Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,725
- 209,011
Yamefanyaje 😎Dah.....
Hayo manyunyu mdogo wangu 😅😅😋
Yamefanyaje 😎Dah.....
Hayo manyunyu mdogo wangu 😅😅😋
Aisee una bahati mbaya sana yani unafanya juhudi za kujinasua kwenye utamu????Mjita ni kweli nimefanikiwa kumpata mmoja aisee ilibaki kidogo tu nizame moja kwa moja badae nikawa natumia akili nyingi kujinasua.
Si ungezama tu mkuu, au alikuwa ni mchepu....Mjita ni kweli nimefanikiwa kumpata mmoja aisee ilibaki kidogo tu nizame moja kwa moja badae nikawa natumia akili nyingi kujinasua.
🤷♂️🤷♂️ umesema mwenyewe ndo utuambie yanakuaje hayo mkuuYamefanyaje 😎
Wapi hujaelewa dada 😀Mdogo wangu umeandika lugha gani hapa sijaelewa [emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16] sijaelewa komenti nzima yaniWapi hujaelewa dada [emoji3]
Manyunyu ni mvua za rasha rasha... Wakubwa watanielewa🤷♂️🤷♂️ umesema mwenyewe ndo utuambie yanakuaje hayo mkuu
Si ungezama tu mkuu, au alikuwa ni mchepu....
Hujawahi mpenda mtu mpaka ukawa addicted nae? Yan ukimuona tu akikushika hata mkono unafeel maniaje huko kwa nanii!![emoji16][emoji16] sijaelewa komenti nzima yani
Duh! Mzee baba ulishikika, wenzako uwa wanashinda tu mpaka saa 3 kasoro usiku then wanaondoka 😂Huyo alikuwa ni mchepuko wangu sasa nikaogopa nikiendelea sana ingeharibu ndoa yangu.
Maana ilikuwa naenda kulala kwake kabisa hadi asubuhi zile siku za wikiendi
[emoji16][emoji16] ndio nakusikia wewe mdogo wanguHujawahi mpenda mtu mpaka ukawa addicted nae? Yan ukimuona tu akikushika hata mkono unafeel maniaje huko kwa nanii!!
Kama hujawahi nakuombea usifike hatua hiyo maana siku akiondoka unaweza chizika kwa stress za kummiss......
Hebu huko 😂😂😂😂[emoji16][emoji16] ndio nakusikia wewe mdogo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuelewesha mkuu achana na Depal hataki uelewe lkn usiombe uwe sext addict ni nzuri lkn hatari[emoji16][emoji16] sijaelewa komenti nzima yani
Kuna kitu fulani alinielezea nikashtuka aliniambia mdogo wake ambaye ana kama miaka 20 kimuonekano alikuwa anawaliza watu wazima wanakuja kumpigia magoti na kuomba msamaha na kutoa mahela watu wanailia bata.Duh! Mzee baba ulishikika, wenzako uwa wanashinda tu mpaka saa 3 kasoro usiku then wanaondoka [emoji23]
Sema hongera sana kama uliweza kutengana nae maana inahitaji ujasiri wa viwango kukaa mbali na mtu umpendaye haswaaa
Ntakuelewa pm mkuu hapa watoto wataona si afya kwaoNieleweshe basi na mimi nielewe
Sawa mkuuNtakuelewa pm mkuu hapa watoto wataona si afya kwao
Mueleweshe hapa hapa, kwa manufaa ya wengi.Ntakuelewa pm mkuu hapa watoto wataona si afya kwao