Sex inamdhalilisha sana mwanamke

Sex inamdhalilisha sana mwanamke

Duh ni hatari, lakini sidhani kama mwanao atakuwa na mawazo haya ya kipuuzi namna hii!
na ndiyo maana huwa sipendi kukaa karibu na familia yangu nikiwa na silaha... naghadhibika sana na sana mtu mpuuzi.
 
Kwanza wewe ni jinsia gani katia ya hizi mbili za mseto, simaanishi mwanaume au mwanamke maana wenye jinsia hizo original hawawezi kuandika hayo.

Kati ya mabinti waliyoanza kuvaa suruali au vijana wanaovaa gauni. Upo kundi lipi?
 
Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana

Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewi pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni kweli

Kama nature imetaka hivyo Kuna sehemu imemuonea mwanamke kibaya zaidi apate mimba akazae aingie leba yaani nusu kifo na mtoto wanaume tukamkataa au ukakataa tangia mimba

Na siku izi na wao wanakula Kwa jasho yaani wanaotafuta kama tunavyotafuta sisi aisee

Sex haipo fair Kwa mwanamke
We dogo,
Kuleta post zinazopingana na nature, inaonesha uwezo mdogo wa kufikiri na kuelewa mambo
Nafikiri ujikite kwenye mada nyingine za kiuchumi...
 
Back
Top Bottom