Seriouslly nahitaji mtu wa kuongea naye!

Pole sana Bibie mpendwa Zinduna Ni kitu gani tena kilicho kusibu mpaka utake kuji RIP? Wakati MziziMkavu yupo bibie? Niambie shida zako kwa njia ya Pm tuwasiliane huenda nikaweza kuzitatua unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
pole zinduna utayashinda boti ningependa panda bt my hubby needs me si unajua judgement hayupo vizuri sana tangu jana
 
Mie niko anga za huku Paje ZNZ, kama waja, nijuze nikutumie nauli kwa Voda Pesa malazi utalala hapa home

Kumbe Zinduna ni...!!!
ID hzi jamani!
Nilitaka nijimalize mpaka ya Moyoni katikati kabisa.
 
Last edited by a moderator:
My dear Zinduna...pole sana kwa matatizo yaliyokukuta. Tell my dear...what happended?
 
Last edited by a moderator:
Sio mie niliejifungua, ni wifi AshaDii.
Kaka anamhudumia mkewe mwenyewe. So hata nikienda zangu zenj its cool!
 
Last edited by a moderator:
hahaha shosti

Ndo hvo shoga,
Yani ni ile dizaini ya 'Akina Mama Mkwe wamealikwa kwenye sherehe ya Ndoa ya Mtoto wao Mjini.
Basi utakoma,kuanzia Malazi,Mavazi,Chakula,Nauli,Pesa ya Pombe' watataka uwape.
Na hawaondoki mapema,mpaka ukatike mwezi.
Na maisha yenyewe haya Tiamaji tiamaji, Tutakomajeee!!!
 
Mbona sikuja na lori la mkaa? Umesahau ile msaragambo ya 1972 mwalimu akiunda vijiji vya ujamaa? Nimeandikwa hadi kwenye vitabu kama muanzilishi wa gezaulole! Wewe ngoja tu
Hajui ulikuja mjini kwa lori la mkaa........una uchungu na maisha lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom