SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,040
- 8,895
Ilimuua MWENDAKUZIMU kutoa CHATO ni uthibitisho tosha.Tapeli wewe huna lolote!
Hao wagonjwa uliwapima wewe?
Ati iko full??? Mbona mama yako haumwi?
Ilimuua MWENDAKUZIMU kutoa CHATO ni uthibitisho tosha.Tapeli wewe huna lolote!
Hao wagonjwa uliwapima wewe?
Ati iko full??? Mbona mama yako haumwi?
Mwendakuzimu ndo nani?Ilimuua MWENDAKUZIMU.
Watanzania wana akili timamu, hawawezi kukubali kudungwa hayo machanjo toxic.
Watakaodungwa ni nyumbuh kama wewe mnaozurura mitandaoni bila dhima maalumu.
Huku mtaani mambo ni tofauti saanaa!!
Mawazo ya kijima haya.Kuna watu wangependa tupate wimbi la tatu na wanalingoja kwa hamu sana wapate kitu cha kuzungumza! Mungu alishatuponya na corona!! Tahadhari tunaendelea kuchukua! Ila nchi zingine za kiafrika zinadanganya kuwa kuna wimbi la tatu ili wapate mkopo!!! Akili zingine hapa Afrika wala huwezi kuzielewa! Isitokee hapa kwetu!!
Hiyo ni sanitaiza ya koo, sio kwa ajili ya kulewa 🤣Hii combo, huku kwetu tunakuita mlevi mbwa 😂😂😂
Usivae barakoa kama mzee pombe.Mnaishabikia sana corona mnataka lockdown na chanjo sasa subirini mjifunze kwa vitendo
Ukiondoa hayo matamko wewe unaona kuna tofauti gani ya kivitendo kabisa kati ya sasa na kipindi cha Mwendazake?Mpaka wametema ndoano basi ni hatari ,enzi za mwendazake huyu jamaa alikuwa anasema hakuna corona tz kabisa.
Vijana ndio wanalazwa kwa corona?Acha kueneza conspiracy theory. Uganda wamechanywa chini ya 1%. Hakuna vaccines za kutosha. Nchi ambazo zimechanja wengi km USA, Israel, maambukizi yamepungua sana. Wanaolazwa wengi wao ni vijana ambao hawajachanjwa.
Weweeeee...... hachanjwi mtu hapa!Kwani hata kuna haja ya kutoleana macho? Nyie wenye akili timamu mnaodhurura mitandaoni mkiwa na dhima (yaani masungu sungu, miboda boda, mipiga debe, mi vibaka vibaka na wanamna hiyo - wanyonge wa awamu ile) bakini na m@vi yenu. Ila sisi tutachanjwa hapa hapa tena kwa heshima na taadhima. Bila ya shaka yoyote, wakiwamo pia kina Mama Samia, Dr. Mpango, Kassim Majaliwa na waungwana wengine.
Mna nini mburumundu nyie cha kumwambia nani? Danganyanyeni wenyewe kwa wenyewe huko huko vijiweni mwenu.
Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho
Mabibi na mabwana awamu ya tano imepita na sasa kazi inaendelea katika awamu ya sita chini ya Rais Samia. Kwamba tupo awamu ya sita itakuwa kutojitendea haki mno kutoyaangazia kabisa madhara ya awamu ya tano kwa awamu ya sita yote chanya na hasi. Kwa uzi huu itoshe kuyaangazia madhara hasi ya...www.jamiiforums.com
Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Weweeeee...... hachanjwi mtu hapa.
Wananchi wameamka balaa, ukiwaletea habari za chanjo watakupasua vibaya.
Maana ile kitu wamelishwa na Magufuli imeganda mpaka kwenye mifupa yao na wameelewa somo kupitiliza.
Kama ni maksi, basi tunasema wamepata A plus.
Nyinyi vinyangarika wa mtandaoni mnaolilia machanjo yenye sumu, maoni yao yanaishia kwenye servers.
Kiufupi hamuonekani wala hakuna anayewasikiliza kwa sasa.
Tuko bize tunachapa kazi.
Wapendwa wako ni wepi hao?Chanjo ni suala la hiari. Nisichanjwe mimi na wapendwa wangu?
DahSerikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata maambukizi ya ugonjwa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mkurugenzi wa kinga wa Wizara ya Afya, Dk Leonard Subi ametoa maagizo kadhaa likiwemo la kuwataka wananchi kuvaa barakoa.
