Serikalini ndiko unaweza kupata mshahara bila kufikiri sana

Tatizo hao watu walioajiriwa private sector wanajiona superior kuliko wenzao wa serikalini. Kila mtu aheshimu anachokifanya mwenzake. Pia hao wakulima unaowaita masikini wa kutupwa ndo wanalisha taifa hili. Labda wengi wao ni masikini sababu hawana mitaji na utaalamu wa kutosha wa kitu wanachokifanya.

...Hoja yangu kwenye hiyo reply ya jamaa ni kwamba si sahihi kusema kwamba ili utimize ndoto zako ni lazima ujiajiri. Unaweza kutimiza ndoto zako hata kama umeajiriwa (iwe serikalini au private sector, it doesn't matter).

Pia kwa hoja yako kwamba ukiwa private sector wanajiona superior kwa wenzao walioko serikalini si kweli kwa sababu private sector kazi ni za mkataba na ni rahisi kupigwa chini ikiwa huwezi ku deliver, hilo liko wazi kabisa tofauti na serikalini ambako kuna taratibu ndefu za kufukuzana.
Huu mfumo wa kuhakikisha kwamba mfanyakazi wa serikali hafukuzwi kirahisi, umewekwa purposefully (hata the late Nyerere amewahi kulisemea sana hili kwenye speech zake) ili kumlinda mfanyakazi.
Hata hivyo ni ukweli usiopingika kwamba wafanyakazi wa serikalini wamekuwa wanaitumia vibaya hii loophole na ndiyo maana wamekuwa hawatimizi majukumu yao ipasavyo tofauti na wale wa private sector, ambako hakuna huo uvumilivu.
Sababu nyingine ni kulindana kwa sababu ya undugu, mahusiano yasiyofaa (kimapenzi au wizi) etc.
Hili ndilo ambalo mhe Rais kwa sasa anapambana nalo ili hawa wafanyakazi wa serikali waweze ku deliver, kuacha ugoigoi, wizi (wa muda wa kazi, vifaa, pesa etc).
Unakuta mtu ni mkuu wa Idara anatumiwa e-mail muhimu sana, lakini wala hajibu mpaka hata wiki inapita, ukimpigia simu anakuambia mara niko kwenye kikao!! ,mara mtandao unasumbua but mtu huyo huyo muda wote yuko Facebook au whatsapp.
 
mi si mmoja wao, nashukuru Mungu! lakini najua kuwa wapo wengi sana (wasioenda shule)....unaweza kuwashuhudia kwenye mikutano ya siasa wakipiga kelele, vigodoro n.k.
Basi kwenye sentensi yako ungesema wale baadhi wasioenda shule ila wewe umesema mambumbumbu wa TZ yaani umejumlisha na kuhitimisha watz wote including na wewe mwenyewe na huyo Jenerali Ulimwengu.
 
Ni serikalini pekee muda wa kunywa chai ni masaa 3, lunch masaa 3 yanayobaki ni kupita makoridoni na kusoma magazeti!siku imeisha na bado raia ataambiwa aje kesho faili halionekani au niko bize:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Nenda kaone popote ofisi ya serikali, sio kwa awamu hii, kweli hayo yalikuwa zamani
 
...Hoja yangu kwenye hiyo reply ya jamaa ni kwamba si sahihi kusema kwamba ili utimize ndoto zako ni lazima ujiajiri. Unaweza kutimiza ndoto zako hata kama umeajiriwa (iwe serikalini au private sector, it doesn't matter).

Pia kwa hoja yako kwamba ukiwa private sector wanajiona superior kwa wenzao walioko serikalini si kweli kwa sababu private sector kazi ni za mkataba na ni rahisi kupigwa chini ikiwa huwezi ku deliver, hilo liko wazi kabisa tofauti na serikalini ambako kuna taratibu ndefu za kufukuzana.
Huu mfumo wa kuhakikisha kwamba mfanyakazi wa serikali hafukuzwi kirahisi, umewekwa purposefully (hata the late Nyerere amewahi kulisemea sana hili kwenye speech zake) ili kumlinda mfanyakazi.
Hata hivyo ni ukweli usiopingika kwamba wafanyakazi wa serikalini wamekuwa wanaitumia vibaya hii loophole na ndiyo maana wamekuwa hawatimizi majukumu yao ipasavyo tofauti na wale wa private sector, ambako hakuna huo uvumilivu.
Sababu nyingine ni kulindana kwa sababu ya undugu, mahusiano yasiyofaa (kimapenzi au wizi) etc.
Hili ndilo ambalo mhe Rais kwa sasa anapambana nalo ili hawa wafanyakazi wa serikali waweze ku deliver, kuacha ugoigoi, wizi (wa muda wa kazi, vifaa, pesa etc).
Unakuta mtu ni mkuu wa Idara anatumiwa e-mail muhimu sana, lakini wala hajibu mpaka hata wiki inapita, ukimpigia simu anakuambia mara niko kwenye kikao!! ,mara mtandao unasumbua but mtu huyo huyo muda wote yuko Facebook au whatsapp.
Mkuu kwa kuongezea tu ni kwamba private sector kwa kiasi kikubwa sana ni results oriented. Kuna mahali niliwahi fanya kazi nilikuwa napewa mpaka timesheet kwa saa kwamba ndani ya saa je nimefanya kitu gani!

Baadhi ya sehemu za kazi serikalini wanaingia saa 1.30 asubuhi then wanatoka saa 9.30 asubuhi eti hapo wamefanya kazi masaa nane!!! uwongo wa kiwango cha reli ya standard gauge huu.

Sehemu nyingi serikalini kila kitu mpaka barua e-mail hapana! Serikalini kuna wakurugenzi kibao hawajui tumia e-mail. Unakuta PS wa mkurugenzi ndo anasoma na kutuma email on behalf!

Serikalini vitu kama skype, team viewer, sharepoint ni vitu vya kusadikika!

In short serikalini sehemu nyingi za kazi wana safari ndefu mnoooooooooooooooooooo ili kufikia ufanisi unaokubalika!!!!

Angalia tu watu wa marketing wa kampuni kama TTCL halafu compare na wa Tigo, Vodacom utakuta mtu wa Vodacom ana target za kufa mtu maana shareholders wake nao wanataka return nzuri!.
 
Uwajibikaji kwa wafanyakazi serikalini ni jipu ambalo Mh Rais anategemewa sana atalipatia dawa ya kudumu. Sababu hawa wamewanyonya sana wakulima na watantanzania wengine wasio kwenye ajira serikalini.
 
Ni serikalini pekee muda wa kunywa chai ni masaa 3, lunch masaa 3 yanayobaki ni kupita makoridoni na kusoma magazeti!siku imeisha na bado raia ataambiwa aje kesho faili halionekani au niko bize:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Mtunza Vifaa Store anakwambia store yake kwa nusu Mwaka haina kifaa chochote cha Ofisi kwa maana ya Stationeries na Mahitaji Mengine ya Ofisi sasa agande ofisini Muda wote kufanya nini kwa kuwa hata mwny Mahitaji anajua Store Siku hizi ni Kama Ghala la Makumbusho

Mhasibu Ana Miezi kadhaa hajapokea Mafungu ya Kulipa wagande ofisni kufanya nn wakat mmoja tu anatosha kutoa Jibu Hakuna fund

Dirisha la Dawa kuna haja gani ya Watumishi wote kuganda wakat mmoja anatosha kubaki kuwa jibu Wagonjwa 'dawa Hakuna '
 
....Kama umejiajiri it is well and good, but ni hoja ya kijinga sana kudhani kila mtu anatakiwa ajiajiri ndo atimize ndoto yake. Wanaongoza kwa kujiajiri nchi hii ni wakulima, je wametimiza ndoto zao au ndiyo masikini wa kutupwa? Mkipata kidogo mumshukuru maanani badala ya kuleta kashfa.
Amejiajiri kwenye nini kwanza? maana wapo wengine kutokana na incompetence yao wameshindwa kuajiriwa ila wanatamani kuajiriwa, wamekaa mtaani wanabangaiza kisha wanakuja hapa kutukana walioajiriwa
Unaweza kua umeajiriwa na baada ya muda uka break off na kuja kumuajiri huyo anajifanya amejiajiri..boya sana huyo
 
Tatizo hao watu walioajiriwa private sector wanajiona superior kuliko wenzao wa serikalini. Kila mtu aheshimu anachokifanya mwenzake. Pia hao wakulima unaowaita masikini wa kutupwa ndo wanalisha taifa hili. Labda wengi wao ni masikini sababu hawana mitaji na utaalamu wa kutosha wa kitu wanachokifanya.
Wanashindwa kujilisha halafu wanalisha taifa..how funny
 
aniombe radhi sn, niko serikalini na mshahara wangu naupata kwa kutumia nguvu ningi sn za kufikiri....kwani natakiwa kila mwezi nionyeshe nimefanya nini ktk kuongeza ufanisi,..la sivyo nitumbuliwe!

nataman ningekuwa mwandishi kwani kwangu naona kwa sasa ndio kz rahisi mno; ni kucheza na akili za mambumbumbu wa tz tu km wafanyavyo wasanii basi ambao kz yao ni kushangilia matukio ya kimbea tu...ulimwengu ana kazi rahisi kuliko mimi!!!
Hebu cheza na akili za watu anzisha uzi uone utapata views ngapi. Usipofika 1000 jua ukiwa mwandishi hatauza hata gazeti moja
 
Serikali inakusanya almost Tsh.1 trilion kwa mwezi na inawalipa more than 550 billion wafanyakazi wa serikalini.Hatari tupu.
Ukitaka kujua Watumishi wanaofanya kazi kiukweli TZ nenda Bank, Ubalozini, Mifuko ya Jamii, UN mashirika, Hospitals, Wajenzi wa Majengo na Barabara, Viwandani ,Airports, kwingineko wako Safarini, Kikaoni na ametoka.
 
Back
Top Bottom