HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 308
- 113
Real ndugu sikutegemea kama hali bado ingeendelea kuwa ngumu hivi huku mtaani..siku zote nilipokuwa nasikia makusanyo ya kudi yameongezeka nilikuwa mwenye furaha sana lakini endapo kama hali ya maisha itaendelea kuwa ngumu basi sitaona faida ya hayo yote.