Tatizo ni nini hasa? - wanaume na wanawake tujadili

Tatizo ni nini hasa? - wanaume na wanawake tujadili

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,308
Reaction score
1,546
Asalaam aleykhum wana MMU wenzangu.
Imekuwa ni suala la kawaida kwa wake/wapenzi/hawara zetu kulalamika kuwa hawafikishwi kileleni katika suala zima la tendo la ndoa/ngono. Na hivyo basi imekuwa ni jambo llilizoeleka kwa wanaume walio wengi kutumia ndimi zao kulamba papuchi au kutumia vidole vya mikono yao kuwapa raha na kuwafikisha kileleni hao wapenzi wao. Tena inashangaza sana kukuta mwanaume fasta bila maelezo au utaratibu kasha zama chumvini. Huu ni utamaduni mpya ambao bibi na babu zetu hawakuwa nao. Inanipa wakati mgumu sana kufikiria asili ya utamaduni huu. Ubongo wangu umefunikwa na nadharia kadhaa ambazo zinawahusu wanaume na wanawake pia. Ninaomba tuzijadili nadharia hizo bila kificho angalau nami nipate mwangaza kidogo.
Kwa wanaume
1. Upungufu/ukosefu wa nguvu za kiume na hivyo kushindwa kutumia uume pekee kumfikisha mwanamke kileleni. Hivyo kulamba au kutumia vidole ni njia ya kujihami(defence mechanism) kuficha udhaifu wao.
2. Umbumbu wa kujua njia nyingine bora ya kumwandaa mwanamke-hii ni kutokana na kupendelea sana kuangalia na kujifunza kupitia mikanda/video za X, huko kulambana na kutiana vidole kunaoneshwa mara kwa mara.
3. Wanaume kutumika sana-aidha kwa kuwa na wapenzi wengi na kufanya mapenzi mara kwa mara na hivyo kukosa stamina ya kuhimili mikiki ya muda mrefu, hii kwao ni short cut.
4. Wanaume kuwa na haraka zisizo na msingi-aidha kuwahi mwanamke mwingine au sababu nyingine yeyote na hivyo hawezi ku-concentrate kwa mwanamke aliye naye kwa wakati huo
5. Ulimbukeni-kupenda kuiga mambo yasiyo ya utamduni wa kiafrika/kitanzania, uvivu kujifunza na kupenda mabo yak u-cut na ku-paste
6. Athari za kisaikolojia (Msongo wa mawazo)-unaosababishwa na wadada kwa kulalamika kutokufikishwa, mfano kama Asha alilalamika kutokufikishwa kwa njia ya kawaida ya dushelele, basi mwanaume ataassume kuwa hata Joyce hataridhika na dushe pekee.
Kwa wanawake
1. Kuwa na wanaume wengi na kusuguliwa kwa staili mbali mbali na hivyo kuota usugu na hivyo kutofikishwa kwa namna ya kawaida
2. Tabia yao kupenda kujichua kwa kutumia mikono au vile vibomba vya maji ya pressure au matumizi ya vifaa bandia kama vibrators
3. Athari za kisaikolojia-kudhani kuwa kwa kila tendo nao ni lazima kufikishwa kileni, wanadai/kilalamika kutokufikishwa, hii huwasababishia wanaume kutokujiamini kuwafikisha wapenzi wao kwa kutumia dushelele pekee.

Karibuni tujadili
CC Mtambuzi, The Boss, AshaDii, Eiyer, watu8, Boflo, Bujibuji, Himidini, Evelynsalt, Kongosho, King'asti, Fixed Point, Kaizer, Bishanga, Rejao, Mimi49, ladydoctor, charminglady, Preta, MziziMkavu, Kiranga, @Aspirin, Dark City, Arushaone, platozoom, BUCHANAGANDE, Ngalikihinja,
 
Last edited by a moderator:
  • Enzi za babu zetu tendo la ndoa lilikuwa jambo la siri,kulijadili au hata kuzungumzia.Lakini wakati huo hata mtu kuwa na luninga(TV) ni ghalabu,ukilinganisha na wakati huu wa utandawazi,na muongezeko wa matumizi ya teknolojia mpya za aina tofauti zimesababisha watu wabadili misimamo yao na kuwapa motisha ya kujaribu vitu vipya,kama vizuri au vibaya,binaadamu ndo tulivyoumbwa.
  • Uwazi umetufanya tuwe huru zaidi kuongelea suala la ngono,kuongelea kipi kinakufurahisha na influence kutoka kwa watu wanaotuzunguka inachangia pia,mfano marafiki wakiongelea SEX,
  • Suala la kuiga vile vitendo watu wanavyoona kwenye mikanda ya X inahusika hapa pia…Katika kizazi hiki chetu wengi wana mazoea ya kupenda kujaribu na kuiga,hata kama tunaona kitu si sahihi tunataka kujaribu,si kama zamani watu walikuwa na aibu na staha zaidi.
  • Nikielemea kwenye huo upande wa kujaribu unakuwa tushaonja ladha tofauti,na hatimae kujaribu mitindo na size tofauti.Kwahio kuna kuwa na ile pressure ya kudemand kitu kutoka kwa mwenzi wako kwamba usipozama chumvini,YOU ARE NOT GOOD ENOUGH au ile fikra ya mwanaume ya kwamba nisipozama chumvini,I WONT IMPRESS HER ENOUGH or SOMEONE ELSE WILL DO IT FOR HER...
  • Bila ya kusahau walio wengi wanajaribu kutafuta mbinu tofauti mpya ili kunogesha yale mambo ya kikubwa….na si kwamba mtu atakuwa creative na kutafuta mbinu mbadala lahasha bali uvivu wa kufikiri unasababisha watu wafikiri kwamba mfano wakiiga baadhi ya miundo ya mkanda wa X watafurahia zaidi tendo hilo.
  • Na kitu kingine ni kwamba walio wengi ambao mfano wana sehemu za siri ndogo hapa naongelea wanaume,wanakosa kule kujiamini kwa kawaida kwahio wanaona wanahitaji watumie nguvu zaidi au tactic za ziada ili kumnogesha au kumpagawisha mwenzi wake.
 
Msongo wa mawazo


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Mimi nadhani hata zamani yalikuwepo mambo ya kutofurahia sex ila siku hizi yamezidi sana kutokana na utandawazi,wanawake wamekuwa huru sana kueleza jinsi gani wasivyofurahishwa tofauti na zaman walikuwa kimya sana.

Sababu ulizozieleza ni sahihi,nami naweza kuongezea mojawapo ni vyakula tunavyokula,vingi vimejaa kemikal nyingi either husababisha homoni ziletazo msisimko kuwa juu sana au kuwa chini sana ya kiwango kinachohitajika mwilini,hii hupelekea wanaume wengi either kumaliza mapema zaidi kabla ya wapenz wao au kushindwa kabisa. Kwahiyo ili kutibu tatizo inabidi amuandae kwanza mwenzie na afike kibo kabisa kisha yeye kumalizia tu.

Sababu nyingne ni ubinafsi tu wa mwanadam kutafuta kujitosheleza,mwishowe kuvumbua mambo mengi akijaribu tu kujitosheleza na kuifurahisha nafsi yake.

Kwenye uvivu, kwa upande mmoja uko sahihi na kwa upande mwingne hapana,kuzama chumvini na kulamba koni si shughuli ndogo,ni shughuli nzito ambayo inabidi kuifanya kwa ustadi mkubwa la sivyo unaweza kumfanya mtu akalichukia tendo hilo maisha yake yote.
 
  • Enzi za babu zetu tendo la ndoa lilikuwa jambo la siri,kulijadili au hata kuzungumzia.Lakini wakati huo hata mtu kuwa na luninga(TV) ni ghalabu,ukilinganisha na wakati huu wa utandawazi,na muongezeko wa matumizi ya teknolojia mpya za aina tofauti zimesababisha watu wabadili misimamo yao na kuwapa motisha ya kujaribu vitu vipya,kama vizuri au vibaya,binaadamu ndo tulivyoumbwa.
  • Asante kwa observation na maelezo mazuri, lakini kwa mtazamo wako unadhani ni sahihi kulamba au kutumia vidole (Mikono ni sehemu ya tatu kwa kuwa chafu na bacteria wengi nyuma ya kinywa na genital areas), na ikizingatiwa tendo la ndoa halina muda maalum, yawezekana ashiki zikapanda kabla mwenzi wako haja jisafi, let say umetoka job naye katoka job, kipindi mnajiandaa muoge mzuka huo!
  • Unazungumziaje tafiti zinazoonesha ulambaji unachangia kuongezeka kwa saratani ya koo?
  • Swali kwa wanaume-hivi kuna ladha yoyote inayokufanya upende kulamba au ni fear factor tu kuwa hutamridhisha and some one will do it for you?
  • Na ni kwa nini zisianze natural ways then if she complains ndo itumike hiyo arificial method?
  • Uwazi umetufanya tuwe huru zaidi kuongelea suala la ngono,kuongelea kipi kinakufurahisha na influence kutoka kwa watu wanaotuzunguka inachangia pia,mfano marafiki wakiongelea SEX,
    [*]Suala la kuiga vile vitendo watu wanavyoona kwenye mikanda ya X inahusika hapa pia…Katika kizazi hiki chetu wengi wana mazoea ya kupenda kujaribu na kuiga,hata kama tunaona kitu si sahihi tunataka kujaribu,si kama zamani watu walikuwa na aibu na staha zaidi.
  • Upo right, lakini tujiulize tunaweza kweli yanayotendeka kwenye picha/mikanda ya X? wale jamaa wanaweza kusustain ererction nan ejaculation for more than 30 mins, kwa wanaume wa leo nani mwnye huo ubavu?
    [*]Nikielemea kwenye huo upande wa kujaribu unakuwa tushaonja ladha tofauti,na hatimae kujaribu mitindo na size tofauti.Kwahio kuna kuwa na ile pressure ya kudemand kitu kutoka kwa mwenzi wako kwamba usipozama chumvini,YOU ARE NOT GOOD ENOUGH au ile fikra ya mwanaume ya kwamba nisipozama chumvini,I WONT IMPRESS HER ENOUGH or SOMEONE ELSE WILL DO IT FOR HER...
  • Hivi kwa wadada mnatoaga chance kwa wakaka kujaribu kiungo kwa kiungo kabla ya kudemand kulambwa? Vipi wamasai nao wana huo utamaduni?
    [*]Bila ya kusahau walio wengi wanajaribu kutafuta mbinu tofauti mpya ili kunogesha yale mambo ya kikubwa….na si kwamba mtu atakuwa creative na kutafuta mbinu mbadala lahasha bali uvivu wa kufikiri unasababisha watu wafikiri kwamba mfano wakiiga baadhi ya miundo ya mkanda wa X watafurahia zaidi tendo hilo.
  • Inakuwaje mwanaume anatumia dakika 50 kulamba, lakini tendo lenyewe ni just 5 seconds kwisha kabisa, na hawezi kurudia mpaka apepewe? Hili unalizungumziaje?
    [*]Na kitu kingine ni kwamba walio wengi ambao mfano wana sehemu za siri ndogo hapa naongelea wanaume,wanakosa kule kujiamini kwa kawaida kwahio wanaona wanahitaji watumie nguvu zaidi au tactic za ziada ili kumnogesha au kumpagawisha mwenzi wake.
Nadhan hata babu zetu wengine walikuwa na maumbile madogo, how did they cope with that? na kwanini vijana waleo washindwe?
 
