Sex addict kwenye mahusiano

Sex addict kwenye mahusiano

Game 4 was one of the best showdown IMO, I wanted it for Luka and he did it.

Ikitokea Dallas wakawin series, blame should go to PG13, he is the one holding them.
Sasa wewe maana yake ni kuwa hupendi topic za hivi au [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mhhh kujiendekeza tu, utakapowekewa mitego ya UKIMWI ndo utajua vizuri na Mwisho wa siku utaua familia nzima kwa issue ndogo tu
Hujawajua wanawake wenzako wakitaka kitu. Tunatumia ndomu lakini
 
Mahusiano mengi ya kibongo bongo ni Entaglements a.k.a MAEGESHO!

Hii inaniwia vigumu sana kutokea wadada wa Dar...Maana najua ntatapeliwa tu!

Unakuta mmoja hampendi mwenzie kihisia ila ananufaika na hela zake tu ndio maana yuko nae, mwengine yupo na mtu sababu tu alikuwa willing kumtolea gundu la kukosa mume.
Yah sure, kila mwanaume ana kipande chake 😁😁
 
Si alinifanya nikawa addicted

Ilikuwa kila nikimuona tu manyunyu yananyesha inabidi tutafutiane miamvuli[emoji38]

Making love is super amazing when you make it with somebody you truly love.
Duuuuuh dea ni kweli kabisaa? Ila hongera San [emoji7][emoji7]
 
Hujawahi mpenda mtu mpaka ukawa addicted nae? Yan ukimuona tu akikushika hata mkono unafeel maniaje huko kwa nanii!!

Kama hujawahi nakuombea usifike hatua hiyo maana siku akiondoka unaweza chizika kwa stress za kummiss......
Aseeeeeeeeh kumbe ndo iliivyo? Sikuwa najua hata
 
Si alinifanya nikawa addicted

Ilikuwa kila nikimuona tu manyunyu yananyesha inabidi tutafutiane miamvuli[emoji38]

Making love is super amazing when you make it with somebody you truly love.
Aisee....njoo kwangu sweet heart
 
Bahati mbaya nishapata kijana mwingine, sex is everything esp ukiwa happy
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]....isingekuwa umewahiwa saa hizi ingekuwa tunayajenga........[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
I agree Mkuu tonight’s game is very important to both teams. Tonight’s winner will have an upper hand in game 6 in terms of confidence. I hope PG13 will show up tonight otherwise their season is in jeopardy. Sorry for a very late reply, I did not see this notification. Enjoy the game tonight Mkuu.
Hivi BAK huu uzi hujauelewa au? Maana naona coment yako na content ya uzi na haviendani
 
Huu sasa ni uchokozi Mtende 😂😂😂. Umeshavuta cha Arusha tena? Ni kweli unachosema lakini sikuwa na jinsi baada ya kuulizwa swali lililo nje ya mada hivyo ilibidi nijibu kwenye huu uzi. Mzima lakini? 😜

Hivi BAK huu uzi hujauelewa au? Maana naona coment yako na content ya uzi na haviendani
 
Huu sasa ni uchokozi Mtende [emoji23][emoji23][emoji23]. Umeshavuta cha Arusha tena? Ni kweli unachosema lakini sikuwa na jinsi baada ya kuulizwa swali lililo nje ya mada hivyo ilibidi nijibu kwenye huu uzi. Mzima lakini? [emoji12]
Hahaha mi mzima za miaka tele, sijaona simulizi yako hapa, naona wengine wamekutana na hao addicts wa kingoni, wadigo, mpaka sasa wangoni wanaongoza kwa maksi nyingi, sasa nasubiri simulizi yako[emoji23][emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😂 BAK ni mtakatifu hayajui hayo mambo 😜😜

Hahaha mi mzima za miaka tele, sijaona simulizi yako hapa, naona wengine wamekutana na hao addicts wa kingoni, wadigo, mpaka sasa wangoni wanaongoza kwa maksi nyingi, sasa nasubiri simulizi yako[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom