Serikalini ndiko unaweza kupata mshahara bila kufikiri sana

Mimi nimejiajiri mwenyewe. Ninachojua nyie mnaofanya kazi sector binafsi maana yake mumeshindwa kutimiza ndoto zenu wenyewe. Hivyo hivyo mwajiri wenu amewaajiri ili mutimize ndoto zake ndo maana anawafanyisha kazi kwa spidi ya ndoto zake. Ni aibu kuwa proud eti umeajiriwa sector binafsi. Proud urself kwamba umeajiri watu. Na nyie wa serekalini punguzeni uvivu, munatumikia umma, munalipwa kwa kodi zetu. Tupeni Huduma zinazostahihili. Kabla hamjaajiriwa mlijua kabisa kwamba mishahara ni midogo na mukakubali hivyo hivyo, kwa hiyo tulieni chapeni kazi.

....Kama umejiajiri it is well and good, but ni hoja ya kijinga sana kudhani kila mtu anatakiwa ajiajiri ndo atimize ndoto yake. Wanaongoza kwa kujiajiri nchi hii ni wakulima, je wametimiza ndoto zao au ndiyo masikini wa kutupwa? Mkipata kidogo mumshukuru maanani badala ya kuleta kashfa.

Kaka,

Kapata wapi mtaji wa kujiajiri, au hawa ndiyo sasa wanageuza hoteli zao kuwa hostel baada ya JPM kuwabana sehemu zisizoshikika enzi za yule mchekajichekaji.
 
....Kama umejiajiri it is well and good, but ni hoja ya kijinga sana kudhani kila mtu anatakiwa ajiajiri ndo atimize ndoto yake. Wanaongoza kwa kujiajiri nchi hii ni wakulima, je wametimiza ndoto zao au ndiyo masikini wa kutupwa? Mkipata kidogo mumshukuru maanani badala ya kuleta kashfa.
Tatizo hao watu walioajiriwa private sector wanajiona superior kuliko wenzao wa serikalini. Kila mtu aheshimu anachokifanya mwenzake. Pia hao wakulima unaowaita masikini wa kutupwa ndo wanalisha taifa hili. Labda wengi wao ni masikini sababu hawana mitaji na utaalamu wa kutosha wa kitu wanachokifanya.
 
Ninasoma gazeti la RAIA MWEMA la leo, uk. 09 kwenye RAI YA GENERALI ULIMWENGU nimekutana na sentensi anasema hivi"

"Mtu anayeshindwa kuhoji si mwandishi wa habari, anastahili aache kujiita hivyo na aende akatafute kazi katika idara ya serikali, kwani huko ndiko unaweza kupata mshahara bila kufikiri sana; Inakuja amri "fungia huyo", na hutaki kujua hasa ni kwa nini unafungia, unafungia tu, basi": {Generali Ulimwengu: RAIA MWEMA: June 21, 2017, pg. 09}.

Jadili
Huyo jenerali ulimwengu amepotosha , kimsingi watumishi Wa serikali wanafanya kazi kubwa na kwa kufikiria sana pamoja na changamoto za mazingira magumu ya kazi, maslai madogo ukilinganisha na uzito wa kazi, pamoja na kulazimika kufuata maelekezo ya viongozi Wa kisiasa ambayo muda mwingine yanapingana na taratibu za kitaalamu.
Tatizo kubwa ni hilo la viongozi Wa kisiasa wanaosimamia utendaji serikalini kuongoza kwa maslai ya kisiasa zaidi ikiwezekana hata kutozingatia ushauri Wa kitaalamu na kiuweledi
 
Ni serikalini pekee muda wa kunywa chai ni masaa 3, lunch masaa 3 yanayobaki ni kupita makoridoni na kusoma magazeti!siku imeisha na bado raia ataambiwa aje kesho faili halionekani au niko bize:D:D:D:D:D:D:D:D:D
ina maana wakuu maofisin kwenu nyie wote ni mabosi ikitoka amri mnweza kuhoji au ndo mnatudanganya kwenye social media...while in reality hamna sehemu watu wanafanya kazi kwa hofu na unafik kama private....always mnataka kutuaminisha wanaofanya kazi private ni magenius and great thinkers
 
Mwenzako ni mmiliki/chairman wa Co. Vp wewe una majukumu gani ya kila siku ya kumzidi Ulimwengu.
kupata ni majaaliwa tu ndugu yangu, hata usistuke sn na hilo....diamond ana nyumba mpaka south africa, anafanya kazi sn kuzidi wanamuziki wote? hivi spika wa bunge, ndg ndugai, anapiga kazi sn (ana akili) kuliko wewe hadi amepata cheo kile? naangalia ujengaji wake wa hoja na wako wewe ndg mng'ato uliye fukara wa kutupwa; umemzidi mara zaidi ya kumi!
 
