- Thread starter
- #41
Hata tulioko kazini hajawahi kutuongeza hata "mia" tokea asimikwe!!Huyu mzee amalize tu muda wake aende.
Hii yote ni ili wapate sababu za kutokutoa ajira mpya.
Hii ni serikali ya vituko.
Hata tulioko kazini hajawahi kutuongeza hata "mia" tokea asimikwe!!Huyu mzee amalize tu muda wake aende.
Hii yote ni ili wapate sababu za kutokutoa ajira mpya.
Hii ni serikali ya vituko.
Kieleweke ninimpaka kieleweke
Kwani tulimkataa Edo au ni basi tu kura zake kwa bahati mbaya hazikutosha kumfanya awe rais!!Mtaisoma numerical ninyi si mlijifanya kumkataaa lowasa ?
Labda kaamaanisha uhalali wa watumishiKieleweke nini
Napenda kujiajiri lakini sina maarifa na ujuzi ya kujiajiri
aisee!Labda kaamaanisha uhalali wa watumishi
Ahsante kwa ushauri wako wenye sihabasi fuata masharti ya aliyekuajiri
Zoezi linatakiwa lianze leo 16/6/2017Siyo kweli...mana viambatanisho vyote ulivyovitaja mleta mada,ni vilivyotumika kuwahakiki hao watumwa,sasa kama serikali itarudia hilo zoezi maana yake ni wendawazimu
Alaaa! kumbe hata hao wenzetu walioendelea, walianza kwa uhakiki wa namna hii wa mara kwa mara!!! ahsante kwa kunielewesha Simba Asiyefugika.Kulalamika haisaidii kitu tufate maelekezo.Tunaingia kwenye mfumo mpya tuwe Kama nchi zilizoendelea hatuwezi kubaki nyuma ya technology.
Zoezi linatakiwa lianze leo 16/6/2017
Mimi kama sina kosa wahakiki hata mara laki....
Wewe ni mtumishi wa umma usizuie unaowatumikia kufanya kazi zao...
Mbadala pekee ni kutoka kwenye kutumikia umma katumikie familia yako kwa nguvu zako zote...
Watu wako busy sana..lakini pia ni vyema ukatambua mtawanyiko wa watumwa wa nchi hii...kuna watumwa wanatumia hadi 15,000 nauli kwenda tu sehem ya kupeleka taarifaKwani hili zoezi ni la kuinua vyuma mpaka kulalamika kiasi hiki? Wanachofanya ni reliability yaani kuangalia kwa kuna tofauti na walichofanya mwanzo.
kutesana huku Bujibuji, uhakiki usiofikia kikomo, mishahara haipandi!!!
Teknologia gani unaongelea hapa?Labda tech. ya kwenda Mwezini sasa.Kulalamika haisaidii kitu tufate maelekezo.Tunaingia kwenye mfumo mpya tuwe Kama nchi zilizoendelea hatuwezi kubaki nyuma ya technology.