Juice Dispenser........mitungi mitatu 850,000
Kabati mbili zote...............................................180,000
meza mbili na viti vyake zinasocket za kuchajia 150,000
meza moja ndefu kama counter hiv na viti vyake vitatu ina socket za kuchajia......120,000
Fridge heavy duty inagandisha balaa afu kuuubwa inafaa kwa biashara na nyumban...500,000
vyombo ( sahani,visu,vikaango,ndoo etc ) ..70,000
Karai................................20,000
majiko ( jiko la feni, jiko la mishkaki,jiko la kawaida ).....vyote 100,000
Frem ya tv inch 43...............30,000
mtungi wa gesi size ya kati......................40,000
meza ya kumenyea au kuweka/kupanga sahani 30,000
Baiskeli ya kufanyia delivery za wateja 100,000
sink la kuoshea vyombo na diaba lake.....45,000
MAHALI
Dar es salaam kinondoni
PIGA SIMU
0683473391
JUICE DISPENSER mpya inauzwa 1.4 hadi 1.5M
hii nakupatia kwa 850,000 inapiga kazi haswaa...inagandisha kabisaa...hapo unaizungushia sticker nyingine rangi yako tu inaonekana fresh zaidi
Kabati mbili zote 180000
moja unaeza weka viazi na ndizi na kachumbari
nyingine ikajaa mishkaki na kuku
meza mbili hizo zina socket pande mbili mbili..wateja kuchajia simu na viti vyake hivo viwili..vingine viliharibika....zote 150,000
fridge heavy duty haswaaa..inagandisha faster..afu ni kubwa saana..inafaa ksa biashara na nyumbani
nilinunua laki saba....nakupatia kwa 500,000 tu
vyombo ( sahani,bakuli,vikaango,ndoo etc ) utapata jumla kwa 70,000
karai utapata kwa 20,000 na sink utapata jwa 40,000 tu
majiko ( la feni, la mishkaki na kukaangia na la kawaida ) utapata yote kwa 100,000
frem ya tv inchi 43 utapata kwa 30,000 tu
mtungi wa gesi utapata kwa 40,000 tu
meza ya kumenyea au kupanga sahani..utapata kwa 30,000
Baiskeli nimesahau kupiga picha ola ipo ni kubwa ya gear na ina vikapu tayari kwa ajiri ya kufanyia delivery...utapata kwa 100,000
meza moja ndefu ina socket za kuchajia pande zote mbili..na viti vyake vitatu virefu...utapata kwa 120,000