kitu ni balaa!!

Sex jihad hii kitu ni balaa!!

Wanawake wa Tunisia na sehemu nyingine wanakwenda syria kuwasapoti waasi kwa kufanya nao mapenzi wakiwa na imani ya kuwa watakwenda peponi baada ya kifo na kadri wanavyofanya mapenz na watu wengi ndivyo dhambi zao zinasamehewa na Mungu kwa kuwa walimpania Mungu(martyr)

Source please, otherwise huo utakua uzushi
 
Ni kweli, hadi waziri wa Tunisia alikaririwa kwa vyombo vya habari akilalamikia mimba zinazotokana na hiyo sex jihad.
 
Umeitoa wapi hii habari?

Hii trick hata katika "madaftari maalum ya tricks za ku-twist mambo kuupiga vita uislamu" haimo. Ni mpya wametungiwa na kiongozi wao, mpenzi wao shaitan, aliyelaaniwa. Kwa kifupi wameshamaliza 'tricks' zote na sasa wanachanganyikiwa, wamefulia, hawaelewi wafanye nini, shaitan ameshawafanya mamluki.

Kila wakizidi kuupaka matope na kuupiga vita Uislamu, kwa mshangao wao na hasira zao kuongozeka, ndio kwanzaaaa wale wanaojaribu kuwandangaya wanazidi kuingia katika uislamu, na Uislamu unazidi kuenea kwa kasi ulimwenguni.

Hawajui la kufanya. Ni jambo dogo tu linalowaumiza.

Kwa mfano halisi ni kama huu: Wanatunga na kuwa-bombard watu na chuki dhidi ya Uislamu (ambao pengine hawauelewi na wala hawakuwa na habari na Uislamu kabla ya hapo). Hii ni katika ku-recruit maadui wengi zaidi dhidi ya Uislamu. Sasa wakati wameshawashwa moto wa hasira dhidi ya Uislmau, kwa mfano wa uongo kama huu, hawa watu hutafuta kwa uvumba na udi Qurani na Hadithi ili wasome na kutambua vizuri ni wapi zilipo hizo weaknesses za Uislamu ili wapata kuu-attack vizuri, intellectually. Kwa mfano ni kuanza kutafuta kwa kutumia keywords "sex Jihad in the Quran and hadith" nini mtu atapata????? La haula wala kuwwataa illaa billaah, wamefika katika kauli Mola Muumba, Allah -Azza wa Jalla na kwa Mtume wake Muhammad, Sallallaahu alayki wasallam. Wanashitushwa na maajabu na wanayaona na kuyafahamu humo (katika Qurani na Hadithi) tofauti na uwongo unaosingiziwa. Hatimaye wanaelekea misikitini na kusilimu (kuingia katika uislamu).

Na hawana wanalolipata wale wanaoongozwa na shetani isipokuwa kuongezwa 'rage' na kiongozi wao shaitan, na anawaletea 'trick nyengine" brand new, off the book, na hawana wanalochanganua isipokuwa ni kukumbatia tu trick mpya ambayo huzaa matokeo mabaya zaidi kuliko ya mwanzo.

"They plan and Allah plans, and Allah is the Best of planners, in the end it is Islam that will emerge victorious".

Habari ndio hii VUVUZELA, check it up for yourself.
 
Ndo kwanza nawasikia kwako! labda utueleze mambo yao wanafanyeje?

Hata kwangu hii ni mara ya kwanza kuisikia.
Dunia ina vibweka hii.

Umeitoa wapi hii habari?

Hapa pana ukweli?? Nawasiwasi kidogo

Source please, otherwise huo utakua uzushi

Inaitwa Jihad Al nikah

Sex Jihad raging in Syria, claims minister

http://www.telegraph.co.uk/news/wor...ex-Jihad-raging-in-Syria-claims-minister.html

Vipi mwashangaa issue ndogo kama hiyo, mmepata kusikia hii? Mwanaume ruksa kuingiliwa na mujahideen ili kutanua njia iweze kubeba mabomu ya kujitoa mhanga kama jihad. Msikilize huyu shehe:

https://www.youtube.com/watch?v=LA11aTDFAU0&feature=youtube_gdata_player

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
sidhani kama kuna dini duniani inayoruhusu muumini wake kufanya uzinzi,ila wao kama wanadamu wana uhuru wa kufanya wayatakayo,kwahiyo matakwa ya mtu usiyachanganye na dini yoyote uijuayo au usiyoijua.
Nalog off
 
Inaitwa Jihad Al nikah

Sex Jihad raging in Syria, claims minister

Sex Jihad raging in Syria, claims minister - Telegraph

Vipi mwashangaa issue ndogo kama hiyo, mmepata kusikia hii? Mwanaume ruksa kuingiliwa na mujahideen ili kutanua njia iweze kubeba mabomu ya kujitoa mhanga kama jihad. Msikilize huyu shehe:

https://www.youtube.com/watch?v=LA11aTDFAU0&feature=youtube_gdata_player



kaah!!!!! Aisee kama mambo yenyewe ndio hayo bora tuache kuzaliana ili tuliobaki tuishe taratibu dunia tuwaachie wanyama na ndege
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom