Umasikin umesababishwa na serial ndioMmekazana "watoto wa masikini, watoto wa masikini".
Kwani umasikini walipewa na Serikali?
Mungu anawaumbua hawa wanafiki wanaojinasibisha kuwa wao serikali ya wanyonge.Serikali ya wanyonge iko biz na wapinzani sahivi.
Umasikin umesababishwa na serial ndio
Ccm ni ileilee ooooh ni ileileeDah! Kumbe umetembea kwenye chuo kimoja tu then unasema vyuo zaidi ya 20? By the way bado zoezi la uhakiki linaendelea
Wewe ndiye msemaji wao?Wanafunzi wengi wameshapata boom lao. Wewe endelea kuweweseka humu JF.
Sindano imekuingia tuHuyo serial mie simjuwi.
Tatizo lako ukada umekujaa hata kwenye hoja za msingi ww unaleta vitukoWanafunzi wengi wameshapata boom lao. Wewe endelea kuweweseka humu JF.
Kuna watu wamezoea sana kuwadhalilisha kina dada, we unewaona ho wakijiuza, ni kweli boom limechelewa na mimi nipo kwenye chuo kimojawapo lakini sijaona mdada akijiuza, kwa taarifa yako wadada wanajaliwa sana na ndugu na jamaa hivyo mara nyingi wanatumiwa pesa na ndugu zao, tuwaheshimu dada zetu plzduh! Hii ya kusema "wasichana wengi wakiwa wanajiuza" huu ni udhalilishaji mkuu. Ungetafuta kauli nyingine ya kufikisha tatizo lao pasipo kuwadhalilisha dada zetu.
Huyo husiangaike naye, aleinda chuo kutafuta "changu" akapigwa fix naye akaingia king! Ila tumpe hongera kwa kupunguza umasikini kwa dada zetuWanafunzi wengi wameshapata boom lao. Wewe endelea kuweweseka humu JF.
mtakabiliwa na makesi kila siku msipojifunza kuwa wakweli. Sugu, Mnyika, Olemilya wamehukumiwa kwa kusema mambo ambayo wameshindwa kuyathibitishaHiyo ndio hali halisi mkuu.
SerkalHuyo serial mie simjuwi.
Hilo sio jambo geni, hivi unategemea binti ambaye hana pesa afanyaje akaibe au abebe zege, mbona hata makamu wa rais alisema hivyo na hii ndiyo hali halisi kwa sasa kwenye vyuo vingi vilivyo cheleweshewa pesa.mtakabiliwa na makesi kila siku msipojifunza kuwa wakweli. Sugu, Mnyika, Olemilya wamehukumiwa kwa kusema mambo ambayo wameshindwa kuyathibitisha

Zaidi ya vyuo vikuu 20 hapa nchini havijapatiwa pesa yao ya kujikimu baada ya kutakiwa kupewa pesa hiyo katika ya mwezi wa 5, hali iliyopelekea baadhi ya vyuo kuwazuia wanafunzi wake kufanya mitihani yao ya mwisho inayoanza wiki ijayo kwa baadhi ya vyuo kwani wengi wa wanafunzi hao hutumia pesa hizo kukamilisha ada za chuo kutokana na kulipiwa pesa kidogo na bodi ya mikopo.
Nimetembelea chuo kimoja hapa nchini nakuzungumza na wanafunzi wengi wamekataa tamaa huku wakizongwa na madeni, na kodi toka kwa wamiliki wa nyumba. Huku wasichana wengi wakijiuza ili kukidhi mahitaji yao.
My take :
Mh Rais alisema kuwa akiingia madarakani hatapenda kuona wanafunzi wamecheleweshewa mikopo yao ni wakati sasa wanafunzi hao walipwe pesa zao za kujikimu.
Mkuu,Dah! Kumbe umetembea kwenye chuo kimoja tu then unasema vyuo zaidi ya 20? By the way bado zoezi la uhakiki linaendelea
Kwa mujibu wa bodi wanadai vipo kama 20, ikiwemo Bugando, muhas, amucta, T.I.A, Sfuchas, n.k.kuwa specific chuo gani na gan?