hebu nrushie katiketi ka pipa ntafika sasa hivi na tatizo lako litakwisha!
Popote ulipo Erickb52, kwa mamlaka niliyokabidhiwa na kanisa, nakutahadharisha kuwa kuposa n'ke wa n'tu ni kosa la jinai kwa mujibu wa katiba ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiendelea na n'chezo huu utabadilishwa jinsia ili na wewe uchumbiwe.
Nahisi kama zari linataka kuniangukia kimtindo.......... Come zis wei baibe Zinduna?Nimekumbwa na matatizo mengi ya ujana mpaka nikapata msongo wa mawazo kiasi cha kutaka kuji RIP. Nahitaji mtu wa kuongea naye anitoe katika hali hii, la sivyo mtanipoteza humu JF for good. nyumba kubwa BADILI TABIA gfsonwin Erickb52 Bishanga, platozoom, King'asti, MwanajamiiOne MadameX Eiyer Mtambuzi Asprin, charminglady, Madam B Kaunga na wana JF wanaonitakia mema, naomba msaada wenu.
Popote ulipo Erickb52, kwa mamlaka niliyokabidhiwa na kanisa, nakutahadharisha kuwa kuposa n'ke wa n'tu ni kosa la jinai kwa mujibu wa katiba ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiendelea na n'chezo huu utabadilishwa jinsia ili na wewe uchumbiwe.
Be warned!
Mentor si nilikwambia unikumbushe Jumamosi iliyopita?
Poa,nitakuja kesho papito.
Ila uje ng'ambo.
mhhh sikupata hiyo PM...
kesho ni lini..jmosi!?? jioni maybe na huko kwenu bara starehe pekee mnayojua ni clenda club...
Hebu njoo PM.
kama huyo kwenye avatar ni wewe basi anza kuongea na mimi tafadhali.Nimekumbwa na matatizo mengi ya ujana mpaka nikapata msongo wa mawazo kiasi cha kutaka kuji RIP. Nahitaji mtu wa kuongea naye anitoe katika hali hii, la sivyo mtanipoteza humu JF for good. nyumba kubwa BADILI TABIA gfsonwin Erickb52 Bishanga, platozoom, King'asti, MwanajamiiOne MadameX Eiyer Mtambuzi Asprin, charminglady, Madam B Kaunga na wana JF wanaonitakia mema, naomba msaada wenu.
madame b ushaanza kusafiria matatizo ya mwenzako sasa.Na gharama ndogondogo utanilipia?
I.e Gauni na kiatu cha mtoko,
hela ya kujaza gari mafuta,
Hoteli au Bar tutakayokutania nk.
Funguka tujitose.