Sex inamdhalilisha sana mwanamke

Sex inamdhalilisha sana mwanamke

Badilisha mtazamo wako kuhusu sex kwanza.
Sexual objectification of a woman ni mtazamo hasi sana.

Mwanamke ni mshirika kwenye sex sio mateka.

Nakubaliana na jambo moja tu, ni sex kati ya watu wenye mahusiano ya aina gani ndio inaamua usahihi wa unachofikiri.

Suala la kuzaa ni lingine na linasimama pekeyake na hatuwezi libadilisha.
Aisee poleni sana aisee , ni kama laana mmepewa aiseee
 
Back
Top Bottom