Zaidi ya vyuo vikuu 20 hapa nchini havijapatiwa pesa yao ya kujikimu baada ya kutakiwa kupewa pesa hiyo katika ya mwezi wa 5, hali iliyopelekea baadhi ya vyuo kuwazuia wanafunzi wake kufanya mitihani yao ya mwisho inayoanza wiki ijayo kwa baadhi ya vyuo kwani wengi wa wanafunzi hao hutumia pesa hizo kukamilisha ada za chuo kutokana na kulipiwa pesa kidogo na bodi ya mikopo.
Nimetembelea chuo kimoja hapa nchini nakuzungumza na wanafunzi wengi wamekataa tamaa huku wakizongwa na madeni, na kodi toka kwa wamiliki wa nyumba. Huku wasichana wengi wakijiuza ili kukidhi mahitaji yao.
My take :
Mh Rais alisema kuwa akiingia madarakani hatapenda kuona wanafunzi wamecheleweshewa mikopo yao ni wakati sasa wanafunzi hao walipwe pesa zao za kujikimu.