Kwanza ufukara huo inawezekana umeanzia kichwani kwako ndio maana ukafikiria na wengine wana Maisha Magumu kama yako.Kijana umesoma St. John eeh?Hahah

Na kama humjui ulimwengu nadhani upstairs kuna shida kidogo,kwa kifupi Ulimwengu Ni Mmiliki Magazeti miaka kibao,alimiliki Habari Corporation(Magazet ya Rai,Dimba,The African) kwa hio hizo porojo zako eti kupata ni majaliwa baki nazo mwenyewe.

Jibu swali langu wewe una majukumu gani ya kuweza kumshinda ulimwengu Chairman wa Co. Yake acha kukimbia hoja.
 
Mimi nimejiajiri mwenyewe. Ninachojua nyie mnaofanya kazi sector binafsi maana yake mumeshindwa kutimiza ndoto zenu wenyewe. Hivyo hivyo mwajiri wenu amewaajiri ili mutimize ndoto zake ndo maana anawafanyisha kazi kwa spidi ya ndoto zake. Ni aibu kuwa proud eti umeajiriwa sector binafsi. Proud urself kwamba umeajiri watu. Na nyie wa serekalini punguzeni uvivu, munatumikia umma, munalipwa kwa kodi zetu. Tupeni Huduma zinazostahihili. Kabla hamjaajiriwa mlijua kabisa kwamba mishahara ni midogo na mukakubali hivyo hivyo, kwa hiyo tulieni chapeni kazi.
Leo nimeona vioja kwelikweli, eti mtu yuko proud kabisa kwa kuwa ameajiriwa private sector na vijishahara vyao vya 4mil. AIBU SANA
 
....Kama umejiajiri it is well and good, but ni hoja ya kijinga sana kudhani kila mtu anatakiwa ajiajiri ndo atimize ndoto yake. Wanaongoza kwa kujiajiri nchi hii ni wakulima, je wametimiza ndoto zao au ndiyo masikini wa kutupwa? Mkipata kidogo mumshukuru maanani badala ya kuleta kashfa.
Basi nanyiewatumishi wa wawekezaji msijidai sana kuajiriwa huko
 
Mtu hadi unapata muda wa kufanyakazi private jua serikalini ni blah blah tu, ndio maana Jenerali anasema serikalini hakuna kufikiri, utakuta daktari kaajiriwa Mhimbili lakini ana dispensaries yake binafsi.
Kwa hiyo daktari kuwa na Dispensary na hapo hapo anafanyakazi Muhimbili ndio kutokufikiri?? Mbona sikuelewi mkuu!!???
 
Wafanyakazi wa serikalini au sekta ya umma ni maroboti tu. Huko hakuna cha creativity wala innovativeness. Ukionyesha hivyo vipaji, unaadhibiwa. Wakati sekta binafsi vipaji kama hivyo vinazawadiwa.
 
Kwanza ufukara huo inawezekana umeanzia kichwani kwako ndio maana ukafikiria na wengine wana Maisha Magumu kama yako.Kijana umesoma St. John eeh?Hahah

Na kama humjui ulimwengu nadhani upstairs kuna shida kidogo,kwa kifupi Ulimwengu Ni Mmiliki Magazeti miaka kibao,alimiliki Habari Corporation(Magazet ya Rai,Dimba,The African) kwa hio hizo porojo zako eti kupata ni majaliwa baki nazo mwenyewe.

Jibu swali langu wewe una majukumu gani ya kuweza kumshinda ulimwengu Chairman wa Co. Yake acha kukimbia hoja.
nani kakwambia nimesoma hapo?!! halafu mbona umecheka sasa (kunani st.john!!)?
si vizuri kutaja kazi yangu mbele ya kadamnasi lkn naomba uelewe tu kuwa kazi yangu ni ngumu kuliko yake ya kukaa kiyoyozini na kuandika habari za kufurahisha watu fulani......nimemaanisha asituchukulia poa tulio serikalini kiasi hicho.
 
aniombe radhi sn, niko serikalini na mshahara wangu naupata kwa kutumia nguvu ningi sn za kufikiri....kwani natakiwa kila mwezi nionyeshe nimefanya nini ktk kuongeza ufanisi,..la sivyo nitumbuliwe!

nataman ningekuwa mwandishi kwani kwangu naona kwa sasa ndio kz rahisi mno; ni kucheza na akili za mambumbumbu wa tz tu km wafanyavyo wasanii basi ambao kz yao ni kushangilia matukio ya kimbea tu...ulimwengu ana kazi rahisi kuliko mimi!!!
Mkuu kwa hiyo wewe sio mtanzania?

Au wewe upo kwenye kundi lipi la hao mambumbumbu?
 
Back
Top Bottom