UWT Waungana na Mbowe kupinga Mkataba wa Bandari

CHADEMA

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
488
2,468
Wanachama na viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Kata ya Didia, Jimbo la Solwa, mkoa wa Shinyanga, ni miongoni mwa wananchi waliopiga kura ya wazi leo kupinga Mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai, kuhusu uendelezaji wa bandari na maeneo mengine ya kiuchumi.

Awali, UWT, waliokuwa wametangaza kufanya mkutano wao kwenye eneo la Tambukareli, waliamua ghafla kuhamishia mkutano wao jirani na mkutano wa Chadema, kwa nia ya kuvuruga mkutano wa Chadema, uliopangwa kuhutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.

Hata hivyo, Mbowe alipowasili kwa helcopter, maelfu ya wananchi wa Didia waliukimbilia mkutano wa Chadema, wakiwemo wanachama na viongozi wa UWT walioamua kuukimbia mkutano wao.

Mkutano wa UWT ulipangwa kuhutubiwa na Mwenyekiti wao, Mary Chatanda.

Akiongoza kura ya wazi, Mbowe aliwaomba wananchi wote wanaokubaliana na msimamo wa CCM kuwa mkataba wa bandari ni mzuri na una manufaa kwa Taifa wanyooshe mikono yao juu, lakini hakuna hata mwananchi mmoja aliyenyoosha mkono wake juu kuunga mkono CCM na mkataba huo, licha ya kuwepo UWT uwanjani hapo.

Hata hivyo, alipouliza wananchi wote wanaounga mkono msimamo wa Chadema wa kupinga mkataba wa bandari, wanyooshe mikono yao juu, uwanja mzima ulinyoosha mikono juu kuashiria kupinga mkataba huo.

Miongoni mwa walio nyoosha mikono yao juu kupinga mkataba huo ni wanachama na viongozi wa UWT.

"Nashakuru akina mama wa CCM, nao wamenyoosha mikono yao juu kupinga mkataba huu. Ahsanteni sana. Mungu awabariki saba" alisema Mbowe.

Mbali na Kata ya Didia, Mbowe anafanya jumla ya mikutano sita kwa siku nzima ya leo ndani ya jimbo la Solwa, akitumia usafiri wa helcopter.
20230827152805_0R4A0530.jpg
20230827_132346.jpg
 
Wanachama na viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Kata ya Didia, Jimbo la Solwa, mkoa wa Shinyanga, ni miongoni mwa wananchi waliopiga kura ya wazi leo kupinga Mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai, kuhusu uendelezaji wa bandari na maeneo mengine ya kiuchumi.

Awali, UWT, waliokuwa wametangaza kufanya mkutano wao kwenye eneo la Tambukareli, waliamua ghafla kuhamishia mkutano wao jirani na mkutano wa Chadema, kwa nia ya kuvuruga mkutano wa Chadema, uliopangwa kuhutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.

Hata hivyo, Mbowe alipowasili kwa helcopter, maelfu ya wananchi wa Didia waliukimbilia mkutano wa Chadema, wakiwemo wanachama na viongozi wa UWT walioamua kuukimbia mkutano wao.

Mkutano wa UWT ulipangwa kuhutubiwa na Mwenyekiti wao, Mary Chatanda.

Akiongoza kura ya wazi, Mbowe aliwaomba wananchi wote wanaokubaliana na msimamo wa CCM kuwa mkataba wa bandari ni mzuri na una manufaa kwa Taifa wanyooshe mikono yao juu, lakini hakuna hata mwananchi mmoja aliyenyoosha mkono wake juu kuunga mkono CCM na mkataba huo, licha ya kuwepo UWT uwanjani hapo.

Hata hivyo, alipouliza wananchi wote wanaounga mkono msimamo wa Chadema wa kupinga mkataba wa bandari, wanyooshe mikono yao juu, uwanja mzima ulinyoosha mikono juu kuashiria kupinga mkataba huo.

Miongoni mwa walio nyoosha mikono yao juu kupinga mkataba huo ni wanachama na viongozi wa UWT.

"Nashakuru akina mama wa CCM, nao wamenyoosha mikono yao juu kupinga mkataba huu. Ahsanteni sana. Mungu awabariki saba" alisema Mbowe.

Mbali na Kata ya Didia, Mbowe anafanya jumla ya mikutano sita kwa siku nzima ya leo ndani ya jimbo la Solwa, akitumia usafiri wa helcopter.View attachment 2730683View attachment 2730688
Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Kheeee 🤔
 
CCM walionyosha mikono wapo wapi?
 
Wafukuzwe UANACHAMA....

Chama chetu ni cha nidhamu....

Chama chetu hakilei watovu wa nidhamu wenye KUMPINGA MWENYEKITI WETU WA TAIFA CCM....

KUMPINGA MWENYEKITI hadharani ni "dhambi" kisiasa.....

#Fukuza hao wote
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
Usomwe mwaka mzima....

Hakitabadilika kitu....

Tanzania si taifa la KIDINI....

DINI ZENU BAKINI NAZO MIOYONI NA HUKO MISIKITINI NA MAKANISANI....

Sisi ni wajamaa....
 
Inatosha kueleza ukweli kwa sababu historia itaikumbuka na kujenga heshima lengo sio badiliko ya dubwasha la hovyo kuwahi kusainiwa tangu Tanzania ipate uhuru

Tunaangalia mbele hatuangalii hapa😏
 
Wanachama na viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Kata ya Didia, Jimbo la Solwa, mkoa wa Shinyanga, ni miongoni mwa wananchi waliopiga kura ya wazi leo kupinga Mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai, kuhusu uendelezaji wa bandari na maeneo mengine ya kiuchumi.

Awali, UWT, waliokuwa wametangaza kufanya mkutano wao kwenye eneo la Tambukareli, waliamua ghafla kuhamishia mkutano wao jirani na mkutano wa Chadema, kwa nia ya kuvuruga mkutano wa Chadema, uliopangwa kuhutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.

Hata hivyo, Mbowe alipowasili kwa helcopter, maelfu ya wananchi wa Didia waliukimbilia mkutano wa Chadema, wakiwemo wanachama na viongozi wa UWT walioamua kuukimbia mkutano wao.

Mkutano wa UWT ulipangwa kuhutubiwa na Mwenyekiti wao, Mary Chatanda.

Akiongoza kura ya wazi, Mbowe aliwaomba wananchi wote wanaokubaliana na msimamo wa CCM kuwa mkataba wa bandari ni mzuri na una manufaa kwa Taifa wanyooshe mikono yao juu, lakini hakuna hata mwananchi mmoja aliyenyoosha mkono wake juu kuunga mkono CCM na mkataba huo, licha ya kuwepo UWT uwanjani hapo.

Hata hivyo, alipouliza wananchi wote wanaounga mkono msimamo wa Chadema wa kupinga mkataba wa bandari, wanyooshe mikono yao juu, uwanja mzima ulinyoosha mikono juu kuashiria kupinga mkataba huo.

Miongoni mwa walio nyoosha mikono yao juu kupinga mkataba huo ni wanachama na viongozi wa UWT.

"Nashakuru akina mama wa CCM, nao wamenyoosha mikono yao juu kupinga mkataba huu. Ahsanteni sana. Mungu awabariki saba" alisema Mbowe.

Mbali na Kata ya Didia, Mbowe anafanya jumla ya mikutano sita kwa siku nzima ya leo ndani ya jimbo la Solwa, akitumia usafiri wa helcopter.View attachment 2730683View attachment 2730688
Hapa umeongeza chumvi kidogo. Kwa kawaida wanaccm wanapokuwa kwenye shughuli rasmi kama vikao hujitanda na vazi rasmi la chama. Mbona kwenye picha ya kikao cha Mbowe rangi za kijani hazionekani au unataka kutuambia walirejea haraka majumbani kwao kubadilisha nguo. Tufafanulie.
 
Inatosha kueleza ukweli kwa sababu historia itaikumbuka na kujenga heshima lengo sio badiliko ya dubwasha la hovyo kuwahi kusainiwa tangu Tanzania ipate uhuru

Tunaangalia mbele hatuangalii hapa
HAKUNA historia yoyote ya maana kutoka kwao....

Taifa hili si la kidini.....

Maendeleo hayana dini....

Eti ukatae trilioni 26...zaidi ya nusu ya bajeti ya "fiscal year- trilioni 44" kisa tu mwekezaji ni mwarabu katika dunia hii ya soko huria ?!!!

Tanzania inashirikiana na yoyote wa kutupa manufaa....hao TEC wametuletea wataliano wenye "offer" ya Trilioni 80?!!!

Wako wapi ?!!!

Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom