Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kaizer, Jul 1, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Wajameni wana chit chat!
  Tumepata msiba mkubwa!!

  Yaani babu yetu, mkaguzi mkuu, fotografa wetu mkuu, katiwa pingu na wakuu wa humu!!
  Amefanya nini?

  Hima hima niungen mkono atokemo huko aliko maana hali ya huko. Sote twaijuaanaweza kurudi akataka kukagua wajukuu wa kiume!

  Sasa basi, mod msifute huu uzi tafadhali, acheni wananchi waandamane,

  Baby gfsonwin tusile kidude hadi babu atoke, Erickb52 acha kunywa ndovu hadi kieleweke, charminglady, Kongosho, Bishanga acha kuendesha hammer panda bajaji, Elizabeth Dominic na Kaunga tufunge!
  platozoom usiende chako ni chako, wala cacico usende tena site!!
  King'asti na BADILI TABIA, Yummy, Erotica na wajukuu wote njooni!

  Judgement ebu suggest ujumbe wq mabango naangalia ruti na kibali!

  Free ODM!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  ma swtlo Kaizer yaani wamemfunga huyu Asprin. ama kweli twendeni hadi kwa Invisible na Roulette ili watujuze kwanini.

  bango langu lisomeke

  wajukuu wanataka ukaguzi free ODM!!!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kafanza nini tena!? si alikuwa kwenye talk show ya Zinduna! huko jela amsalimie Baba V! waitress Ndovu moto na viroba vitatu tafadhali!
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Yani baby gfsonwin inaniuma sana!
  Roulette free ODM please!
  Kuna mjukuu mpya Catherine hajakaguliwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. M

  Mazandu Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Free ODM wajukuu wanataka haki yao ya kukaguliwa na babu.
   
 6. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  Pombekali leo tusinywe kabisa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  aisee......
   
 8. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Babu asprin ndio nani? Tangu nimejiunga naona kila thread anatajwa.
   
 9. M

  Mazandu Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bango langu lisomeke mode aliyemfunga babu abadilishwe jinsia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  Catherine mambo? Ni babu mkaguzi wa wajukuu wapya na wa zamani! Asprin ndo jina lake,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Asee Mazandu umejiunga kwn maandamano? Karibu ila huduma ya kubadili jinsia hatuna hapa,,,,tafuta ujumbe mwengine
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  poa kaizer, anakagua nini na vipi? Kwani humu jf kuna ukaguzi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha nilimwambia aachane na vijukuu twende sawa sie wakongwe akakomaa mwacheni atii akili yake.
   
 14. M

  Mazandu Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahah!
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  Catherine ngoja akirudi utamuuliza vzri sa ivi tafuta bango tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  Mazandu makutahadharisha hapa haticheki hali ni mbaya sana!

  Mamndenyi maji yamemwaguka mwombee ODM atokemo gerezani!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kaizer unaniharibia mipango yangu bana...............japo i support Free babu ODM Asprin Movement lakini siwezi funga kuna kamnuso nimealikwa afu kesho nitakuwa nina mahangover yakutosha labda nianze mfungo J5, mbali ya hapo hiyo Jumatano yenyewe nina maungamo hiyo mivinyo nitamwachia nani?
  Hapana kwakweli

  FREE Asprin
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mweh!...maskini babu..mara ya mwisho nakumbuka nilitaniana nae kuhusu vibinti vya humu!!ha ha ha!
   
 19. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mi nimesoma posts zake kama tatu hivi ila ni matusi matupu. Acha apumzishwe kwa amani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. M

  Mazandu Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahah
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...