Seriouslly nahitaji mtu wa kuongea naye!

kwa michango hii ya wanajamii natumaini umecheka na stress zimepungua...
 
Huyu mwenzetu nadhani ana tatizo kubwa sana ila anaogopa kusema. Plizi toa dukuduku lako. Si unajua hatukujui? Now unaogopa nini kusema masahibu yako tukushauri? Hapa cc ni stress free zone wala usiji rip tafadhali.
 
Asprin, hebu njoo unisaidie kumuelewesha huyu kijana madhara ya kuchumbia mke wa wenyewe.

Utanivunjia ndoa yangu jamani Erickb52, hebu nenda love connect banaa!
Popote ulipo Erickb52, kwa mamlaka niliyokabidhiwa na kanisa, nakutahadharisha kuwa kuposa n'ke wa n'tu ni kosa la jinai kwa mujibu wa katiba ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiendelea na n'chezo huu utabadilishwa jinsia ili na wewe uchumbiwe.

Be warned!
 
Last edited by a moderator:
Nimekumbwa na matatizo mengi ya ujana mpaka nikapata msongo wa mawazo kiasi cha kutaka kuji RIP. Nahitaji mtu wa kuongea naye anitoe katika hali hii, la sivyo mtanipoteza humu JF for good. nyumba kubwa BADILI TABIA gfsonwin Erickb52 Bishanga, platozoom, King'asti, MwanajamiiOne MadameX Eiyer Mtambuzi Asprin, charminglady, Madam B Kaunga na wana JF wanaonitakia mema, naomba msaada wenu.
Nahisi kama zari linataka kuniangukia kimtindo.......... Come zis wei baibe Zinduna?
 
Last edited by a moderator:
shaka usipate expect to see me mishale ya saa kumi jion. pole kwa yaliyokusibu.
 
Ola Zinduna...sad to hear this, that explains ur MIA in her for quite a while.
anyway, hope umepata PM yangu...
 
Last edited by a moderator:
Popote ulipo Erickb52, kwa mamlaka niliyokabidhiwa na kanisa, nakutahadharisha kuwa kuposa n'ke wa n'tu ni kosa la jinai kwa mujibu wa katiba ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiendelea na n'chezo huu utabadilishwa jinsia ili na wewe uchumbiwe.

Be warned!

Babu nashukuru sana. Huyu ataniharibia kijiwe changu, ntakaaje mjini?
Ubarikiwe sana. Source: Ms Judith
 
Mentor si nilikwambia unikumbushe Jumamosi iliyopita?
Poa,nitakuja kesho papito.
Ila uje ng'ambo.

mhhh sikupata hiyo PM...
kesho ni lini..jmosi!?? jioni maybe na huko kwenu bara starehe pekee mnayojua ni clenda club...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom