#COVID19 Serikali yatoa angalizo maambukizi mapya ya Corona

Bado wanaogopa kivuli cha JPM.
WHO wanasema lazima:
1. Kuvaa barakoa
2. Kupima na kuripoti idadi ya mambukizi kila siku.
3. Kuripoti idadi ya vifo kutokana na covid-19 kila siku.
4. Kuepusha misongamano ya watu ktk maeneo kama sokoni, kanisani, daladala nk
5. Kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni.
6. Kupeleka data WHO kila siku hadi ugonjwa utakapoisha duniani kwa vigezo vya WHO.

Haya yanatakiwa yatekelezwe kila siku hata kama hakuna lockdown.

Inawezekana serikali inatimiza baadhi ya mambo hayo lakini kimyakimya. Ila wajue kwamba mficha maradhi kifo humuumbua.



Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Dah.....na ije tu...na itutwange sawasawa... ichukue wabongo wote wenye 30+yrs...nchi ianze upya tu...kwa mawazo mapya...labda itasonga mbele ,
 
Watanzania wana akili timamu, hawawezi kukubali kudungwa hayo machanjo toxic.

Watakaodungwa ni nyumbuh kama wewe mnaozurura mitandaoni bila dhima maalumu.

Huku mtaani mambo ni tofauti saanaa!!
Huyu Mama Mungu atamlaani,kwa kwakutaka kuangamiza kizazi cha Watanzania,kisa apewe mkopo,hiyo chanjo hianze na uzao wake,Sisi hayo Mambo ya corona tulisha yasahau mda, yenye ndio anaanza kuyafufua kisa mkopo.Basi apige marufuku watu wasikusanyike viwanjani,vyuo vyote vifungwe,mashule yote yafungwe,magulio,afunge kila kitu,aweke Lock down,haone mziki wake.Watanganyika sio wajinga bado tunamsoma tu.
 
Kwa hili nipo na Mheshimiwa Raisi Magufuli kuwa Tanzania hakuna korona ,nipo hapo hapo, mnaosema ipo basi kazi mnayo iwapate nyinyi mnaosema ipo na familia zenu.
 
Kuna changamoto kubwa katika kukabiliana na wimbi la tatu la UVIKO 19 ndani ya jamii ambayo sehemu kubwa imetopea katika lindi kubwa la ufukara na umaskini. Nakubaliana kabisa na nasaha za hayati JPM, kama taifa pamoja na kuchukua tahadhari zote za kiafya zinazoshauriwa na wataalamu, zaidi ya yote tuzidi kumuomba Mungu.
1601319888345.jpg
 
Wapendwa wako ni wepi hao?

Hao mabaahasha zako ndo wapendwa wako?

Kama wewe na bahasha wako mnapenda chanjo haina tabu. Mkadungwe tu.

Lakini sisi tuko bize mno. Tunachapa kazi na tumeshasahau habari za sijui corona.

Hizo habari za corona huwa nazisoma kwenye TV na kwa machokoraa wa mitandaoni tu kama wewe msio na ajira inayotambulika.

Huku mtaani watu hawajui hata maana ya corona. Wako bize wanasaka pesa na kuchakarika balaa.

Haya maoni ya machokoraa wa mitandaoni kuhusu corona ni maoni hafifu sana. Hayana uzito wowote ule na tumeshayapuuza kabla hata ya kuyasoma.

Usiniwekee maneno mdomoni mburumundu wa kijani wewe.

Wapendwa wangu ni mke wangu, wanangu, jamaa zangu na rafiki zangu. Wewe sikuhitaji hata kwa umchepuko tu.

Hutaki kuchanjwa si baki na m@vi yako. Hiyo ndiyo busara ya mzee baba.

Nina ajira ya maana sana kuliko sungu sungu msukuma wewe na manyoya yako ya kuku kichwani!

Habari za Corona waulize Lupaso na Chatto kama waliishia kuzisikia mitandaoni na kwenye TV.

Kuhusu chanjo - tusipangiane!
 
Kama kawaida watakuja wale mburumundu wa kijani kupinga na kubeza taarifa hii badala ya kuchukua tahadhari.
Angalau nchi sasa inaonekana ina watu wenye akili. Nikikumbuka hata kutaja neno ''korona'' ilivyokuwa ni kama kosa la uhaini! Nikikumbuka wapumbavu kama yule meya wa Moshi aliyefukuza watu wenye barakoa kwenye mkusanyiko! Nikumbuka yule mama waziri wa afya alivyokuwa nusu ageuke kichaa mwokota makopo badala yake akawa kichaa mnywa juisi!
 
Wapendwa wangu ni mke wangu, wanangu, jamaa zangu na rafiki zangu
Usijifiche.

Tunajua nyinyi michele mna upendo wa dhati kwa mabahasha zenu. Hakuna cha mke wala nini.

Mwanzoni nilikuwa najiuliza kwanini unapenda kudungwa chanjo kwenye makalio..... kumbe unapenda sana ile kitu?

Duuuh!
 
Usijifiche.

Tunajua nyinyi michele mna upendo wa dhati kwa mabahasha zenu. Hakuna cha mke wala nini.

Mwanzoni nilikuwa najiuliza kwanini unapenda kudungwa chanjo kwenye makalio..... kumbe unapenda sana ile kitu?

Duuuh!

Unayo nafasi yako ya kudumu kwenye uzi huu:


Mipumbafu fulani isiyoelimika!

Mwendazake hayupo, ikibidi hata kwa viboko tutawatia adabu hadi mnyooke!

Ninanong'onezwa - Ng'wana Samike kumbe ni yale yale ya kwenye lile genge pendwa?

Hiiiiii bagosha!

Wasalimie Chatto usiache kuwakumbusha zama zile hazirudi tena!
 
Angalau nchi sasa inaonekana ina watu wenye akili. Nikikumbuka hata kutaja neno ''korona'' ilivyokuwa ni kama kosa la uhaini! Nikikumbuka wapumbavu kama yule meya wa Moshi aliyefukuza watu wenye barakoa kwenye mkusanyiko! Nikumbuka yule mama waziri wa afya alivyokuwa nusu ageuke kichaa mwokota makopo badala yake akawa kichaa mnywa juisi!

Serikalini wapuuzi wale wamekwisha. Imebakia mi illiterates fulani fulani kama hili ng'wana samike huku uswahilini.

Mi Sungu sungu fulani tokea katika lile genge pendwa. Vichwani mitupu, na manyoya ya ma ndege Joni kwenye nywele. Eti inadhani kuwa ni milinzi ya JMT.

Hii si taabu kwani ikibidi hata kuitembezea bakora tu. Zama za kiza zilikwisha March 2021. Haturudi tena huko.
 
Vijana ndio wanalazwa kwa Corona?!

Huko ulaya wamechanjwa lakini bado wanaogopa watu wao wasitoke kwenda mataifa mengine, au wakirudi wawekwe karantini, UEFA Final iliyokuwa ichezwe Uturuki ikahamishiwa Ureno kisa Uturuki waliita iko kwenye "red list", sasa kama wamechanjwa waliogopa nini kwenda Uturuki?Jibu la kubahatisha tu, hata huko ulaya walikochanjwa kwa asilimia kubwa bado wanaiogopa Corona, haiwezekani uchanjwe halafu bado uje na habari za karantini.

Jibu la kubahatisha? Mburumundu wa kijani wewe unadhani CNN na EU wanabahatisha?

Hata hujihurumii?

Kwa hakika wewe ni wale wanyonge wa awamu ile waliotambuliwa kwenye uzi huu:

 
Sijui unabisha nini. Ktk vaccines zote duniani, hakuna iliyo efficacious 100%. Ktk waliochanjwa kuna asilimia fulani ndogo wana uwezo wa kupata ugonjwa. Kwa hiyo lazima njia nyingine za kuzuia maambukizi zitumike. Magonjwa yote yanazuiwa kwa integrated methods. Mathalani malaria - chanjo, chandarua, dawa za kupuliza, matibabu kwa wagonjwa, nk. Kipindupindu - chanjo, kunawa mikono, matumizi ya choo, usafi, nk. Sasa wewe ukitegemea COVID-19 izuiwe kwa chanjo tu basi wewe ni mjinga sana.
Jibu la kubahatisha tu, hata huko ulaya walikochanjwa kwa asilimia kubwa bado wanaiogopa Corona, haiwezekani uchanjwe halafu bado uje na habari za karantini.
 
Walei yaani mna ubishi sana. Kitu usichokijua ni kwamba virus kwa tapia yake hubadilika sura kadiri muda unavyopita. Ndiyo maana kuna variants nyingi za novel corona virus tangu igunduliwe 2019/20 km vile Alpha, Beta, Delta, nk. Chanjo ambayo inafanyakazi kwa variants za sasa inaweza isifanye kazi kwa variants mpya zitakazokuja kesho na keshokutwa. Kwa hiyo kuendelea kujilinda baada ya chanjo na kuzuia variants nyingine kutoka nchi nyingine bado ni muhimu.
Huko ulaya wamechanjwa lakini bado wanaogopa watu wao wasitoke kwenda mataifa mengine, au wakirudi wawekwe karantini, UEFA Final iliyokuwa ichezwe Uturuki ikahamishiwa Ureno kisa Uturuki waliita iko kwenye "red list", sasa kama wamechanjwa waliogopa nini kwenda Uturuki?
 
Unayo nafasi yako ya kudumu kwenye uzi huu:


Mipumbafu fulani isiyoelimika!!
Hahahaaaa....

Tulia wewe shogger mpenda chanjo.

Hizo chanjo baki nazo huko huko kwa mmeo.

Ukijifanya unadunga watu tutakushughulikia mpaka uvae chupi kichwani.
 
Kitu usichokijua ni kwamba virus kwa tapia yake hubadilika sura kadiri muda unavyopita. Ndiyo maana kuna variants nyingi za novel corona virus tangu igunduliwe 2019/20 km vile Alpha, Beta, Delta, nk.
Huna lolote wewe mjuaji tu.

Kujitia tia usomi, oooh virus sijui nini nini!

Mabingwa wa kukariri nyinyi kama makasuku lakini hakuna sayansi yoyote mnayoijua.

Virus my foot! Tengeneza chanjo basi tuone usomi wako!

Umekaa kitako unasubiri kubugia machanjo ya mabeberu, unatuandikia magazeti... ooh virus, sijui variant!
 
Back
Top Bottom