^^
Ukweli mwingine tunaoishi nao ni wenzi kuwa na mahusiano tofauti tofauti kabla ya ndoa.
Kila mmoja ana radha yake, ufundi wake, ujuzi wake, matokeo yake ni kuwa unapoangukia katika yule ambae hafikii uwezo wa wale wa kabla basi kutoridhika.
^^
 
Wanawake wengi siku hizi wana stress za maisha....ukiwa na stress Huwezi enjoy sex
 
Wanawake wengi siku hizi wana stress za maisha....ukiwa na stress Huwezi enjoy sex

mbona kama umeongea kinyume the boss! wanaume na kusaka manoti hujikuta wana muda mchache wa kuwaza mapenzi na hata ufanisi wao hupungua.
 
Labda tatizo ni mabadiliko ya kijamii, Zamani mambo ya mapenzi yalikuwa hayazungumzwi ovyo hadharani. Jandoni na unyagoni watu walifundishwa kuwa wasiri kwa hiyo usingeweza kusikia mtu akizungumzia swala la kufikishwa au kutofikishwa, ilikuwa siri ya ndani, kama mumeo ana kibamia unakufa nalo rohoni.
Sasa mfumo umebadilika mambo hadharani, ya chumbani yamehamia sebuleni. Tunajiachia kwenye mitandao, tupo huru kuzungumzia mahusiano na hii ndo inaibua yote hayo.
 
mbona kama umeongea kinyume the boss! wanaume na kusaka manoti hujikuta wana muda mchache wa kuwaza mapenzi na hata ufanisi wao hupungua.

Siku hizi Wanawake kama wanaume kwenye kutafuta maisha...so both tuna stress
 
Wanawake wengi siku hizi wana stress za maisha....ukiwa na stress Huwezi enjoy sex

Stress zake zinakufanya baada ya round moja ushindwe kuendelea?
Tatizo ni kubwa zaidi kwa wanaume kuliko wanawake ila wanaume hawataki kuukubali huo ukweli ndio wanadai wanawake wana sugu,wana stress,wametumika sana........................!!!
 
Stress zake zinakufanya baada ya round moja ushindwe kuendelea?
Tatizo ni kubwa zaidi kwa wanaume kuliko wanawake ila wanaume hawataki kuukubali huo ukweli ndio wanadai wanawake wana sugu,wana stress,wametumika sana........................!!!

Mwanamke mwenye stress anahitaji foreplay ya mda mrefu na time zaidi ya sex...hiyo round moja kama mwanamke hana stress ana enjoy tu
 
]Mwanamke mwenye stress anahitaji foreplay ya mda mrefu na time zaidi ya sex.[/B]..hiyo round moja kama mwanamke hana stress ana enjoy tu

Kujua tatizo ni hatua moja kuelekea kwenye suluhisho!!
Kamoja tu kaka binamu!!!!????
 
Back
Top Bottom