Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 342
Ninasoma gazeti la RAIA MWEMA la leo, uk. 09 kwenye RAI YA GENERALI ULIMWENGU nimekutana na sentensi anasema hivi"
"Mtu anayeshindwa kuhoji si mwandishi wa habari, anastahili aache kujiita hivyo na aende akatafute kazi katika idara ya serikali, kwani huko ndiko unaweza kupata mshahara bila kufikiri sana; Inakuja amri "fungia huyo", na hutaki kujua hasa ni kwa nini unafungia, unafungia tu, basi": {Generali Ulimwengu: RAIA MWEMA: June 21, 2017, pg. 09}.
Jadili