Serikalini ndiko unaweza kupata mshahara bila kufikiri sana

Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
580
Points
250

Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
580 250
Ninasoma gazeti la RAIA MWEMA la leo, uk. 09 kwenye RAI YA GENERALI ULIMWENGU nimekutana na sentensi anasema hivi"

"Mtu anayeshindwa kuhoji si mwandishi wa habari, anastahili aache kujiita hivyo na aende akatafute kazi katika idara ya serikali, kwani huko ndiko unaweza kupata mshahara bila kufikiri sana; Inakuja amri "fungia huyo", na hutaki kujua hasa ni kwa nini unafungia, unafungia tu, basi": {Generali Ulimwengu: RAIA MWEMA: June 21, 2017, pg. 09}.

Jadili
 
Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
6,161
Points
2,000

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
6,161 2,000
Ni serikalini pekee muda wa kunywa chai ni masaa 3, lunch masaa 3 yanayobaki ni kupita makoridoni na kusoma magazeti!siku imeisha na bado raia ataambiwa aje kesho faili halionekani au niko bize:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Mna raha sana mnaofanya Kazi huko serikalini ndio maana wengi wenu huwa mnaridhika na mishaara dhoofu sababu hamfanyi kazi
 
Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,742
Points
2,000

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,742 2,000
Kwenye nchi za kidkteta hutarajiwi kuhoji chochote zaidi ya kutii amri za 'Bwana Mkubwa'

Pia Jenerali angeongeza na ubunge wa CCM pia huihutaji kufikiri chochote zaidi ya kuitikia ndiyoooo kwenye hoja za chama chako

Kwani Kibajaji anaweza kufikiri nini?
Yes
 
PAPAKINYI - SJUT 2013

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
367
Points
250

PAPAKINYI - SJUT 2013

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
367 250
aniombe radhi sn, niko serikalini na mshahara wangu naupata kwa kutumia nguvu ningi sn za kufikiri....kwani natakiwa kila mwezi nionyeshe nimefanya nini ktk kuongeza ufanisi,..la sivyo nitumbuliwe!

nataman ningekuwa mwandishi kwani kwangu naona kwa sasa ndio kz rahisi mno; ni kucheza na akili za mambumbumbu wa tz tu km wafanyavyo wasanii basi ambao kz yao ni kushangilia matukio ya kimbea tu...ulimwengu ana kazi rahisi kuliko mimi!!!
 
UCD

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Messages
6,210
Points
2,000

UCD

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2012
6,210 2,000
Ninasoma gazeti la RAIA MWEMA la leo, uk. 09 kwenye RAI YA GENERALI ULIMWENGU nimekutana na sentensi anasema hivi"

"Mtu anayeshindwa kuhoji si mwandishi wa habari, anastahili aache kujiita hivyo na aende akatafute kazi katika idara ya serikali, kwani huko ndiko unaweza kupata mshahara bila kufikiri sana; Inakuja amri "fungia huyo", na hutaki kujua hasa ni kwa nini unafungia, unafungia tu, basi": {Generali Ulimwengu: RAIA MWEMA: June 21, 2017, pg. 09}.

Jadili
Kwani wewe General Ulimwengu akisema kitu ndo basi?? Kwani vitu vyote vinavyofanywa na serikali havifai?? Mbona huyo Ulimwengu naye alikuwa serikalini na bado hata leo akipewa nafasi serikalini atashangilia kwa sana tu. Wakati mwingine tumieni akili zetu siyo kila kitu wanachosema hao wakina Ulimwengu mnafikiri ni sawa. Kwa taarifa yako watu wote wenye akili za kujitambua lazima wameajiriwa na serikali!! Unaweza ukamuona anafanyakazi private lakini mwajiriwa wa serikali. Wakati mwingine mjitambue!!
 
Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
580
Points
250

Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
580 250
Kwani wewe General Ulimwengu akisema kitu ndo basi?? Kwani vitu vyote vinavyofanywa na serikali havifai?? Mbona huyo Ulimwengu naye alikuwa serikalini na bado hata leo akipewa nafasi serikalini atashangilia kwa sana tu. Wakati mwingine tumieni akili zetu siyo kila kitu wanachosema hao wakina Ulimwengu mnafikiri ni sawa. Kwa taarifa yako watu wote wenye akili za kujitambua lazima wameajiriwa na serikali!! Unaweza ukamuona anafanyakazi private lakini mwajiriwa wa serikali. Wakati mwingine mjitambue!!
Hoja za kizamani kwelikweli,

Unadhani hizi ni enzi za za kubabaisha watu kwa kuwatishia kwamba serikali fulani ina mkono mrefu hivyo jichunge unapoongea huko makazini.

Hao unaosema ni waserikali lakini wako private ndiyo wanapiga miayo kila leo, njaa tupu, uvivu tupu.

Sisi hatumuamini Ulimwengu. Ulimwengu ni msemaji wa tatizo lililopo. Jamaa mu wavivu hadi inaudhi.
 
steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Messages
5,818
Points
2,000

steveachi

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2011
5,818 2,000
Mfumo WA serikalini unaomsababishia Mtumishi WA umma aonekane hachapi kazi Mara nyingi husababishwa na Serikali yenyewe Kwani kutompatia mtumishi Huyo rasilimali zinazomwezesha kutimiza majukumu kwa wakati ipasavyo hakuwezi kumfanye Huyu mtumishi aonekane anafanya yake kwa ufasaha, tofauti na private Kwenye kila kitu, kuhusiana Na mtumishi kuwa mvivu huo Ni udhaifu wake binafsi
 
UCD

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Messages
6,210
Points
2,000

UCD

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2012
6,210 2,000
Hoja za kizamani kwelikweli,

Unadhani hizi ni enzi za za kubabaisha watu kwa kuwatishia kwamba serikali fulani ina mkono mrefu hivyo jichunge unapoongea huko makazini.

Hao unaosema ni waserikali lakini wako private ndiyo wanapiga miayo kila leo, njaa tupu, uvivu tupu.

Sisi hatumuamini Ulimwengu. Ulimwengu ni msemaji wa tatizo lililopo. Jamaa mu wavivu hadi inaudhi.
Nonsense comments. Huna chochote cha maana mbona ndio wanakuongoza mpaka sasa hivi?? Utabaki kulalama tu wakati uko chini yao. Acha kuwa mvivu wa kufikiri.
 
Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
580
Points
250

Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
580 250
Nonsense comments. Huna chochote cha maana mbona ndio wanakuongoza mpaka sasa hivi?? Utabaki kulalama tu wakati uko chini yao. Acha kuwa mvivu wa kufikiri.
Walioko chini yao ni majambazi na mafisadi. mtu safi kama mimi hawajawahi kuniongoza na wala siwahitaji maana hawana watakachotaka kwangu au kupata kwangu. Hivyo ninajiongoza sijawahi kuongozwa. Labda wanakuongoza wewe.
 
Forum statistics

Threads 1,382,432
Members 526,380
Posts 33,828,425
Top