“Wizara inawakumbusha wananchi wote kutopuuza ugonjwa wa Covid-19. Wizara imeanza kuona viashiria vya kutokea kwa wimbi la tatu la mlipuko wa ugonjwa huu katika nchi yetu.”
“Hii ni kutokana na taarifa za ufuatiliaji wa mwenendo wa ugonjwa huu zinazofanywa na wizara na mwingiliano kati ya watu wetu na mataifa mengine,” amesema Dk Subi.
Amesema idadi ya wagonjwa wanaokutwa na vizuri vya corona barani Afrika imeongezeka ndani ya wiki tano mfululizo zikiwemo nchi jirani na Tanzania, “maambukizi yanaongezeka maradufu kuliko ilivyokuwa wimbi la pili.”
Katika maelezo yake amewataka wananchi kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kutumia vitakasa mikono na kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni.
Chanzo: Mwananchi
Wewe vaa barakoa na beba sanitaiza mfukoniKama kawaida watakuja wale mburumundu wa kijani kupinga na kubeza taarifa hii badala ya kuchukua tahadhari.
Vijana ndio wanalazwa kwa Corona?!Acha kueneza conspiracy theory. Uganda wamechanywa chini ya 1%. Hakuna vaccines za kutosha. Nchi ambazo zimechanja wengi km USA, Israel, maambukizi yamepungua sana. Wanaolazwa wengi wao ni vijana ambao hawajachanjwa.
Jibu la kubahatisha tu, hata huko ulaya walikochanjwa kwa asilimia kubwa bado wanaiogopa Corona, haiwezekani uchanjwe halafu bado uje na habari za karantini.Waliochanjwa wako hapa:
Corona: EU Yafungua Milango kwa Wageni hali Inapotengamaa
Hii ni habari njema kwamba kumbe palipo na jitihada kubwa, hali inaweza kutengamaa. Nani hakuyasikia ya Italy, Spain nk? https://edition.cnn.com/travel/article/pandemic-travel-news-new-york-california-europe/index.html Ni wazi kuwa mpambano haukuwa bure, maisha yameokolewa na matumaini sasa...www.jamiiforums.com
Uganda wala Kenya hawajafika kiwango cha kuitwa wamechanjwa. Danganyeni wale wanyonge wakiwamo sungu sungu kwenye list.
Asante, umeiweka kitaalamu zaidi, most of us tunajitutumua na chanjo ya Corona simply ili tufanane na wazungu tu, nothing else.Hakuna nchi ya kiafrika inayoweza kuchanja zaidi ya asilimia 20 ya watu wake! Hivyo hiyo chanjo haiwezi kutupatia herd immunity inayotakiwa kutukinga na corona ambayo ni kuchanja asilimia 70!! Matumizi ya chanjo kwa hiźi nchi zetu ni kusaidia kuchanja wale ambao wanalazimika kusafiri nje ya nchi ili waruhusiwe na nchi wanakokwenda, fullstop! Hakuna cha kinga wala baba yake na kinga! Ni faida9 kwa mabeberu maana yanapiga pesa ndefu!! Ni biashara ya kulazimishwa na viongozi wetu wanajua!! Kwa masikitiko makubwa sana ni viongozi adimu sana wenye ubavu wa kuwaambia mabeberu hapana!
Njia nzuri ya kujilinda baada ya kumtanguliza Mungu ni kunawa mikono mara kwa maji kwa kutumia maji tiririka, kutakasa mkono mara kwa mara kwa kutumia sanitizer yenye alcohol 70%. Kujièpusha na misongamano ni muhimu. Lakini hili la barakoa ni kujipa ujasiri batili tu!
Dah...Kiongozi....mmemzika nyie wenyewe? ,yes bro tumemzika leo mapema
Ukiondoa hayo matamko wewe unaona kuna tofauti gani ya kivitendo kabisa kati ya sasa na kipindi cha Mwendazake?
Machanjo ya kisanii haya.Huko ulaya wamechanjwa lakini bado wanaogopa watu wao wasitoke kwenda mataifa mengine, wakirudi wawekwe karantini, UEFA Final iliyokuwa ichezwe Uturuki ikahamishiwa Ureno kisa Uturuki waliita iko kwenye "red list", sasa kama wamechanjwa waliogopa nini kwenda Uturuki?Jibu la kubahatisha tu, hata huko ulaya walikochanjwa kwa asilimia kubwa bado wanaiogopa Corona, haiwezekani uchanjwe halafu bado uje na habari za karantini.