Seriouslly nahitaji mtu wa kuongea naye!

Ndo hvo shoga,
Yani ni ile dizaini ya 'Akina Mama Mkwe wamealikwa kwenye sherehe ya Ndoa ya Mtoto wao Mjini.
Basi utakoma,kuanzia Malazi,Mavazi,Chakula,Nauli,Pesa ya Pombe' watataka uwape.
Na hawaondoki mapema,mpaka ukatike mwezi.
Na maisha yenyewe haya Tiamaji tiamaji, Tutakomajeee!!!

nakwambia watamani usiwaalike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom